Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wametuondolea imani hadi hatuwaamini wengine
Ameshakuwa robot huyo mwili wote vyumaHuyu sio mtu wa kawaida
Ilikuwa hotuba fikirishi sanaUmeonaeeeeee? Kama utakumbuka leo hotuba ya mh Lissu ameligusia kwa akili kubwa sana.
Aliposema kuwa kwa sasa upinzani kuungana inawezekana lkn kwa kuangalia ni upande gani ni salama.
Amesema kuwa kwa sasa kuna mitego mingi sana kwa wapinzani. Huo ni ujumbe wenye kubeba maana kubwa sana.
Bado sijasikia Lissu atalifanyia nini Taifa zaidi nasikia miruzi mingi ikipigwa ya ushabiki bila hoja za msingi.
Tamaa za Mbowe ndio zilifanya Chama kukosa mwelekeo.Haikupotea bali ilikuwa kizuwizini
Tamaa za Mbowe ndio zilifanya Chama kukosa mwelekeo.
Mkuu kuwa makini unapotumia neno Watanzania wengi, Unapolitumia neno wengi maana yake unatafuta justification ya kitu fulani, ambayo ni makosa.Mkuu kwa sasa watanzania wengi wamesha amua na wapo tayari kumchagua mh Lissu
Magufuli amefanikiwa kuwajengea hofu kuhusu utawala wake, ndio maana ujasiri wa Lissu unawashitua wengi kwa sasa.Lissu anaogopesha kumsikiliza duh
Tumekuwa taifa la waoga, amebaki mwanaume mmoja tu anafanya atakavyo, anakuteua kwa mujibu wa sheria lkn anakutumbua hadharani mbeleni ya kadamnasi atakavyo yeye.Magufuli amefanikiwa kuwajengea hofu kuhusu utawala wake, ndio maana ujasiri wa Lissu unawashitua wengi kwa sasa.
Mkuu kuwa makini unapotumia neno Watanzania wengi, Unapolitumia neno wengi maana yake unatafuta justification ya kitu fulani, ambayo ni makosa.
Jaribu sana kuepuka kauli jumuishi.
Tundu Lissu ni mgombea wa CHADEMA, hao ndio wanaomuhitaji, Kwa Watanzania kipimo chake ni siku ya uchaguzi hivyo usiwasemehe usiwajua mioyo yao, Period.
Ujio wa Lissu umewazindua Watanzania wengi wameona kumbe inawezekana...Tumekuwa taifa la waoga, amebaki mwanaume mmoja tu anafanya atakavyo, anakuteua kwa mujibu wa sheria lkn anakutumbua hadharani mbeleni ya kadamnasi atakavyo yeye.
Akiamua anakutukana pia...tumuunge Lisu mkono
Jibu zuri sana. Akirudi hapa ni kukushukuru tu, zaidi ya hapo ubishi wake utakua uko kwenye damu.Anza kunywa mchuzi kwanza nyama utazikuta chini..haraka ya nini?
Jibu zuri sana. Akirudi hapa ni kukushukuru tu, zaidi ya hapo ubishi wake utakua uko kwenye damu. A very gentleman response.Anza kunywa mchuzi kwanza nyama utazikuta chini..haraka ya nini?