Wewe utakuwa hamnazo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Msanii Lissu watu wenye akili timamu walishampuuza na nikuambie ni ujinga kuendelea kuamini kuwa Lissu atarudi nchini..na hata akirudi hana impact yeyote Yule.
Nonetheless, wakati Umeandika hayo kuna ambao watamkumbuka kwa kuleta uwajibikaji serikalini, ujenzi wa miundombinu ya kimkakati, watoto wao kupata uhakika wa elimu, wakulima na machinga hawatoisha kupaza sauti zao kwa mema aliyowatendea..list ni ndefu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app