Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amebadili upepo wa siasa. Watanzania tumuunge mkono

Bado sijasikia Lissu atalifanyia nini Taifa zaidi nasikia miruzi mingi ikipigwa ya ushabiki bila hoja za msingi.
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu anaongea kama binadamu aliyechanganyikiwa vile ambaye hana matumaini .

Anajaribu kwa kila namna kutafuta huruma ya wananchi na kwa bahati mbaya safari hakuna kura za huruma...
CCM hamnaga jema, mpeni mtu wenu mitano tena, awamu hii atatafuna ccm yote
 
Mkuu tafadhali sana andaa kichinjio hicho ili tukatimize ndoto za watanzania
 
Wana ccm wajiandae kukabidhi nchi salama mikononi mwa cdm bila kusurutishwa baada ya wananchi kuikataa ccm
2015, CDM waliofanya kosa kutowasikiliza Watanzania. Binafsi naamini walishinda but it was tight.... Ndiyo maana waliibiwa kilahisi. Kikitoa chama tawala you need a landslide kitu ambacho siyo rahisi kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…