Igayo jr
Member
- Jun 25, 2020
- 97
- 98
EL haamini kabisa kinachoendelea Cdm, alifikiri amesaidia kuua upinzani.Ninasikitika sana EL kutuhujumu na tumeanza upya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EL haamini kabisa kinachoendelea Cdm, alifikiri amesaidia kuua upinzani.Ninasikitika sana EL kutuhujumu na tumeanza upya
Dhambi ya kusaliti mapambano ya haki inazidi kumtafuna huko aliko!!!Abaki hivyo hivyo
Wewe bado unaishi hujafa hujaumbika. Inawezekana siku moja na wewe ukaungwa kwa vyuma.Ameshakuwa robot huyo mwili wote vyuma
Sijaongelea kwa ubaya kama akili yako fupi inavyowaza.....Wewe bado unaishi hujafa hujaumbika. Inawezekana siku moja na wewe ukaungwa kwa vyuma.
Kwa Watanzania wenye akili timamu mtakubaliana nami kuwa miaka 5 ya awamu hii ya 5, kimekuwa kipindi kigumu sana kilichojaa;
Hofu
Mashaka
Umasikini uliotopea
Ombwe la kiuongozi nk.
Watanzania wengi mioyo yao imejaa mashaka na kutojiamini tena.
Ni enzi za watawala wachache kuneemeka na kufanya walitakalo bila kuwajibishwa na yeyote.
Lakini baada ya Tundu Lissu kuteuliwa kuwa mgombea wa urais na kuanza kitema cheche, naona mioyo ya Watanzania ikihuishwa tena kuingia ulingoni kuipigania Tanzania yenye neema.
Wito wangu, tumuunge mkono huyu shujaa aliyejitoa Sadaka.
Kuthubutu kuyanyooshea kidole mapungufu ya huyu mfalme yahitaji moyo lakini huyu mwamba amedhamiria.
Kwa masikio yangu nimewasikia ccm wengi wakibadili gia angani na kuahidi kumpigia kura Lissu.
Shime Watanzania tuipiganie heshima ya nchi yetu nzuri ya maziwa na asali, upendo na mshikamano
Uko sahihi, amejaribiwa na kuthibitika kuwa anafaa kukabidhiwa mambo magumuSijaongelea kwa ubaya kama akili yako fupi inavyowaza.....
nimetumia tasifida.....
nakufafanulia we usiyeelewa....
Lisu amekomaa kisiasa wakati huu zaidi kuliko wakati wwte ule......
attempt ya kuuwawa kwake imemfanya awe imara zaidi.....
siku nyingine usirudie ku quote kitu usichoelewa...
omba ufafanuzi alaa...
Huyo ni Lowassa part 2 mkuu.Mimi hata membe simwamini kbs
Ni kama ukiitaka pure gold ni lazima ipitishwe kwenye joto kali sana ili kutoa makapi makapi ya chuma na madini mwengine. Lissu amelipitia hilo na sasa amethibitika kuwa yeye ni pure mwanasiasaUko sahihi, amejaribiwa na kuthibitika kuwa anafaa kukabidhiwa mambo magumu
Kabisa aisee hata uso tu lissu alipomuita alikua Kama anasutwa nafsi ..akafie frontHuyo ni Lowassa part 2 mkuu.
Hahah afu naona raia kama wameshamshtukia kitambo, hata mitandaoni hatajwi kabisa huku ni Lissu vs Magu basi.Kabisa aisee hata uso tu lissu alipomuita alikua Kama anasutwa nafsi ..akafie front
Kwa Watanzania wenye akili timamu mtakubaliana nami kuwa miaka 5 ya awamu hii ya 5, kimekuwa kipindi kigumu sana kilichojaa;
Hofu
Mashaka
Umasikini uliotopea
Ombwe la kiuongozi nk.
Watanzania wengi mioyo yao imejaa mashaka na kutojiamini tena.
Ni enzi za watawala wachache kuneemeka na kufanya walitakalo bila kuwajibishwa na yeyote.
Lakini baada ya Tundu Lissu kuteuliwa kuwa mgombea wa urais na kuanza kitema cheche, naona mioyo ya Watanzania ikihuishwa tena kuingia ulingoni kuipigania Tanzania yenye neema.
Wito wangu, tumuunge mkono huyu shujaa aliyejitoa Sadaka.
Kuthubutu kuyanyooshea kidole mapungufu ya huyu mfalme yahitaji moyo lakini huyu mwamba amedhamiria.
Kwa masikio yangu nimewasikia ccm wengi wakibadili gia angani na kuahidi kumpigia kura Lissu.
Shime Watanzania tuipiganie heshima ya nchi yetu nzuri ya maziwa na asali, upendo na mshikamano
Kwa Watanzania wenye akili timamu mtakubaliana nami kuwa miaka 5 ya awamu hii ya 5, kimekuwa kipindi kigumu sana kilichojaa;
Hofu
Mashaka
Umasikini uliotopea
Ombwe la kiuongozi nk.
Watanzania wengi mioyo yao imejaa mashaka na kutojiamini tena.
Ni enzi za watawala wachache kuneemeka na kufanya walitakalo bila kuwajibishwa na yeyote.
Lakini baada ya Tundu Lissu kuteuliwa kuwa mgombea wa urais na kuanza kitema cheche, naona mioyo ya Watanzania ikihuishwa tena kuingia ulingoni kuipigania Tanzania yenye neema.
Wito wangu, tumuunge mkono huyu shujaa aliyejitoa Sadaka.
Kuthubutu kuyanyooshea kidole mapungufu ya huyu mfalme yahitaji moyo lakini huyu mwamba amedhamiria.
Kwa masikio yangu nimewasikia ccm wengi wakibadili gia angani na kuahidi kumpigia kura Lissu.
Shime Watanzania tuipiganie heshima ya nchi yetu nzuri ya maziwa na asali, upendo na mshikamano
Akishindwa kihalali/bila figisu figisu wala hilo sio tatizo kabisa.Lisu atashindwa uchaguzi October 28 saa nne asubuhi tu.
Nipo mkuu za masikuHahah rafiki upo?