Pre GE2025 Tundu Lissu ameanza kupuuzwa, umaarufu wake umeshuka kwa kasi mno

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Amepoteza umaarufi baada ya kukataa rushwa ya Abdul

Dogo shetani anajaribu kushindana na mungu lakini hataweza

Ccm mnaitukuza sana rushwa na ufisadi
 
Takataka tupu
 
Huyu dogo Tangu ameajiliwa lumumba kitengo Cha propaganda hajawahi kumshawishi mtu hata mmoja, eti yupo lumumba anasubiria ajira ya ukuu wa wilaya
mdomo na makelele vimemfanya kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kupuuzwa kwa kiwango cha juu sana,

huenda upotoshaji wako pia ukapuuzwa gentleman πŸ’
 
Chawa mnataabika sana
 
Kwako,

Lini TUNDU Lissu alikuwa viwango vya juu vya umaarufu Hadi aporomoke sasa?
 
Chawa mnataabika sana
Infact,
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndie hasa anababaika, nadhani ni kwasabb ya tamaa na uroho wa madaraka,

Mara anataka umakamu mwenyekiti mara anataka uenyekiti, kifupi haeleweki πŸ’
 
Chawa mnataabika sana
Infact,
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndie hasa anababaika, nadhani ni kwasabb ya tamaa na uroho wa madaraka,

Mara anataka umakamu mwenyekiti mara anataka uenyekiti, kifupi haeleweki kabisa πŸ’
Kwako,

Lini TUNDU Lissu alikuwa viwango vya juu vya umaarufu Hadi aporomoke sasa?
kipindi ana omba omba bila aibu kuchangiwa alikua maarufu mno, alipopata pesa tu mbwata zikaanza kulia, kiburi kikasimama πŸ’
 
Mtu timamu hawezi kumwamini chawa
actually,
wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa wamegoma kabisa kumuamini wala kumkubali kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi πŸ’
 

Basi ndugu yangu tumekuelewa tutamchagu mchagua mboe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…