Pre GE2025 Tundu Lissu ameanza kupuuzwa, umaarufu wake umeshuka kwa kasi mno

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Brother wewe ni kibaraka umetumwa

Pia tunamfuatilia wengi hata wewe uamfuatilia
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anagombea uenyekiti wa chadema Taifa, nchini Tanzania,

halafu eti akishinda apande ndege na huo uenyekiti kuwapelekea mabwenyenye wanaomfadhili.

ajabu zaidi tiketi ya ndege anatembea nayo mfukoni, yuko standbay kwa safari

ndrugu zangu, hilo linawezekana kweli?
 
Brother unaongea kishabiki

Bado haupo kwenye hoja

Kwenye ushabiki nishapita huko
 
Anapuuzwa na nani?
 
Huna uhakika wala ushahidi wa unayoropoka. Ila walio wazima wote, kwa kupitia analysis ya maandiko yake, wana uhakika kichwa cha Tlaatlaah, kimekosa content muhimu inayokamilisha sifa ya kichwa, yaani ujazo ubongo katika ujazo sahihi.
gentleman,
kichwa makini chenye bongo kali hakiwezi kumbwelambwela kama ulivyojieleza,

hata hivyo ,
ikiwa content mahususi sio muhimu, bongo kali inakuja na mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya hiyo content ambayo sio muhimu.

sasa unambwelambwela hapa halafu unajipiga kifua ati una akili? hiyo itakua akili au matope gentleman?
 
Brother unaongea kishabiki

Bado haupo kwenye hoja

Kwenye ushabiki nishapita huko
 
Mbona naona wewe ndo umepuuzwa na wenzako asilimia 90 ya wachangiaji wamekudharua ni ishara tosha nani amepuuzwa kati ya Mbowe na Lisu
 
WA CHIZIMKAZI umepanda Saaana 🤣🤣🚴🚴
 
Brother unaongea kishabiki

Bado haupo kwenye hoja

Kwenye ushabiki nishapita huko
gentleman,
hoja mahususi ni moja tu,
kibaraka wa mabwenyenye ya magaharibi kachokwa na kwakweli hivi sasa hata mitandaoni anapuuzwa tu,

hii ni kumaanisha kazi yake ya makelele na mdomo imefika ukomo, hana te jambo la kumpa kiki right?
 
Mbona naona wewe ndo umepuuzwa na wenzako asilimia 90 ya wachangiaji wamekudharua ni ishara tosha nani amepuuzwa kati ya Mbowe na Lisu
acha upotoshaji gentleman,

wana nipuuza vip hali ya kua wewe na wadau wengine muhimu sana wa JF mnachangia hoja mahusus mezani bila mbambamba yoyote?

au una mawenge gentleaman?
 
Mbona inaonekana wewe ndio unatafuta umaarufu kupitia Tundu Lissu. Ishi maisha yako mzee
 
Hiki chama wamejianzishia wachaga, kitendo cha kumuondoa Mbowe kitapoteza utambulisho wake, na ndio maana waliojazana nyumbani kwake huko Hai kumuomba aendelee ni walewale. Tucheze tu kula kila mtu kwa babake.
 
Mbowe unafelishwa na machawa na bila kujua unaingia kwenye mtego wa aibu ambao hata masltani wenzio kimewapata
Mfano Sultan lipumba
 
Tundu Lissu ameanza kupuuzwa, umaarufu wake umeshuka kwa kasi mno
Wewe Kibaraka (chawa) wa mafisadi na wezi wa chama cha mbaga mboga unateseka sana kama maharagwe jikoni.

Kila wakati unakuja na stori za kutunga, uzushi, umbea.. Angalia usivikwe dera.
Hivi huyo Lissu alikutomb.£a manzi wako, au?!!!
 
Wewe Kibaraka (chawa) wa mafisadi na wezi wa chama cha mbaga mboga unateseka sana kama maharagwe jikoni.

Kila wakati unakuja na stori za kutunga, uzushi, umbea.. Angalia usivikwe dera.
Hivi huyo Lissu alikutomb.£a manzi wako, au?!!!
relax bila kuporomosha matusi, heshimu wadau muhimu sana wa JF


ikiwa umefikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala, ni vizuri ukapumzika gentleman, kuliko kuporomosha matusi mazito kwa kukosa hoja.

hata hivyo,
ni kibaraka pekee ndie anaetunga tuhuma na kuwasingizia wengine bila uthibitisho.

na wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema taifa, wamepanga na kuamua kumkataa hadharini mchana kweupe kwenye sanduku la kura, ili iwe fundisho kwa wenye midomo na makelele kama yake 🐒
 
Mbowe unafelishwa na machawa na bila kujua unaingia kwenye mtego wa aibu ambao hata masltani wenzio kimewapata
Mfano Sultan lipumba
Jan 22, 2025 mwisho wa mdomo na makelele ya Kibaraka 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…