Tundu Lissu ameandika summary tu ya kitabu ambacho Bwana Mkubwa amekiandika kwa muda wa miaka 4 na miezi miwili sasa

Power corrupts, ABSOLUTE POWER CORRUPTS ABSOLUTELY![emoji53][emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kudanganya watu na pia acha kumfariji Jiwe kwa madhambi anayotenda bali ajue atakuja kulipa na kama sio yeye basi kiazi chake ndio kitalipa madhambi yake.
 
Mtu anayefanya mazuri hutetewa na umma wa watu anaowaongoza. Hatajipigania ila atapiganiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nalaani matendo yote mabaya aliyoyafanya Hitler lakini kuna kipindi nadhani ata wajerumani wenyewe wanafurahia kimoyo moyo misingi imara aliyoiweka ..This super power Nation is what it is because of Hitler...Do they really care that much!?...Hard to tell.
 
Very cheap excuse, uwe mkatili kwa kutisha,kutesa na kudhuru watu kwa namna mbalimbali kutokana na nafasi na dhamana uliyonayo kisingizio kiwe 'binadamu hatujakamilika'. That's a very stupid statement.
Kusamehe au kutokusamehe ni hiyari ya mtu, bora kuwa mkweli kusema unachojisikia kuliko kuwa mnafiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukikaa kusikiliza hadithi za huyo hayawani lissu utaumiza kichwa chako bure huyo dishi limeyumba acheni aweweseke kivyake mwachie mkuu achape kazi upuuzi wake hakuna mtu ataukumbuka nchi itakuwa kwenye neema ya asali na maziwa
 

WEWE NI BOYA BALAA UWAJIBIKAJI UPI SERIKALINI AMELETA MZEE BABA ZAIDI YA TAABU NA NJAA.WATUMISHI NI MWAKA WA NNE SASA MZEE BABA HAJAWAFANYIA CHOCHOTE ZAIDI YA KUTUMBUA NA KUWATEUA WALIOMSAIDIA KUFAULU PHD YAKE PALE UDSM.ACHA KELELE WEWE PIMBI MASKINI NA MCHAWI WA GAMBOSHI
 
Ajabu sana hii! Mbona Uingereza imeendendelea jee walikuwa na kiongozi wa aina hiyo? Go to France, US, Japan nk mbona haikuwa hivyo?
Kwa nini jina Hitler halitajwi kwa fahari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajabu sana hii! Mbona Uingereza imeendendelea jee walikuwa na kiongozi wa aina hiyo? Go to France, US, Japan nk mbona haikuwa hivyo?
Kwa nini jina Hitler halitajwi kwa fahari?

Sent using Jamii Forums mobile app
For a starter...US imejengwa na watumwa, England imetawala almost 75% of the entire world...France is still screwing most of Poor countries, Japan have a point to prove..Of all the above countries, only US has better economy compared to Germany...Utumwa ni hatari sana,ukoloni likewise..US, England and France are still practicing the thing but in a more sophisticated ways.
 
Sijakuelewa dogo..ongeza sauti
 
Elimu ya uhakika ipi bongo?
Hapo sikubaliani na wewe

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
 
Sitashiriki Kumkumbuka Magufuli kwa mabaya maana yataongeza Machungu, mi nitamkumbuka kwa Chembe chache za Mazuri yake kama Uthubutu
1.Kufufufua Reli
2.Kupunguza utegemezi Wa nje
3.Kuinitiate Miradi Mikubwa bila hofu
4.Kusimamia anayoyaamini

Lakini Nikisema nimkumbuke kwa yafuatayo chini naweza ishia kwenda kuchoma kijiji kizima pale Chato
1.Kula hela ya Tetemeko
2.Kuwaondolea watanzania amani na utulivu
3Kuwapiga au kuongoza serikali ambayo watu wake wanauwawa na kupotezwa saa nyingine kubadilishana kwenye Magereza ya nchi Jirani!
4Kuwabambikia kesi za kuhujumu uchumi watu
5.Kuwapoteza wana habari
6.Kuwalazimisha wawekezaji wakubwa kuwateka kugawana mali
7.Kuendekeza Genge la Makonda, Msiba na Me mutuz

Ninamuomba Mungu nisiyakumbuke haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…