Huyo Msanii Lissu watu wenye akili timamu walishampuuza na nikuambie ni ujinga kuendelea kuamini kuwa Lissu atarudi nchini..na hata akirudi hana impact yeyote Yule.
Nonetheless, wakati Umeandika hayo kuna ambao watamkumbuka kwa kuleta uwajibikaji serikalini, ujenzi wa miundombinu ya kimkakati, watoto wao kupata uhakika wa elimu, wakulima na machinga hawatoisha kupaza sauti zao kwa mema aliyowatendea..list ni ndefu sana.
We Mrombo unapata tabu sana Zama hizi hadi unatoa huruma.Siku za nyuma niliwahi leta mada hapa JF nikasema,kuonya na kumtahadharisha Bwana mkubwa kuwa anachokifanya ni kuandika kitabu ambacho kitakuja kusomwa hata na vizazi vijavyo hivyo awe makini.
Nilimtahadharisha na kumshauri kuwa awe makini na kitabu anachokiandika nikimuonya awe makini kupokea kila neno,sentesnsi,aya na hata kurasa anazoletewa na wasaidizi wake kwani kitabu kitabeba jina lake na kitabu kikiwa kibaya,basi ubaya huo utamuhusu yeye kama mmliki na mwandishi mkuu wa kitabu chake.
Leo hii ikiwa ni takribani miaka minne na miezi miwili,teyari mwanasiasa Tundu Lissu ameandika summary tu ya kitabu hiki ambacho bado kinaendelea kuandika na muhisika na ajue tu siku akitoka ofisini,watu watakuwa huru kukichapisha na kukisambaza kitabu chake huku yeye akiwa hana nguvu yoyote ya kuzuia watu wasikisome na kukisambaza kitabu chake.
Summary tu ya kitabu hiki inamuweka pabaya sasa sijui kitabu kizima kitamuweka katika hali gani mbele ya jamii na hapa asisahau watu hukumbuka mabaya zaidi hata kama kuna mema au kuna mazuri machache mtu uliofanya.
Huyu ndugu anaandika kitabu kisichopendeza kukisoma na salama hizi za Lissu zimfumbue macho ajue ni nini anafanya na ni kumbukumbu gani anaiacha.
Kwa sasa wanaotunza kumbukumbu ni wengi ila wanaoesema kama afanyavyo Lissu ni wachache na hii ni kwasababu watu wamejaa hofu, ila kuna wakati unakuja watakuwa huru kusema na kuandika na huo ndio utakuwa wakati mgumu sana kwa Bwana mkubwa.
Huyo Msanii Lissu watu wenye akili timamu walishampuuza na nikuambie ni ujinga kuendelea kuamini kuwa Lissu atarudi nchini..na hata akirudi hana impact yeyote Yule.
Nonetheless, wakati Umeandika hayo kuna ambao watamkumbuka kwa kuleta uwajibikaji serikalini, ujenzi wa miundombinu ya kimkakati, watoto wao kupata uhakika wa elimu, wakulima na machinga hawatoisha kupaza sauti zao kwa mema aliyowatendea..list ni ndefu sana.
Duuuh,hata kama hauna AKILI ,umeshindwa kukipasua kichwa chako ukaweka hata MATOPE ya chooni ili yakusaidi kutambua hata robo ya kaukweli?
Siku za nyuma niliwahi leta mada hapa JF nikasema,kuonya na kumtahadharisha Bwana mkubwa kuwa anachokifanya ni kuandika kitabu ambacho kitakuja kusomwa hata na vizazi vijavyo hivyo awe makini.
Nilimtahadharisha na kumshauri kuwa awe makini na kitabu anachokiandika nikimuonya awe makini kupokea kila neno,sentesnsi,aya na hata kurasa anazoletewa na wasaidizi wake kwani kitabu kitabeba jina lake na kitabu kikiwa kibaya,basi ubaya huo utamuhusu yeye kama mmliki na mwandishi mkuu wa kitabu chake.
Leo hii ikiwa ni takribani miaka minne na miezi miwili,teyari mwanasiasa Tundu Lissu ameandika summary tu ya kitabu hiki ambacho bado kinaendelea kuandika na muhisika na ajue tu siku akitoka ofisini,watu watakuwa huru kukichapisha na kukisambaza kitabu chake huku yeye akiwa hana nguvu yoyote ya kuzuia watu wasikisome na kukisambaza kitabu chake.
Summary tu ya kitabu hiki inamuweka pabaya sasa sijui kitabu kizima kitamuweka katika hali gani mbele ya jamii na hapa asisahau watu hukumbuka mabaya zaidi hata kama kuna mema au kuna mazuri machache mtu uliofanya.
Huyu ndugu anaandika kitabu kisichopendeza kukisoma na salama hizi za Lissu zimfumbue macho ajue ni nini anafanya na ni kumbukumbu gani anaiacha.
Kwa sasa wanaotunza kumbukumbu ni wengi ila wanaoesema kama afanyavyo Lissu ni wachache na hii ni kwasababu watu wamejaa hofu, ila kuna wakati unakuja watakuwa huru kusema na kuandika na huo ndio utakuwa wakati mgumu sana kwa Bwana mkubwa.
Huu ni ufinyu wa mawazo. Jisemee mwenyewe usiwasemee wengineSiku za nyuma niliwahi leta mada hapa JF nikasema,kuonya na kumtahadharisha Bwana mkubwa kuwa anachokifanya ni kuandika kitabu ambacho kitakuja kusomwa hata na vizazi vijavyo hivyo awe makini.
Nilimtahadharisha na kumshauri kuwa awe makini na kitabu anachokiandika nikimuonya awe makini kupokea kila neno,sentesnsi,aya na hata kurasa anazoletewa na wasaidizi wake kwani kitabu kitabeba jina lake na kitabu kikiwa kibaya,basi ubaya huo utamuhusu yeye kama mmliki na mwandishi mkuu wa kitabu chake.
Leo hii ikiwa ni takribani miaka minne na miezi miwili,teyari mwanasiasa Tundu Lissu ameandika summary tu ya kitabu hiki ambacho bado kinaendelea kuandika na muhisika na ajue tu siku akitoka ofisini,watu watakuwa huru kukichapisha na kukisambaza kitabu chake huku yeye akiwa hana nguvu yoyote ya kuzuia watu wasikisome na kukisambaza kitabu chake.
Summary tu ya kitabu hiki inamuweka pabaya sasa sijui kitabu kizima kitamuweka katika hali gani mbele ya jamii na hapa asisahau watu hukumbuka mabaya zaidi hata kama kuna mema au kuna mazuri machache mtu uliofanya.
Huyu ndugu anaandika kitabu kisichopendeza kukisoma na salama hizi za Lissu zimfumbue macho ajue ni nini anafanya na ni kumbukumbu gani anaiacha.
Kwa sasa wanaotunza kumbukumbu ni wengi ila wanaoesema kama afanyavyo Lissu ni wachache na hii ni kwasababu watu wamejaa hofu, ila kuna wakati unakuja watakuwa huru kusema na kuandika na huo ndio utakuwa wakati mgumu sana kwa Bwana mkubwa.
ujenzi wa reli, ununuzi wa ndege, treni kwenda moshi, tutamkumbuka kwa hayo

mlivyowaongo mnadanganya alipigwa risasi wakati wenyewe mlimpiga branco kutengeneza political sympathy amefeli ababweka tu kwa sasa
Siku za nyuma niliwahi leta mada hapa JF nikasema,kuonya na kumtahadharisha Bwana mkubwa kuwa anachokifanya ni kuandika kitabu ambacho kitakuja kusomwa hata na vizazi vijavyo hivyo awe makini.
Nilimtahadharisha na kumshauri kuwa awe makini na kitabu anachokiandika nikimuonya awe makini kupokea kila neno, sentesi ,aya na hata kurasa anazoletewa na wasaidizi wake kwani kitabu kitabeba jina lake na kitabu kikiwa kibaya, basi ubaya huo utamuhusu yeye kama mmliki na mwandishi mkuu wa kitabu chake.
Leo hii ikiwa ni takribani miaka minne na miezi miwili, tayari mwanasiasa Tundu Lissu ameandika summary tu ya kitabu hiki ambacho bado kinaendelea kuandika na muhisika na ajue tu siku akitoka ofisini, watu watakuwa huru kukichapisha na kukisambaza kitabu chake huku yeye akiwa hana nguvu yoyote ya kuzuia watu wasikisome na kukisambaza kitabu chake.
Summary tu ya kitabu hiki inamuweka pabaya sasa sijui kitabu kizima kitamuweka katika hali gani mbele ya jamii na hapa asisahau watu hukumbuka mabaya zaidi hata kama kuna mema au kuna mazuri machache mtu uliofanya.
Huyu ndugu anaandika kitabu kisichopendeza kukisoma na salama hizi za Lissu zimfumbue macho ajue ni nini anafanya na ni kumbukumbu gani anaiacha.
Kwa sasa wanaotunza kumbukumbu ni wengi ila wanaoesema kama afanyavyo Lissu ni wachache na hii ni kwasababu watu wamejaa hofu, ila kuna wakati unakuja watakuwa huru kusema na kuandika na huo ndio utakuwa wakati mgumu sana kwa Bwana mkubwa.
sijaelewaSiku za nyuma niliwahi leta mada hapa JF nikasema,kuonya na kumtahadharisha Bwana mkubwa kuwa anachokifanya ni kuandika kitabu ambacho kitakuja kusomwa hata na vizazi vijavyo hivyo awe makini.
Nilimtahadharisha na kumshauri kuwa awe makini na kitabu anachokiandika nikimuonya awe makini kupokea kila neno, sentesi ,aya na hata kurasa anazoletewa na wasaidizi wake kwani kitabu kitabeba jina lake na kitabu kikiwa kibaya, basi ubaya huo utamuhusu yeye kama mmliki na mwandishi mkuu wa kitabu chake.
Leo hii ikiwa ni takribani miaka minne na miezi miwili, tayari mwanasiasa Tundu Lissu ameandika summary tu ya kitabu hiki ambacho bado kinaendelea kuandika na muhisika na ajue tu siku akitoka ofisini, watu watakuwa huru kukichapisha na kukisambaza kitabu chake huku yeye akiwa hana nguvu yoyote ya kuzuia watu wasikisome na kukisambaza kitabu chake.
Summary tu ya kitabu hiki inamuweka pabaya sasa sijui kitabu kizima kitamuweka katika hali gani mbele ya jamii na hapa asisahau watu hukumbuka mabaya zaidi hata kama kuna mema au kuna mazuri machache mtu uliofanya.
Huyu ndugu anaandika kitabu kisichopendeza kukisoma na salama hizi za Lissu zimfumbue macho ajue ni nini anafanya na ni kumbukumbu gani anaiacha.
Kwa sasa wanaotunza kumbukumbu ni wengi ila wanaoesema kama afanyavyo Lissu ni wachache na hii ni kwasababu watu wamejaa hofu, ila kuna wakati unakuja watakuwa huru kusema na kuandika na huo ndio utakuwa wakati mgumu sana kwa Bwana mkubwa.
Akikujibu nistue
Inabidi asukubiwe kwa matumizi mabaya ya madarakaujenzi wa reli, ununuzi wa ndege, treni kwenda moshi, tutamkumbuka kwa hayo
Kuua watu?Huyo Msanii Lissu watu wenye akili timamu walishampuuza na nikuambie ni ujinga kuendelea kuamini kuwa Lissu atarudi nchini..na hata akirudi hana impact yeyote Yule.
Nonetheless, wakati Umeandika hayo kuna ambao watamkumbuka kwa kuleta uwajibikaji serikalini, ujenzi wa miundombinu ya kimkakati, watoto wao kupata uhakika wa elimu, wakulima na machinga hawatoisha kupaza sauti zao kwa mema aliyowatendea..list ni ndefu sana.
Idd Amin alifanya yote hayo lkn anakumbukwa kwa mauaji!ujenzi wa reli, ununuzi wa ndege, treni kwenda moshi, tutamkumbuka kwa hayo