Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amebadili upepo wa siasa. Watanzania tumuunge mkono

Kweli mkuu kama Membe atamuunga mkono Lissu ni safi sana.
Kikubwa ni kuondoa mkoloni mweusi mengine ya katiba yatafuata!!
Membe ana mtaji wa Coast Lindi na Mtwara hizo ni ngome za CCM.
Ila drawing board ya CCM imepwaya saana, wameisha chelewa na Watanzania wamefunguka macho sio wale wa zamani!!
Acha tusonge mbele tuu tutafika Kanani!!
 
Amina mkuu na Mungu daima ni kila kitu
 
 
Acha unafiki na uzandiki, waliompiga Lisu risasi, waliompoteza Azory Gwandu na Ben Saanane wamekamatwa??
Wasiojulikana wapo wapi, kwa hiyo unaona hatuna sababu ya kuuliza??
Wewe utakuwa mnafiki sio bure!!!
 
Nilikuwa nimekata tamaa ya kupiga kura ila kwa lissu kura yangu anayo.
Ubunge nampa wa ccm
Usijikologe Mkuu eti ubunge umpe CCM??
Utasababisha kuwana weak Gvt, itakuwa ngumu kupitisha maamuzi bungeni!!
Sio kuvunja sheria na katiba!!
 
Usijikologe Mkuu eti ubunge umpe CCM??
Utasababisha kuwana weak Gvt, itakuwa ngumu kupitisha maamuzi bungeni!!
Sio kuvunja sheria na katiba!!
Labda tumuulize anamuunga mkono mbunge gani
 
wacha wananchi waseme ukweli wenyewe usiwasemehe
Ugonjwa kitu kibaya sana, hapa tunamwongelea Lisu.
Hilo la kuzomewa umesahau Magufuli alivyozomewa Mbeya wakati wa kampeni?
 
Membe hana uchaguzi inampsa amuunge Lisu
 
Kabisa nchi imepoteza mwelekeo kila kitu ni mzaha mzaha tu, sasa ni zamu ya chama kingine kuongoza.
Tena ccm imechoka na imeishiwa mbinu, sasa inaanza kuua raia wake, damu ya waliouawa na kujeruhiwa itanena kisasi juu yao na hawatashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…