Pre GE2025 Tundu Lissu ameanza kupuuzwa, umaarufu wake umeshuka kwa kasi mno

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unaandikaga mavitu marefu halafu hayana kichwa wala miguu
Relax kwanza gentleman,

make sure hang over imeisha kabisa, sio unakurupuka na kuvamia mavitu yaliyokuzidi uwezo gentleman, sawa?

kunywa maji mengi sasa na uache uvuvi šŸ’
 
Muungwana haaminiki tena,
Idadi ya waliokua wakifuatilia siasa zake imeshuka na hakuna mtu anae mtilia maanani tena.
Wanampuuza tu na kumuona kama mtu mwenye chuki moyoni alizokua nazo tangu siku nyingi dhidi ya viongoz wenzake Chadema. Ameonekana ni kama mtu manafiki mwenye makusudi ya kuficha ushauri na kuombea mambo yaende kombo kwa viongozi wengine.

Kukosekana kwa utulivu, hekima na busara katika mambo anayoyaibua na watu anao watuhumu na kuwasingizia mambo mbalimbali bila ushahidi, kumemfanya ushawishi wake ushuke na kuonekana ni kama uzushi na uongo wa kutunga dhidi ya wenye nguvu zaidi yake ndani ya chadema.

Lisu anaingia katika historia ya wanasiasa nchini waliopoteza umaarufu, ushawishi na mvuto wa kisiasa kwa kasi mno, sababu kuu zikiwa ni pamoja na papara, tamaa na uchu wa madaraka, kukosa utulivu, hekima, busara na upendo miongni mwa viongozi wenzake waandamizi ndani ya chadema.

Ni vigumu sana kuaminika kwa wananchi ikiwa unahubiri, chuki, migawanyiko na ubaya dhidi ya wanaokubalika zaidi yako ndani ya chama, unawasema na kuwasingizia wengine mambo mabaya eti kusudi wewe uonekane wa maana na msafi zaidi ya pamba, kumbe ni mnafiki tu ulierubuniwa kifikra na fedha na mabwenyenye ya magharibi.

Kibaraka Utashindana Lakini Hautashinda šŸ’

Mungu Ibarki Tanzania.
Kwanini msisubiri uchaguzi? Kama wewe ni mpiga kura na unamwona hafai usimpe kura.
 
Gentleman,
nisingeandika kivipi sasa wakati mimi ni mtaalamu na mbobevu wa masula haya ya siasa?

unadhani mimi ni shabiki wa mihemko kama wewe?

Kwakweli nafanya haya for the record, na kwa faida ya wadau wa JF, kujua na kuelewa yanayojiri kuelekea uchaguzi wa chadema Taifa, na sio kufanya watu wapate mihemko na ghadhabu šŸ’
Kwa nini mtu akindika tofauti na mawazo yako una paniki? Tundu Lissu sisi CCM hatumtaki. Period.
 
Kwanini msisubiri uchaguzi? Kama wewe ni mpiga kura na unamwona hafai usimpe kura.
linalowezekana Leo lifanyike leo, why msubiri gentleman?šŸ’

mimi ni mtaalamu mbobevu na mtafiti katika siasa za vyama humu nchini šŸ’
 
Kwa nini mtu akindika tofauti na mawazo yako una paniki? Tundu Lissu sisi CCM hatumtaki. Period.
Gentleman hebu,
nielekeze namna ya kupanic, kupata mihemko, makasiriko na ghadhabu ntafurahi sana kua na chuki binafsi kama wewe aise,

Hata hivyo
mbona hayupo mwenye mawazo, maoni au mtazamo tofauti na niliotoa kwenye kwenye hoja mahususi mezani šŸ’
 
Muungwana haaminiki tena,
Idadi ya waliokua wakifuatilia siasa zake imeshuka na hakuna mtu anae mtilia maanani tena.
Wanampuuza tu na kumuona kama mtu mwenye chuki moyoni alizokua nazo tangu siku nyingi dhidi ya viongoz wenzake Chadema. Ameonekana ni kama mtu manafiki mwenye makusudi ya kuficha ushauri na kuombea mambo yaende kombo kwa viongozi wengine.

Kukosekana kwa utulivu, hekima na busara katika mambo anayoyaibua na watu anao watuhumu na kuwasingizia mambo mbalimbali bila ushahidi, kumemfanya ushawishi wake ushuke na kuonekana ni kama uzushi na uongo wa kutunga dhidi ya wenye nguvu zaidi yake ndani ya chadema.

Lisu anaingia katika historia ya wanasiasa nchini waliopoteza umaarufu, ushawishi na mvuto wa kisiasa kwa kasi mno, sababu kuu zikiwa ni pamoja na papara, tamaa na uchu wa madaraka, kukosa utulivu, hekima, busara na upendo miongni mwa viongozi wenzake waandamizi ndani ya chadema.

Ni vigumu sana kuaminika kwa wananchi ikiwa unahubiri, chuki, migawanyiko na ubaya dhidi ya wanaokubalika zaidi yako ndani ya chama, unawasema na kuwasingizia wengine mambo mabaya eti kusudi wewe uonekane wa maana na msafi zaidi ya pamba, kumbe ni mnafiki tu ulierubuniwa kifikra na fedha na mabwenyenye ya magharibi.

Kibaraka Utashindana Lakini Hautashinda šŸ’

Mungu Ibarki Tanzania.
Kutokea korido za lumumba
 
GODBLESS LEMA amakua GODBLESS TUNDU LISU gentleman?šŸ’
Member jf 2023 akili yako fupi sana
Screenshot_20241228_154004_Edge.jpg

Kama huwezi kutofautisha maneno ya GOD BLESS na neno GODBLESS basi uwezo wako wa kufikiri una walakini
 
Member jf 2023 akili yako fupi sana
View attachment 3187028

Kama huwezi kutofautisha maneno ya GOD BLESS na neno GODBLESS basi uwezo wako wa kufikiri una walakini
sasa mbona member mwenye expirience ya zaidi ya 10yrs na huna content za maana umejaa mihemko na makasiriko tu aise? na una tofauti gana na alie jiunga jf jana sasa gentleman:pedroP:

onyesha ukomavu na ubobevu wako kwa kuja na mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi kwa faida ya wadau sio kumbwelambwela na mipasho tu...

maana yake you are done mentally, right? :pedroP:
 
0 brain.

Nikibishana na kichaa nitaonekana kichaa.

Ngoja nikae kimya.
 
Muungwana haaminiki tena,
Idadi ya waliokua wakifuatilia siasa zake imeshuka na hakuna mtu anae mtilia maanani tena.
Wanampuuza tu na kumuona kama mtu mwenye chuki moyoni alizokua nazo tangu siku nyingi dhidi ya viongoz wenzake Chadema. Ameonekana ni kama mtu manafiki mwenye makusudi ya kuficha ushauri na kuombea mambo yaende kombo kwa viongozi wengine.

Kukosekana kwa utulivu, hekima na busara katika mambo anayoyaibua na watu anao watuhumu na kuwasingizia mambo mbalimbali bila ushahidi, kumemfanya ushawishi wake ushuke na kuonekana ni kama uzushi na uongo wa kutunga dhidi ya wenye nguvu zaidi yake ndani ya chadema.

Lisu anaingia katika historia ya wanasiasa nchini waliopoteza umaarufu, ushawishi na mvuto wa kisiasa kwa kasi mno, sababu kuu zikiwa ni pamoja na papara, tamaa na uchu wa madaraka, kukosa utulivu, hekima, busara na upendo miongni mwa viongozi wenzake waandamizi ndani ya chadema.

Ni vigumu sana kuaminika kwa wananchi ikiwa unahubiri, chuki, migawanyiko na ubaya dhidi ya wanaokubalika zaidi yako ndani ya chama, unawasema na kuwasingizia wengine mambo mabaya eti kusudi wewe uonekane wa maana na msafi zaidi ya pamba, kumbe ni mnafiki tu ulierubuniwa kifikra na fedha na mabwenyenye ya magharibi.

Kibaraka Utashindana Lakini Hautashinda šŸ’

Mungu Ibarki Tanzania.
Zungumzia nyumbani kwako kwa jirani waachie yao.
 
Tz aisee Generation la vilaza ,kama kweli ndo kingekua kipindi cha wazee wetu wakipambana na mkoloni , hii Generation ilitakiwa kuwa Gwantanam, haibu kubwa hii, yani unakuta ya nyumbani kwako yanakushinda ,unafuata ya jirani, kama sio laana nini hii,pumbavu sana
 
gentleman,
ikiwa huna mawazo mapya na fikra mbadala unakausha tu wengine watambae na biti za kisiasa gentleman:pedroP:
 
Tz aisee Generation la vilaza ,kama kweli ndo kingekua kipindi cha wazee wetu wakipambana na mkoloni , hii Generation ilitakiwa kuwa Gwantanam, haibu kubwa hii, yani unakuta ya nyumbani kwako yanakushinda ,unafuata ya jirani, kama sio laana nini hii,pumbavu sana
Gentleman,
ni mbaya sana kuishi kwa mihemko na ghadhabu huku ukiwa huna point na halafu unajojaribu kukitetea hakikubaliki na kinapuuzwa kila kona :pedroP:
 
Back
Top Bottom