residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Utakuwa una ulemavu wa kusikia.Bado sijasikia Lissu atalifanyia nini Taifa zaidi nasikia miruzi mingi ikipigwa ya ushabiki bila hoja za msingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa una ulemavu wa kusikia.Bado sijasikia Lissu atalifanyia nini Taifa zaidi nasikia miruzi mingi ikipigwa ya ushabiki bila hoja za msingi.
Lissu ana sauti ya ukuu ambayo ndiyo inahitajika kuliko wakati wowote ule
Hiyo sauti PLPL haitakiSauti imejaa mamlaka na utisho
Nimemsikiliza Tundu Lissu anaongea kama binadamu aliyechanganyikiwa vile ambaye hana matumaini.
Anajaribu kwa kila namna kutafuta huruma ya wananchi na kwa bahati mbaya safari hakuna kura za huruma.
Anafanya uchochezi wa makusudi ili aonekane anaonewa kwa bahati mbaya au nzuri vyombo vya dola vimelitambua hilo na kuamua kumupuiza.
Niwashukuru Chadema kwa kumchagua huyu kupeperusha bendera yenu, maana baada kushindwa vibaya kwenye uchaguzi,uchaguzi wa mwaka 2025 hamtakuwa na propaganda za kitoto.
Hamna kitu hapo, ujinga umejaa tu kichwani, mnasifu anajua sheria mbona anazikimbia kesi kwa kisingizio anaumwa akini kwenye majukwaa anapona. Watanzania tuweni makini sana na watu wa dizaini hii ya kina SULI na wenzie kina TOZI, imagine mtu anapondea miundombinu na bado kila siku anaitumia, kw aufupi upinzani hamna mwenye akili timamu. Wale wengine wamepa mtu agombee URAIS kwa kuwa tu ana chuki dhidi ya MPJ. Kuna wanafunzi nawaona mnamtaka tapeli. Kama nchi yetu ingekuwa na sheria ya wazi ya umiliki silaha kama huko nje amini kuna vyama wangezaminiwa silaha ili walete vita. Binaaam asili yake ni mgumu kuuona ukweli. Tazameni Libya walidanganywa Gadafi dikteta wakakubali kumtoa leo wako wapi? Vipi kuhusu Sadam Hussein mnajua kilichompata. Wazungu wanapona unakwamisha mipango yao wanakuita dikteta ili wapate sababu ya kukushambulia sasa hawa kina Vichwa tupu wanaungwa mkono na wazungu mnajua nini kitatokea wakichukua madaraka? Watamtii bwana wao.
Kwa Watanzania wenye akili timamu mtakubaliana nami kuwa miaka 5 ya awamu hii ya 5, kimekuwa kipindi kigumu sana kilichojaa;
Hofu
Mashaka
Umasikini uliotopea
Ombwe la kiuongozi nk.
Watanzania wengi mioyo yao imejaa mashaka na kutojiamini tena.
Ni enzi za watawala wachache kuneemeka na kufanya walitakalo bila kuwajibishwa na yeyote.
Lakini baada ya Tundu Lissu kuteuliwa kuwa mgombea wa urais na kuanza kitema cheche, naona mioyo ya Watanzania ikihuishwa tena kuingia ulingoni kuipigania Tanzania yenye neema.
Wito wangu, tumuunge mkono huyu shujaa aliyejitoa Sadaka.
Kuthubutu kuyanyooshea kidole mapungufu ya huyu mfalme yahitaji moyo lakini huyu mwamba amedhamiria.
Kwa masikio yangu nimewasikia ccm wengi wakibadili gia angani na kuahidi kumpigia kura Lissu.
Shime Watanzania tuipiganie heshima ya nchi yetu nzuri ya maziwa na asali, upendo na mshikamano
Wazanzibar ninwaaminia sana, tufanyeni kweliSi Lisu tu anayeonewa , kila Mtz anaonewa na hili jinamizi la CCM
Huku Zanzibar hivi sasa vijana zaidi ya 50 000 wamekatwa hawajapatiwa vitambulisho , unafikiri hii ni kitu gani ?? Moto mnaanza kuwasha wenyewe , TUTAKULA NANYI SAHANI MOJA MARA HII
Kama una bidhaa lazima uilinde kisheria 'Pantenting of product'Mwaka huu kitaeleweka, wameanza kuweweseka, hadi Polepole ameanza kuwa mtetezi wa TID...ni yeyet
Wazanzibar ninwaaminia sana, tufanyeni kweli
Yaani hata Mimi mwili umesisimkaHuyu amejitoa sadaka, anavyoongea hadi mimi mwili wasisimka nikijaribu kuuva uhusika wa JPM anavyokasirika aliko
Mimi hata membe simwamini kbs2015, Chadema waliofanya kosa kutowasikiliza Watanzania. Binafsi naamini walishinda but it was tight.... Ndiyo maana waliibiwa kirahisi. Kikitoa chama tawala you need a landslide kitu ambacho siyo rahisi kwa sasa.
Actually, Membe hawezi kuvuta hisia za watu kama Lissu. Kwenda na Membe itakuwa ni kosa la kiufundi pia .... ingawa anaonekana kuwa yuko very genuine and determined.Mimi hata membe simwamini kbs