Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,829
Idd Amin alifanya yote hayo lkn anakumbukwa kwa mauaji!
Niko Uganda hakuna anayekumbuka hayo, Wala kusema hayo
Njoo useme hayo mbele yao
Idd Amin alifanya yote hayo lkn anakumbukwa kwa mauaji!
Vita ya kumtimua Id Amin nilikuwa Uganda hivyo na leo Nina ndugu wengi Uganda hivyo najua zaidi ya weweNiko Uganda hakuna anayekumbuka hayo, Wala kusema hayo
Njoo useme hayo mbele yao
Power corrupts, ABSOLUTE POWER CORRUPTS ABSOLUTELY![emoji53][emoji34]Siku za nyuma niliwahi leta mada hapa JF nikasema,kuonya na kumtahadharisha Bwana mkubwa kuwa anachokifanya ni kuandika kitabu ambacho kitakuja kusomwa hata na vizazi vijavyo hivyo awe makini.
Nilimtahadharisha na kumshauri kuwa awe makini na kitabu anachokiandika nikimuonya awe makini kupokea kila neno, sentesi ,aya na hata kurasa anazoletewa na wasaidizi wake kwani kitabu kitabeba jina lake na kitabu kikiwa kibaya, basi ubaya huo utamuhusu yeye kama mmliki na mwandishi mkuu wa kitabu chake.
Leo hii ikiwa ni takribani miaka minne na miezi miwili, tayari mwanasiasa Tundu Lissu ameandika summary tu ya kitabu hiki ambacho bado kinaendelea kuandika na muhisika na ajue tu siku akitoka ofisini, watu watakuwa huru kukichapisha na kukisambaza kitabu chake huku yeye akiwa hana nguvu yoyote ya kuzuia watu wasikisome na kukisambaza kitabu chake.
Summary tu ya kitabu hiki inamuweka pabaya sasa sijui kitabu kizima kitamuweka katika hali gani mbele ya jamii na hapa asisahau watu hukumbuka mabaya zaidi hata kama kuna mema au kuna mazuri machache mtu uliofanya.
Huyu ndugu anaandika kitabu kisichopendeza kukisoma na salama hizi za Lissu zimfumbue macho ajue ni nini anafanya na ni kumbukumbu gani anaiacha.
Kwa sasa wanaotunza kumbukumbu ni wengi ila wanaoesema kama afanyavyo Lissu ni wachache na hii ni kwasababu watu wamejaa hofu, ila kuna wakati unakuja watakuwa huru kusema na kuandika na huo ndio utakuwa wakati mgumu sana kwa Bwana mkubwa.
Acha kudanganya watu na pia acha kumfariji Jiwe kwa madhambi anayotenda bali ajue atakuja kulipa na kama sio yeye basi kiazi chake ndio kitalipa madhambi yake.Labda nikumbushe kama siyo kukufundisha, duniani kwa mwanadamu mwenye INTELLECT kubwa humkumbuka mwenziye kwa mazuri aliyotenda katika kipindi fulani cha maisha yake, kwa waumini wa dini pia hili wataelewa, hata unapotaka kumsamehe adui yako basi tunasamehe kwa kuzingatia kiwango cha mazuri yake aliyokutendea,
Hapa ni kwa sababu mwanadamu kabla ya yote anakuwa na dhambi ya kurithi, na ubinadamu huo unaonyeaha kutokuwa na UKAMILIFU, ndio maana duniani mwa wanadamu waerevu husamehe!
Kwa yeyote abebaye mabaya ya mtu basi huyo hatakuwa na maana kwani atahesabika kama nayeye ni sawa na huyo anayemlalamikia! Ukiwa binadamu unakuwa hujakamilika, ukiwa mtu wa kutamka maneno kila siku yenye kulalamika basi fahamu kuwa safari yako ya mafanikio katika eneo lolote utakuwa mgumu hasa mgumu mno, unapokuwa mtu mwenye kutoa maneno ya ulalamishi kila siku Mungu pia anakuzoea na kamwe hatafungua baraka zako katika kila ufanyalo kwani unajidhihiriaha jinsi usivyo na shukrani na kusamehe
Maisha ni mafupi,lakini pia tukumbuke sisi ni binadamu,unapokuwa binadamu basi hujakamilika,tujizuie sana katika kujawa na maneno ya kulaani kwani kulalamika ni laana
Hivyo ukiona hufanikiwi na una ulimi uliotawaliwa na maneno kama hayo ujue wewe ndii tatizo. Sote hatujakamilika haijalishi umeumizwa kwa kiasi gani lakini bado na wewe si mkamilifu.
Heri ya Christmas na mwaka mpya,na Mungu akawajaze baraka yenye mafanikio kuelekea mwaka mpya!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwapeleka wananchi kwenye shimo la tewa!!ujenzi wa reli, ununuzi wa ndege, treni kwenda moshi, tutamkumbuka kwa hayo
Naishi ugandaVita ya kumtimua Id Amin nilikuwa Uganda hivyo na leo Nina ndugu wengi Uganda hivyo najua zaidi ya wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anayefanya mazuri hutetewa na umma wa watu anaowaongoza. Hatajipigania ila atapiganiwaHuyo Msanii Lissu watu wenye akili timamu walishampuuza na nikuambie ni ujinga kuendelea kuamini kuwa Lissu atarudi nchini..na hata akirudi hana impact yeyote Yule.
Nonetheless, wakati Umeandika hayo kuna ambao watamkumbuka kwa kuleta uwajibikaji serikalini, ujenzi wa miundombinu ya kimkakati, watoto wao kupata uhakika wa elimu, wakulima na machinga hawatoisha kupaza sauti zao kwa mema aliyowatendea..list ni ndefu sana.
Mimi nalaani matendo yote mabaya aliyoyafanya Hitler lakini kuna kipindi nadhani ata wajerumani wenyewe wanafurahia kimoyo moyo misingi imara aliyoiweka ..This super power Nation is what it is because of Hitler...Do they really care that much!?...Hard to tell.Chunguza kwa kina habari za Ujerumani wakati wa Hitler, alijenga uchumi mkubwa sana wa viwanda, teknolojia, vifaa vya kijeshi, reli na kila kitu kwa kiwango cha juu sana.
Lakini historia iliyo andikwa juu yake ni mbaya kama vitabu vya dini vinavyo muandika shetani.
Anakumbukwa kwa mambo ya hovyo kiasi kuwa hata kizazi chake kilichopo duniani kinaona aibu kutumia jina Hitler.
Jee unataka kina Jeska waje wajipachike Surname nyingine kwa aibu ya maandishi ya historia chafu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Very cheap excuse, uwe mkatili kwa kutisha,kutesa na kudhuru watu kwa namna mbalimbali kutokana na nafasi na dhamana uliyonayo kisingizio kiwe 'binadamu hatujakamilika'. That's a very stupid statement.Labda nikumbushe kama siyo kukufundisha, duniani kwa mwanadamu mwenye INTELLECT kubwa humkumbuka mwenziye kwa mazuri aliyotenda katika kipindi fulani cha maisha yake, kwa waumini wa dini pia hili wataelewa, hata unapotaka kumsamehe adui yako basi tunasamehe kwa kuzingatia kiwango cha mazuri yake aliyokutendea,
Hapa ni kwa sababu mwanadamu kabla ya yote anakuwa na dhambi ya kurithi, na ubinadamu huo unaonyeaha kutokuwa na UKAMILIFU, ndio maana duniani mwa wanadamu waerevu husamehe!
Kwa yeyote abebaye mabaya ya mtu basi huyo hatakuwa na maana kwani atahesabika kama nayeye ni sawa na huyo anayemlalamikia! Ukiwa binadamu unakuwa hujakamilika, ukiwa mtu wa kutamka maneno kila siku yenye kulalamika basi fahamu kuwa safari yako ya mafanikio katika eneo lolote utakuwa mgumu hasa mgumu mno, unapokuwa mtu mwenye kutoa maneno ya ulalamishi kila siku Mungu pia anakuzoea na kamwe hatafungua baraka zako katika kila ufanyalo kwani unajidhihiriaha jinsi usivyo na shukrani na kusamehe
Maisha ni mafupi,lakini pia tukumbuke sisi ni binadamu,unapokuwa binadamu basi hujakamilika,tujizuie sana katika kujawa na maneno ya kulaani kwani kulalamika ni laana
Hivyo ukiona hufanikiwi na una ulimi uliotawaliwa na maneno kama hayo ujue wewe ndii tatizo. Sote hatujakamilika haijalishi umeumizwa kwa kiasi gani lakini bado na wewe si mkamilifu.
Heri ya Christmas na mwaka mpya,na Mungu akawajaze baraka yenye mafanikio kuelekea mwaka mpya!!
Sent using Jamii Forums mobile app
ukikaa kusikiliza hadithi za huyo hayawani lissu utaumiza kichwa chako bure huyo dishi limeyumba acheni aweweseke kivyake mwachie mkuu achape kazi upuuzi wake hakuna mtu ataukumbuka nchi itakuwa kwenye neema ya asali na maziwaSiku za nyuma niliwahi leta mada hapa JF nikasema,kuonya na kumtahadharisha Bwana mkubwa kuwa anachokifanya ni kuandika kitabu ambacho kitakuja kusomwa hata na vizazi vijavyo hivyo awe makini.
Nilimtahadharisha na kumshauri kuwa awe makini na kitabu anachokiandika nikimuonya awe makini kupokea kila neno, sentesi ,aya na hata kurasa anazoletewa na wasaidizi wake kwani kitabu kitabeba jina lake na kitabu kikiwa kibaya, basi ubaya huo utamuhusu yeye kama mmliki na mwandishi mkuu wa kitabu chake.
Leo hii ikiwa ni takribani miaka minne na miezi miwili, tayari mwanasiasa Tundu Lissu ameandika summary tu ya kitabu hiki ambacho bado kinaendelea kuandika na muhisika na ajue tu siku akitoka ofisini, watu watakuwa huru kukichapisha na kukisambaza kitabu chake huku yeye akiwa hana nguvu yoyote ya kuzuia watu wasikisome na kukisambaza kitabu chake.
Summary tu ya kitabu hiki inamuweka pabaya sasa sijui kitabu kizima kitamuweka katika hali gani mbele ya jamii na hapa asisahau watu hukumbuka mabaya zaidi hata kama kuna mema au kuna mazuri machache mtu uliofanya.
Huyu ndugu anaandika kitabu kisichopendeza kukisoma na salama hizi za Lissu zimfumbue macho ajue ni nini anafanya na ni kumbukumbu gani anaiacha.
Kwa sasa wanaotunza kumbukumbu ni wengi ila wanaoesema kama afanyavyo Lissu ni wachache na hii ni kwasababu watu wamejaa hofu, ila kuna wakati unakuja watakuwa huru kusema na kuandika na huo ndio utakuwa wakati mgumu sana kwa Bwana mkubwa.
Huyo Msanii Lissu watu wenye akili timamu walishampuuza na nikuambie ni ujinga kuendelea kuamini kuwa Lissu atarudi nchini..na hata akirudi hana impact yeyote Yule.
Nonetheless, wakati Umeandika hayo kuna ambao watamkumbuka kwa kuleta uwajibikaji serikalini, ujenzi wa miundombinu ya kimkakati, watoto wao kupata uhakika wa elimu, wakulima na machinga hawatoisha kupaza sauti zao kwa mema aliyowatendea..list ni ndefu sana.
Ajabu sana hii! Mbona Uingereza imeendendelea jee walikuwa na kiongozi wa aina hiyo? Go to France, US, Japan nk mbona haikuwa hivyo?Mimi nalaani matendo yote mabaya aliyoyafanya Hitler lakini kuna kipindi nadhani ata wajerumani wenyewe wanafurahia kimoyo moyo misingi imara aliyoiweka ..This super power Nation is what it is because of Hitler...Do they really care that much!?...Hard to tell.
tumwasio na akili timamu tu ndiyo wanaweza kumuelewa lissuWenye akili za kukunishwa nazi asilani hamuwezi kumuelewa Lissu.
Na makusudio ya uwepo wenu duniani sio zaidi ya Kuijaza dunia tuu ili neno litimie.View attachment 1304116
Sent using Jamii Forums mobile app
For a starter...US imejengwa na watumwa, England imetawala almost 75% of the entire world...France is still screwing most of Poor countries, Japan have a point to prove..Of all the above countries, only US has better economy compared to Germany...Utumwa ni hatari sana,ukoloni likewise..US, England and France are still practicing the thing but in a more sophisticated ways.Ajabu sana hii! Mbona Uingereza imeendendelea jee walikuwa na kiongozi wa aina hiyo? Go to France, US, Japan nk mbona haikuwa hivyo?
Kwa nini jina Hitler halitajwi kwa fahari?
Sent using Jamii Forums mobile app
WEWE NI BOYA BALAA UWAJIBIKAJI UPI SERIKALINI AMELETA MZEE BABA ZAIDI YA TAABU NA NJAA.WATUMISHI NI MWAKA WA NNE SASA MZEE BABA HAJAWAFANYIA CHOCHOTE ZAIDI YA KUTUMBUA NA KUWATEUA WALIOMSAIDIA KUFAULU PHD YAKE PALE UDSM.ACHA KELELE WEWE PIMBI MASKINI NA MCHAWI WA GAMBOSHI
Na huyo ni JPMMtu anayefanya mazuri hutetewa na umma wa watu anaowaongoza. Hatajipigania ila atapiganiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli atakumbukwa hata kizazi cha tano toka sasaujenzi wa reli, ununuzi wa ndege, treni kwenda moshi, tutamkumbuka kwa hayo
Elimu ya uhakika ipi bongo?Huyo Msanii Lissu watu wenye akili timamu walishampuuza na nikuambie ni ujinga kuendelea kuamini kuwa Lissu atarudi nchini..na hata akirudi hana impact yeyote Yule.
Nonetheless, wakati Umeandika hayo kuna ambao watamkumbuka kwa kuleta uwajibikaji serikalini, ujenzi wa miundombinu ya kimkakati, watoto wao kupata uhakika wa elimu, wakulima na machinga hawatoisha kupaza sauti zao kwa mema aliyowatendea..list ni ndefu sana.
Sitashiriki Kumkumbuka Magufuli kwa mabaya maana yataongeza Machungu, mi nitamkumbuka kwa Chembe chache za Mazuri yake kama UthubutuLabda nikumbushe kama siyo kukufundisha, duniani kwa mwanadamu mwenye INTELLECT kubwa humkumbuka mwenziye kwa mazuri aliyotenda katika kipindi fulani cha maisha yake, kwa waumini wa dini pia hili wataelewa, hata unapotaka kumsamehe adui yako basi tunasamehe kwa kuzingatia kiwango cha mazuri yake aliyokutendea,