Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amebadili upepo wa siasa. Watanzania tumuunge mkono

Makamba nape na kinana ndio wanakuelewa subiri Polepole zamu yake ifike atakumbuka yaliyomtokea nape mzee wa handgoal
Watanzania wawapo mezani wakila wana kiburi sana kama vile hawatataka kula tena. Nawashangaa pole pole na Bashiru wana bihevu.

Magufuli wasio wa kucheka naye hata kidogo
 
Muda
Watanzania wawapo mezani wakila wana kiburi sana kama vile hawatataka kula tena.
Nawashangaa pole pole na Bashiru wana bihevu.

Muda utawaamulia destiny Yao wapi makamba baba
 
Huyu bwana kwa msimamo huu atawatoa wengi majumbani kwenda kupiga kura kwani anawaondoa watu wasiwasi kabisa.

Magufuli amekuwa na hulka ya kukwepa mno ushindani kwenye chaguzi lakini safari hii amenasa, namshauri awe mpole tu sanduku ndio liamue.

Akitaka kuleta ubabe kama alivyozoea sidhani kama itamsaidia na hata akirudi ikulu kwa hila ajiandae kuhujumiwa uchumi na wazungu.
Magufuli is at crossroads.
 
Akimuunga Lisu mkono haina madhara kivile lkn aking'ang'ana tujue ni walewale
Kabisa mkuu, vyovyote vile iwavyo atalazimika kumuunga Lissu maana hao ACT bado hawana mtaji wa wapiga kura wa kutosha.

Cdm tumefanya kazi kubwa ya kukipeleka chama hadi mashinani ambako ccm walikuwa wanajivunia.

Sasa hivi hata uende kijijini kabisa kule mbwinde au mwandiga utaikuta cdm tena iliyo hai.
 
Huyu bwana kwa msimamo huu atawatoa wengi majumbani kwenda kupiga kura kwani anawaondoa watu wasiwasi kabisa.

Magufuli amekuwa na hulka ya kukwepa mno ushindani kwenye chaguzi lkn safari hii amenasa, namshauri awe mpole tu sanduku ndio liamue.

Akitaka kuleta ubabe kama alivyozoea sidhani kama itamsaidia na hata akirudi ikulu kwa hila ajiandae kuhujumiwa uchumi na wazungu.
Magufuli at crossroads.
ccm wajipange sana, awamu hii wanalo
 
Watanzania wawapo mezani wakila wana kiburi sana kama vile hawatataka kula tena.
Nawashangaa pole pole na Bashiru wana bihevu.
Magufuli wasio wa kucheka naye hata kidogo
Afadhali huyo Bashiru maana wanatoka kumoja huko kwao lkn polepole atajuta siku ya kutupiwa virago
 
Kabisa mkuu, vyovyote vile iwavyo atalazimika kumuunga Lissu maana hao ACT bado hawana mtaji wa wapiga kura wa kutosha.

Cdm tumefanya kazi kubwa ya kukipeleka chama hadi mashinani ambako ccm walikuwa wanajivunia.

Sasa hivi hata uende kijijini kabisa kule mbwinde au mwandiga utaikuta cdm tena iliyo hai.
Ninasikitika sana EL kutuhujumu na tumeanza upya
 
Back
Top Bottom