Pre GE2025 Tundu Lissu ameanza kupuuzwa, umaarufu wake umeshuka kwa kasi mno

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unaandikaga mavitu marefu halafu hayana kichwa wala miguu
Relax kwanza gentleman,

make sure hang over imeisha kabisa, sio unakurupuka na kuvamia mavitu yaliyokuzidi uwezo gentleman, sawa?

kunywa maji mengi sasa na uache uvuvi 🐒
 
Kwanini msisubiri uchaguzi? Kama wewe ni mpiga kura na unamwona hafai usimpe kura.
 
Kwa nini mtu akindika tofauti na mawazo yako una paniki? Tundu Lissu sisi CCM hatumtaki. Period.
 
Kwanini msisubiri uchaguzi? Kama wewe ni mpiga kura na unamwona hafai usimpe kura.
linalowezekana Leo lifanyike leo, why msubiri gentleman?🐒

mimi ni mtaalamu mbobevu na mtafiti katika siasa za vyama humu nchini 🐒
 
Kwa nini mtu akindika tofauti na mawazo yako una paniki? Tundu Lissu sisi CCM hatumtaki. Period.
Gentleman hebu,
nielekeze namna ya kupanic, kupata mihemko, makasiriko na ghadhabu ntafurahi sana kua na chuki binafsi kama wewe aise,

Hata hivyo
mbona hayupo mwenye mawazo, maoni au mtazamo tofauti na niliotoa kwenye kwenye hoja mahususi mezani 🐒
 
Kutokea korido za lumumba
 
Member jf 2023 akili yako fupi sana
View attachment 3187028

Kama huwezi kutofautisha maneno ya GOD BLESS na neno GODBLESS basi uwezo wako wa kufikiri una walakini
sasa mbona member mwenye expirience ya zaidi ya 10yrs na huna content za maana umejaa mihemko na makasiriko tu aise? na una tofauti gana na alie jiunga jf jana sasa gentleman

onyesha ukomavu na ubobevu wako kwa kuja na mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi kwa faida ya wadau sio kumbwelambwela na mipasho tu...

maana yake you are done mentally, right?
 
0 brain.

Nikibishana na kichaa nitaonekana kichaa.

Ngoja nikae kimya.
 
Zungumzia nyumbani kwako kwa jirani waachie yao.
 
Tz aisee Generation la vilaza ,kama kweli ndo kingekua kipindi cha wazee wetu wakipambana na mkoloni , hii Generation ilitakiwa kuwa Gwantanam, haibu kubwa hii, yani unakuta ya nyumbani kwako yanakushinda ,unafuata ya jirani, kama sio laana nini hii,pumbavu sana
 
Zungumzia nyumbani kwako kwa jirani waachie yao.
gentleman,
ikiwa huna mawazo mapya na fikra mbadala unakausha tu wengine watambae na biti za kisiasa gentleman
 
Gentleman,
ni mbaya sana kuishi kwa mihemko na ghadhabu huku ukiwa huna point na halafu unajojaribu kukitetea hakikubaliki na kinapuuzwa kila kona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…