Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kama kawaida yake jamaa anazidi kutema Tanzanite tu, hajawahi kutuangusba
Usiache kuisikiliza hiyo video akiwa kwenye mkutano wa ACT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiache kuisikiliza hiyo video akiwa kwenye mkutano wa ACT
kwakwwli Lisu hana uoga ana misimamo kama waarabu A.K.A wazee wa kujilipua
Ni ukweli mtupu, hilo halina ubishi.
CCM hamnaga jema, mpeni mtu wenu mitano tena, awamu hii atatafuna ccm yoteNimemsikiliza Tundu Lissu anaongea kama binadamu aliyechanganyikiwa vile ambaye hana matumaini .
Anajaribu kwa kila namna kutafuta huruma ya wananchi na kwa bahati mbaya safari hakuna kura za huruma...
Hii ndio Chadema ninayoijua iliyopotea 2015....
Mkuu nimejisikia kuchemka ndani yangu.
Pia nimejifunza kitu kuwa hata ujio wa Lowasa kuna wengi waliumia.
Lakini sasa nimeanza kuipna ladha halisi ya upinzani, misimamo ya thabiti na divosheni isiyotia shaka katika kuirejesha Tanzania iliyo bora.
Nilisema ikiwa upinzani utaendelea kupwaya nisingepiga kura tena, lakini sasa nimeanza kuamka upya ndani yangu
Hilo limeisha mkuu. Binafsi, kuanzia jana nimeanza kumtafutia kura zakutosha TL ili tupate ushindi wa kimbunga.Tuunganishe nguvu zetu mkuu ili tumsapoti huyu mkombozi wetu.
Kuhusu kuungwa mkono usiwe na wasiwasi.
Tumeanza upyaaaaaa!! In Bwege's voice.
2015, CDM waliofanya kosa kutowasikiliza Watanzania. Binafsi naamini walishinda but it was tight.... Ndiyo maana waliibiwa kilahisi. Kikitoa chama tawala you need a landslide kitu ambacho siyo rahisi kwa sasa.
Lissu anaogopesha kumsikiliza duh
Ni kweli usemavyo, ukiwa legelege ccm itatawala milele.
Lowasa alitupumbaza, naona alikuja kimkakati
Wote sasa hivi kila mtu anaongea lugha yake, ina maanisha hawaelewani huko lumumbaNa mkombozi awe na sifa za kutisha, ccm hakutoshi sasa
Akimuunga Lisu mkono haina madhara kivile lkn aking'ang'ana tujue ni walewaleAlifanikiwa kuifanya kazi yake aliyo tumwa na akaturudisha nyumba maili mia.
Hadi leo hii sina OK imani sana na yule wa ACT maana hiyo ishakuwa ni mipango ya ccm kutupumbaza.