Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Bado ile paso yako ya red unayo brooujenzi wa reli, ununuzi wa ndege, treni kwenda moshi, tutamkumbuka kwa hayo
Labda nikumbushe kama siyo kukufundisha, duniani kwa mwanadamu mwenye INTELLECT kubwa humkumbuka mwenziye kwa mazuri aliyotenda katika kipindi fulani cha maisha yake, kwa waumini wa dini pia hili wataelewa, hata unapotaka kumsamehe adui yako basi tunasamehe kwa kuzingatia kiwango cha mazuri yake aliyokutendea,Siku za nyuma niliwahi leta mada hapa JF nikasema,kuonya na kumtahadharisha Bwana mkubwa kuwa anachokifanya ni kuandika kitabu ambacho kitakuja kusomwa hata na vizazi vijavyo hivyo awe makini.
Nilimtahadharisha na kumshauri kuwa awe makini na kitabu anachokiandika nikimuonya awe makini kupokea kila neno,sentesnsi,aya na hata kurasa anazoletewa na wasaidizi wake kwani kitabu kitabeba jina lake na kitabu kikiwa kibaya,basi ubaya huo utamuhusu yeye kama mmliki na mwandishi mkuu wa kitabu chake.
Leo hii ikiwa ni takribani miaka minne na miezi miwili,teyari mwanasiasa Tundu Lissu ameandika summary tu ya kitabu hiki ambacho bado kinaendelea kuandika na muhisika na ajue tu siku akitoka ofisini,watu watakuwa huru kukichapisha na kukisambaza kitabu chake huku yeye akiwa hana nguvu yoyote ya kuzuia watu wasikisome na kukisambaza kitabu chake.
Summary tu ya kitabu hiki inamuweka pabaya sasa sijui kitabu kizima kitamuweka katika hali gani mbele ya jamii na hapa asisahau watu hukumbuka mabaya zaidi hata kama kuna mema au kuna mazuri machache mtu uliofanya.
Huyu ndugu anaandika kitabu kisichopendeza kukisoma na salama hizi za Lissu zimfumbue macho ajue ni nini anafanya na ni kumbukumbu gani anaiacha.
Kwa sasa wanaotunza kumbukumbu ni wengi ila wanaoesema kama afanyavyo Lissu ni wachache na hii ni kwasababu watu wamejaa hofu, ila kuna wakati unakuja watakuwa huru kusema na kuandika na huo ndio utakuwa wakati mgumu sana kwa Bwana mkubwa.
kuteka jeujenzi wa reli, ununuzi wa ndege, treni kwenda moshi, tutamkumbuka kwa hayo
Wanaomthamini Lisu akili zao ni kama za Lisu. Usidhani watz hawana uelewa wa kutambua mbivu na mbichi. Unatumia nguvu nyiiingi kmsifia mtu asiyestahili hata tone la sifaSiku za nyuma niliwahi leta mada hapa JF nikasema,kuonya na kumtahadharisha Bwana mkubwa kuwa anachokifanya ni kuandika kitabu ambacho kitakuja kusomwa hata na vizazi vijavyo hivyo awe makini.
Nilimtahadharisha na kumshauri kuwa awe makini na kitabu anachokiandika nikimuonya awe makini kupokea kila neno,sentesnsi,aya na hata kurasa anazoletewa na wasaidizi wake kwani kitabu kitabeba jina lake na kitabu kikiwa kibaya,basi ubaya huo utamuhusu yeye kama mmliki na mwandishi mkuu wa kitabu chake.
Leo hii ikiwa ni takribani miaka minne na miezi miwili,teyari mwanasiasa Tundu Lissu ameandika summary tu ya kitabu hiki ambacho bado kinaendelea kuandika na muhisika na ajue tu siku akitoka ofisini,watu watakuwa huru kukichapisha na kukisambaza kitabu chake huku yeye akiwa hana nguvu yoyote ya kuzuia watu wasikisome na kukisambaza kitabu chake.
Summary tu ya kitabu hiki inamuweka pabaya sasa sijui kitabu kizima kitamuweka katika hali gani mbele ya jamii na hapa asisahau watu hukumbuka mabaya zaidi hata kama kuna mema au kuna mazuri machache mtu uliofanya.
Huyu ndugu anaandika kitabu kisichopendeza kukisoma na salama hizi za Lissu zimfumbue macho ajue ni nini anafanya na ni kumbukumbu gani anaiacha.
Kwa sasa wanaotunza kumbukumbu ni wengi ila wanaoesema kama afanyavyo Lissu ni wachache na hii ni kwasababu watu wamejaa hofu, ila kuna wakati unakuja watakuwa huru kusema na kuandika na huo ndio utakuwa wakati mgumu sana kwa Bwana mkubwa.
Umesahau haya...ujenzi wa reli, ununuzi wa ndege, treni kwenda moshi, tutamkumbuka kwa hayo
Mgekua mmepuuza usingeandika hii coment yako uchwara hapa.Huyo Msanii Lissu watu wenye akili timamu walishampuuza na nikuambie ni ujinga kuendelea kuamini kuwa Lissu atarudi nchini..na hata akirudi hana impact yeyote Yule.
Nonetheless, wakati Umeandika hayo kuna ambao watamkumbuka kwa kuleta uwajibikaji serikalini, ujenzi wa miundombinu ya kimkakati, watoto wao kupata uhakika wa elimu, wakulima na machinga hawatoisha kupaza sauti zao kwa mema aliyowatendea..list ni ndefu sana.
Duuuh,hata kama hauna AKILI ,umeshindwa kukipasua kichwa chako ukaweka hata MATOPE ya chooni ili yakusaidi kutambua hata robo ya kaukweli?mlivyowaongo mnadanganya alipigwa risasi wakati wenyewe mlimpiga branco kutengeneza political sympathy amefeli ababweka tu kwa sasa
Mkuu tuko wengi tunaohitaji dozi ya kritical thinking hapa hasa kwenye kuzungumzia mambo ya msingi.huyo uliyemquote hana akili timamu
Watu wenye akili timamu......hata wagonjwa wa akili hawajui kama wana matatizo...huwa wanasema hivyo hivyo.Huyo Msanii Lissu watu wenye akili timamu walishampuuza na nikuambie ni ujinga kuendelea kuamini kuwa Lissu atarudi nchini..na hata akirudi hana impact yeyote Yule.
Nonetheless, wakati Umeandika hayo kuna ambao watamkumbuka kwa kuleta uwajibikaji serikalini, ujenzi wa miundombinu ya kimkakati, watoto wao kupata uhakika wa elimu, wakulima na machinga hawatoisha kupaza sauti zao kwa mema aliyowatendea..list ni ndefu sana.
Chunguza kwa kina habari za Ujerumani wakati wa Hitler, alijenga uchumi mkubwa sana wa viwanda, teknolojia, vifaa vya kijeshi, reli na kila kitu kwa kiwango cha juu sana.ujenzi wa reli, ununuzi wa ndege, treni kwenda moshi, tutamkumbuka kwa hayo
Watu wanaposali huomba msamaha kwa Mungu kadiri walivyoutoa kwa wenzao.Labda nikumbushe kama siyo kukufundisha, duniani kwa mwanadamu mwenye INTELLECT kubwa humkumbuka mwenziye kwa mazuri aliyotenda katika kipindi fulani cha maisha yake, kwa waumini wa dini pia hili wataelewa, hata unapotaka kumsamehe adui yako basi tunasamehe kwa kuzingatia kiwango cha mazuri yake aliyokutendea,
Hapa ni kwa sababu mwanadamu kabla ya yote anakuwa na dhambi ya kurithi, na ubinadamu huo unaonyeaha kutokuwa na UKAMILIFU, ndio maana duniani mwa wanadamu waerevu husamehe!
Kwa yeyote abebaye mabaya ya mtu basi huyo hatakuwa na maana kwani atahesabika kama nayeye ni sawa na huyo anayemlalamikia! Ukiwa binadamu unakuwa hujakamilika, ukiwa mtu wa kutamka maneno kila siku yenye kulalamika basi fahamu kuwa safari yako ya mafanikio katika eneo lolote utakuwa mgumu hasa mgumu mno, unapokuwa mtu mwenye kutoa maneno ya ulalamishi kila siku Mungu pia anakuzoea na kamwe hatafungua baraka zako katika kila ufanyalo kwani unajidhihiriaha jinsi usivyo na shukrani na kusamehe
Maisha ni mafupi,lakini pia tukumbuke sisi ni binadamu,unapokuwa binadamu basi hujakamilika,tujizuie sana katika kujawa na maneno ya kulaani kwani kulalamika ni laana
Hivyo ukiona hufanikiwi na una ulimi uliotawaliwa na maneno kama hayo ujue wewe ndii tatizo. Sote hatujakamilika haijalishi umeumizwa kwa kiasi gani lakini bado na wewe si mkamilifu.
Heri ya Christmas na mwaka mpya,na Mungu akawajaze baraka yenye mafanikio kuelekea mwaka mpya!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajajuwa kuwa wanajibishana na wewe wakati dish limecheza na hauko timamu?mlivyowaongo mnadanganya alipigwa risasi wakati wenyewe mlimpiga branco kutengeneza political sympathy amefeli ababweka tu kwa sasa
Wenye akili za kukunishwa nazi asilani hamuwezi kumuelewa Lissu.Wanaomthamini Lisu akili zao ni kama za Lisu. Usidhani watz hawana uelewa wa kutambua mbivu na mbichi. Unatumia nguvu nyiiingi kmsifia mtu asiyestahili hata tone la sifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu mchukue huyu ibilisi mtekaji watu..Siku za nyuma niliwahi leta mada hapa JF nikasema,kuonya na kumtahadharisha Bwana mkubwa kuwa anachokifanya ni kuandika kitabu ambacho kitakuja kusomwa hata na vizazi vijavyo hivyo awe makini.