Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Makamba nape na kinana ndio wanakuelewa subiri Polepole zamu yake ifike atakumbuka yaliyomtokea nape mzee wa handgoalCcm hamnaga jema, mpeni mtu wenu mitano tena, awamu hii atatafuna ccm yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makamba nape na kinana ndio wanakuelewa subiri Polepole zamu yake ifike atakumbuka yaliyomtokea nape mzee wa handgoalCcm hamnaga jema, mpeni mtu wenu mitano tena, awamu hii atatafuna ccm yote
Watanzania wawapo mezani wakila wana kiburi sana kama vile hawatataka kula tena. Nawashangaa pole pole na Bashiru wana bihevu.Makamba nape na kinana ndio wanakuelewa subiri Polepole zamu yake ifike atakumbuka yaliyomtokea nape mzee wa handgoal
Muda utawaamulia destiny Yao wapi makamba babaWatanzania wawapo mezani wakila wana kiburi sana kama vile hawatataka kula tena.
Nawashangaa pole pole na Bashiru wana bihevu.
Magufuli wasio wa kucheka naye hata kidogo
Hii ndio Chadema ninayoijua iliyopotea 2015....
Mkuu tukubali yalifanyika makosa ya kiufundi.Haikupotea bali ilikuwa kizuwizini
Anza kunywa mchuzi kwanza nyama utazikuta chini..haraka ya nini?Bado sijasikia Lissu atalifanyia nini Taifa zaidi nasikia miruzi mingi ikipigwa ya ushabiki bila hoja za msingi.
Kabisa mkuu, vyovyote vile iwavyo atalazimika kumuunga Lissu maana hao ACT bado hawana mtaji wa wapiga kura wa kutosha.Akimuunga Lisu mkono haina madhara kivile lkn aking'ang'ana tujue ni walewale
ccm wajipange sana, awamu hii wanaloHuyu bwana kwa msimamo huu atawatoa wengi majumbani kwenda kupiga kura kwani anawaondoa watu wasiwasi kabisa.
Magufuli amekuwa na hulka ya kukwepa mno ushindani kwenye chaguzi lkn safari hii amenasa, namshauri awe mpole tu sanduku ndio liamue.
Akitaka kuleta ubabe kama alivyozoea sidhani kama itamsaidia na hata akirudi ikulu kwa hila ajiandae kuhujumiwa uchumi na wazungu.
Magufuli at crossroads.
Makamba nape na kinana ndio wanakuelewa subiri Polepole zamu yake ifike atakumbuka yaliyomtokea nape mzee wa handgoal
Afadhali huyo Bashiru maana wanatoka kumoja huko kwao lkn polepole atajuta siku ya kutupiwa viragoWatanzania wawapo mezani wakila wana kiburi sana kama vile hawatataka kula tena.
Nawashangaa pole pole na Bashiru wana bihevu.
Magufuli wasio wa kucheka naye hata kidogo
Ninasikitika sana EL kutuhujumu na tumeanza upyaKabisa mkuu, vyovyote vile iwavyo atalazimika kumuunga Lissu maana hao ACT bado hawana mtaji wa wapiga kura wa kutosha.
Cdm tumefanya kazi kubwa ya kukipeleka chama hadi mashinani ambako ccm walikuwa wanajivunia.
Sasa hivi hata uende kijijini kabisa kule mbwinde au mwandiga utaikuta cdm tena iliyo hai.
Ninasikitika sana EL kutuhujumu na tumeanza upya
Hivi polepole ni wa wapi?
Hilo limeisha mkuu. Binafsi, kuanzia jana nimeanza kumtafutia kura zakutosha TL ili tupate ushindi wa kimbunga.
Kwa marafiki zao sio[emoji28][emoji28][emoji28]