Pre GE2025 Tundu Lissu ameanza kupuuzwa, umaarufu wake umeshuka kwa kasi mno

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Muungwana haaminiki tena,
Idadi ya waliokua wakifuatilia siasa zake imeshuka na hakuna mtu anae mtilia maanani tena.
Wanampuuza tu na kumuona kama mtu mwenye chuki moyoni alizokua nazo tangu siku nyingi dhidi ya viongoz wenzake Chadema. Ameonekana ni kama mtu manafiki mwenye makusudi ya kuficha ushauri na kuombea mambo yaende kombo kwa viongozi wengine.

Kukosekana kwa utulivu, hekima na busara katika mambo anayoyaibua na watu anao watuhumu na kuwasingizia mambo mbalimbali bila ushahidi, kumemfanya ushawishi wake ushuke na kuonekana ni kama uzushi na uongo wa kutunga dhidi ya wenye nguvu zaidi yake ndani ya chadema.

Lisu anaingia katika historia ya wanasiasa nchini waliopoteza umaarufu, ushawishi na mvuto wa kisiasa kwa kasi mno, sababu kuu zikiwa ni pamoja na papara, tamaa na uchu wa madaraka, kukosa utulivu, hekima, busara na upendo miongni mwa viongozi wenzake waandamizi ndani ya chadema.

Ni vigumu sana kuaminika kwa wananchi ikiwa unahubiri, chuki, migawanyiko na ubaya dhidi ya wanaokubalika zaidi yako ndani ya chama, unawasema na kuwasingizia wengine mambo mabaya eti kusudi wewe uonekane wa maana na msafi zaidi ya pamba, kumbe ni mnafiki tu ulierubuniwa kifikra na fedha na mabwenyenye ya magharibi.

Kibaraka Utashindana Lakini Hautashinda 🐒

Mungu Ibarki Tanzania.
Huna uhakika wala ushahidi wa unayoropoka. Ila walio wazima wote, kwa kupitia analysis ya maandiko yake, wana uhakika kichwa cha Tlaatlaah, kimekosa content muhimu inayokamilisha sifa ya kichwa, yaani ujazo ubongo katika ujazo sahihi.
 
niinjoy vip sasa gentleman,

mimi ni mtafiti na mchambuzi wa siasa za vyama,
nitafanya utafiti na kujua nini kimesababisha chadema ife kifo cha mende halafu nitakuja kuandika humu,

si itapendeza zaid tu:pedroP:
Mchambuzi au Mcha Mbuzi? 😀
Kama Mchambuzi ilikubidi usiwe na upande katika uchaguzi wao. Wewe subiri matokeo
 
Duh! Yaani kwa akili hii ya kubahatishabahatisha, uwe mtafiti wewe!! Maajabu makubwa!!
 
Mambo unayoandika yaanshiria Una akili ndogo.

Kumuita MTU kibaraka na mambo Kama hayo inaonesha ni jinsi gani upo uncivilized .

Nadhani katika mambo huwa yanwaharibu akili waswahili ni Ccm simba yanga , mashabiki wa hivi vitu huwa wana upeo mdogo Sana wa kufikiri
Unatuonea sisi Yanga tuna uwezo mkubwa na upeo mkubwa labda simba.

Ila huyu juha mtoa uzi ni chizi na ana akili ndogo kama kisoda
 
kumbe ndiyo hivyo,

sasa naanza kumuelewa kibaraka,

kabla hajaenda kwa mabwenyenye yanayombackup alitangaza kugombea umakamu mwenyekiti wa Chadema Taifa, aliporudi akatangaza eti anagombea uenyekiti Taifa wa Chadema.

unadhani mabwenyenye walimuelekeza nini mpaka akapata mawenge na kubadili uamuzi kwa kubabaika namna hiyo?

haijulikani akienda tena ataambiwa abadili nini 🤣
Wewe ni CCM mbona unahangaika Sana na CHADEMA , waachie wao ndo wataamua, pili ACHA kuandika vichekesho hakuna nchi ya kiafrika ambayo haiwategemei hao unaowata mabwenyeye
 
Muungwana haaminiki tena,

Idadi ya waliokua wakifuatilia siasa zake imeshuka na hakuna mtu anae mtilia maanani tena.

Wanampuuza tu na kumuona kama mtu mwenye chuki moyoni alizokua nazo tangu siku nyingi dhidi ya viongoz wenzake Chadema. Ameonekana ni kama mtu manafiki mwenye makusudi ya kuficha ushauri na kuombea mambo yaende kombo kwa viongozi wengine.

Kukosekana kwa utulivu, hekima na busara katika mambo anayoyaibua na watu anao watuhumu na kuwasingizia mambo mbalimbali bila ushahidi, kumemfanya ushawishi wake ushuke na kuonekana ni kama uzushi na uongo wa kutunga dhidi ya wenye nguvu zaidi yake ndani ya chadema.

Lisu anaingia katika historia ya wanasiasa nchini waliopoteza umaarufu, ushawishi na mvuto wa kisiasa kwa kasi mno, sababu kuu zikiwa ni pamoja na papara, tamaa na uchu wa madaraka, kukosa utulivu, hekima, busara na upendo miongni mwa viongozi wenzake waandamizi ndani ya chadema.

Ni vigumu sana kuaminika kwa wananchi ikiwa unahubiri, chuki, migawanyiko na ubaya dhidi ya wanaokubalika zaidi yako ndani ya chama, unawasema na kuwasingizia wengine mambo mabaya eti kusudi wewe uonekane wa maana na msafi zaidi ya pamba, kumbe ni mnafiki tu ulierubuniwa kifikra na fedha na mabwenyenye ya magharibi.

Kibaraka Utashindana Lakini Hautashinda 🐒

Mungu Ibarki Tanzania.
Lissu shikilia hapo hapo usiachie, Hadi waseme
 
Yes,
kibaraka akamatie vizuri sana na aambatane bega kwa bega na hao akina Askofu mwamakula, ili Jan.22,2025, wajumbe wa mkutano mkuu waje kumsulubisha kwa kura mchana kweupe hadharai mbele ya hao maaskofu, ili iwe fundisho kwa wenye midomo na tamaa wengine :pedroP:
 
gentleman,
hivi kwa kiswahili cha rejareja tafsiri ya BIG DOGG ni mbwa mkubwa ee, politically speaking? au? :pedroP:

sasa utakua na IQ ya aina gani zaidi ya kubwekabweka?
Mbwa mkubwa ni mtu makini ndio maana wakali wengi wana majina ya kimbwa kama kina MAO ZE DONG sasa kuna watasha kama snoop doggy, nate dogg na bongo mbdogg so jaribu kutupa hekima. Na kule mbelez wanaambiana na kuitana my dogg akimaanisha mwane saana. So BIG DOGG ni jina kali sana. Come on you fool. Bark with the BIG DOGG
 
Duh! Yaani kwa akili hii ya kubahatishabahatisha, uwe mtafiti wewe!! Maajabu makubwa!!
kwahiyo umekasirka kamanda?

utafiti umethibitisha kwamba kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi hawezi kushinda uenyekiti wa chadema Taifa, wajumbe wa mkutano mkuu watathibitisha hilo kwa vitendo Jan,22,2025 :pedroP:
 
Mbwa mkubwa ni mtu makini ndio maana wakali wengi wana majina ya kimbwa kama kina MAO ZE DONG sasa kuna watasha kama snoop doggy, nate dogg na bongo mbdogg so jaribu kutupa hekima. Na kule mbelez wanaambiana na kuitana my dogg akimaanisha mwane saana. So BIG DOGG ni jina kali sana. Come on you fool. Bark with the BIG DOGG
sawa BIG DOGG with zero IQ,

nakukubali sana gentleman,

natumai wadau wa JF wamekuelewa:pedroP:
 
Unatuonea sisi Yanga tuna uwezo mkubwa na upeo mkubwa labda simba.

Ila huyu juha mtoa uzi ni chizi na ana akili ndogo kama kisoda
sawa makolo na utopolo kwa mchango wenu:pedroP:
 
Mchambuzi au Mcha Mbuzi? 😀
Kama Mchambuzi ilikubidi usiwe na upande katika uchaguzi wao. Wewe subiri matokeo
mimi sina upande wowote gentleman, hususan kwenye uchaguzi wa chadema unaotarajiwa kufanyika mapema Jan.22,2025:pulpTRAVOLTA:
 
Muungwana haaminiki tena,

Idadi ya waliokua wakifuatilia siasa zake imeshuka na hakuna mtu anae mtilia maanani tena.

Wanampuuza tu na kumuona kama mtu mwenye chuki moyoni alizokua nazo tangu siku nyingi dhidi ya viongoz wenzake Chadema. Ameonekana ni kama mtu manafiki mwenye makusudi ya kuficha ushauri na kuombea mambo yaende kombo kwa viongozi wengine.

Kukosekana kwa utulivu, hekima na busara katika mambo anayoyaibua na watu anao watuhumu na kuwasingizia mambo mbalimbali bila ushahidi, kumemfanya ushawishi wake ushuke na kuonekana ni kama uzushi na uongo wa kutunga dhidi ya wenye nguvu zaidi yake ndani ya chadema.

Lisu anaingia katika historia ya wanasiasa nchini waliopoteza umaarufu, ushawishi na mvuto wa kisiasa kwa kasi mno, sababu kuu zikiwa ni pamoja na papara, tamaa na uchu wa madaraka, kukosa utulivu, hekima, busara na upendo miongni mwa viongozi wenzake waandamizi ndani ya chadema.

Ni vigumu sana kuaminika kwa wananchi ikiwa unahubiri, chuki, migawanyiko na ubaya dhidi ya wanaokubalika zaidi yako ndani ya chama, unawasema na kuwasingizia wengine mambo mabaya eti kusudi wewe uonekane wa maana na msafi zaidi ya pamba, kumbe ni mnafiki tu ulierubuniwa kifikra na fedha na mabwenyenye ya magharibi.

Kibaraka Utashindana Lakini Hautashinda 🐒

Mungu Ibarki Tanzania.
Brother wewe ni kibaraka umetumwa

Pia tunamfuatilia wengi hata wewe uamfuatilia
 
Back
Top Bottom