Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaaaa we jamaa ni muongo muongo hivi.mimi sina upande wowote gentleman, hususan kwenye uchaguzi wa chadema unaotarajiwa kufanyika mapema Jan.22,2025![]()
Kichwa cha habari uzi huu kinasemaje na unasema hauna upande 😀gentleman,
sasa si useme huo ukweli kuliko kupotosha wadau kwa uzushi kama huo aise?![]()
Amepoteza umaarufi baada ya kukataa rushwa ya AbdulMuungwana haaminiki tena,
Idadi ya waliokua wakifuatilia siasa zake imeshuka na hakuna mtu anae mtilia maanani tena.
Wanampuuza tu na kumuona kama mtu mwenye chuki moyoni alizokua nazo tangu siku nyingi dhidi ya viongoz wenzake Chadema. Ameonekana ni kama mtu manafiki mwenye makusudi ya kuficha ushauri na kuombea mambo yaende kombo kwa viongozi wengine.
Kukosekana kwa utulivu, hekima na busara katika mambo anayoyaibua na watu anao watuhumu na kuwasingizia mambo mbalimbali bila ushahidi, kumemfanya ushawishi wake ushuke na kuonekana ni kama uzushi na uongo wa kutunga dhidi ya wenye nguvu zaidi yake ndani ya chadema.
Lisu anaingia katika historia ya wanasiasa nchini waliopoteza umaarufu, ushawishi na mvuto wa kisiasa kwa kasi mno, sababu kuu zikiwa ni pamoja na papara, tamaa na uchu wa madaraka, kukosa utulivu, hekima, busara na upendo miongni mwa viongozi wenzake waandamizi ndani ya chadema.
Ni vigumu sana kuaminika kwa wananchi ikiwa unahubiri, chuki, migawanyiko na ubaya dhidi ya wanaokubalika zaidi yako ndani ya chama, unawasema na kuwasingizia wengine mambo mabaya eti kusudi wewe uonekane wa maana na msafi zaidi ya pamba, kumbe ni mnafiki tu ulierubuniwa kifikra na fedha na mabwenyenye ya magharibi.
Kibaraka Utashindana Lakini Hautashinda 🐒
Mungu Ibarki Tanzania.
Takataka tupuMuungwana haaminiki tena,

Huyu dogo Tangu ameajiliwa lumumba kitengo Cha propaganda hajawahi kumshawishi mtu hata mmoja, eti yupo lumumba anasubiria ajira ya ukuu wa wilayaHoja zenu bado hazijakomaa.
Mna uwezo mdogo Sana wa kujenga hoja.
Dogo chawa jambo!Kapuuzwa na kudharaulika sana kwa sasa.
mdomo na makelele vimemfanya kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kupuuzwa kwa kiwango cha juu sana,Huyu dogo Tangu ameajiliwa lumumba kitengo Cha propaganda hajawahi kumshawishi mtu hata mmoja, eti yupo lumumba anasubiria ajira ya ukuu wa wilaya
Chawa mnataabika sanaMuungwana haaminiki tena,
Idadi ya waliokua wakifuatilia siasa zake imeshuka na hakuna mtu anae mtilia maanani tena.
Wanampuuza tu na kumuona kama mtu mwenye chuki moyoni alizokua nazo tangu siku nyingi dhidi ya viongoz wenzake Chadema. Ameonekana ni kama mtu manafiki mwenye makusudi ya kuficha ushauri na kuombea mambo yaende kombo kwa viongozi wengine.
Kukosekana kwa utulivu, hekima na busara katika mambo anayoyaibua na watu anao watuhumu na kuwasingizia mambo mbalimbali bila ushahidi, kumemfanya ushawishi wake ushuke na kuonekana ni kama uzushi na uongo wa kutunga dhidi ya wenye nguvu zaidi yake ndani ya chadema.
Lisu anaingia katika historia ya wanasiasa nchini waliopoteza umaarufu, ushawishi na mvuto wa kisiasa kwa kasi mno, sababu kuu zikiwa ni pamoja na papara, tamaa na uchu wa madaraka, kukosa utulivu, hekima, busara na upendo miongni mwa viongozi wenzake waandamizi ndani ya chadema.
Ni vigumu sana kuaminika kwa wananchi ikiwa unahubiri, chuki, migawanyiko na ubaya dhidi ya wanaokubalika zaidi yako ndani ya chama, unawasema na kuwasingizia wengine mambo mabaya eti kusudi wewe uonekane wa maana na msafi zaidi ya pamba, kumbe ni mnafiki tu ulierubuniwa kifikra na fedha na mabwenyenye ya magharibi.
Kibaraka Utashindana Lakini Hautashinda 🐒
Mungu Ibarki Tanzania.
Mtu timamu hawezi kumwamini chawamdomo na makelele vimemfanya kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kupuuzwa kwa kiwango cha juu sana,
huenda upotoshaji wako pia ukapuuzwa gentleman 🐒
Infact,Chawa mnataabika sana
kipindi ana omba omba bila aibu kuchangiwa alikua maarufu mno, alipopata pesa tu mbwata zikaanza kulia, kiburi kikasimama 🐒Kwako,
Lini TUNDU Lissu alikuwa viwango vya juu vya umaarufu Hadi aporomoke sasa?
Muungwana haaminiki tena,
Idadi ya waliokua wakifuatilia siasa zake imeshuka na hakuna mtu anae mtilia maanani tena.
Wanampuuza tu na kumuona kama mtu mwenye chuki moyoni alizokua nazo tangu siku nyingi dhidi ya viongoz wenzake Chadema. Ameonekana ni kama mtu manafiki mwenye makusudi ya kuficha ushauri na kuombea mambo yaende kombo kwa viongozi wengine.
Kukosekana kwa utulivu, hekima na busara katika mambo anayoyaibua na watu anao watuhumu na kuwasingizia mambo mbalimbali bila ushahidi, kumemfanya ushawishi wake ushuke na kuonekana ni kama uzushi na uongo wa kutunga dhidi ya wenye nguvu zaidi yake ndani ya chadema.
Lisu anaingia katika historia ya wanasiasa nchini waliopoteza umaarufu, ushawishi na mvuto wa kisiasa kwa kasi mno, sababu kuu zikiwa ni pamoja na papara, tamaa na uchu wa madaraka, kukosa utulivu, hekima, busara na upendo miongni mwa viongozi wenzake waandamizi ndani ya chadema.
Ni vigumu sana kuaminika kwa wananchi ikiwa unahubiri, chuki, migawanyiko na ubaya dhidi ya wanaokubalika zaidi yako ndani ya chama, unawasema na kuwasingizia wengine mambo mabaya eti kusudi wewe uonekane wa maana na msafi zaidi ya pamba, kumbe ni mnafiki tu ulierubuniwa kifikra na fedha na mabwenyenye ya magharibi.
Kibaraka Utashindana Lakini Hautashinda 🐒
Mungu Ibarki Tanzania.basu
Basi ndugu yangu tumekuelewa tutamchagu mchagua mboe..Muungwana haaminiki tena,