Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni moja ya kazi yako ukiwacha ile ya kupiga zumari
Kweli mkuu kama Membe atamuunga mkono Lissu ni safi sana.Kabisa mkuu, vyovyote vile iwavyo atalazimika kumuunga Lissu maana hao ACT bado hawana mtaji wa wapiga kura wa kutosha.
Cdm tumefanya kazi kubwa ya kukipeleka chama hadi mashinani ambako ccm walikuwa wanajivunia.
Sasa hivi hata uende kijijini kabisa kule mbwinde au mwandiga utaikuta cdm tena iliyo hai.
Kweli mkuu kama Membe atamuunga mkono Lissu ni safi sana.
Kikubwa ni kuondoa mkoloni mweusi mengine ya katiba yatafuata!!
Membe ana mtaji wa Coast Lindi na Mtwara hizo ni ngome za CCM.
Ila drawing board ya CCM imepwaya saana, wameisha chelewa na Watanzania wamefunguka macho sio wale wa zamani!!
Acha tusonge mbele tuu tutafika Kanani!!
Kwa Watanzania wenye akili timamu mtakubaliana nami kuwa miaka 5 ya awamu hii ya 5, kimekuwa kipindi kigumu sana kilichojaa;
Hofu
Mashaka
Umasikini uliotopea
Ombwe la kiuongozi nk.
Watanzania wengi mioyo yao imejaa mashaka na kutojiamini tena.
Ni enzi za watawala wachache kuneemeka na kufanya walitakalo bila kuwajibishwa na yeyote.
Lakini baada ya Tundu Lissu kuteuliwa kuwa mgombea wa urais na kuanza kitema cheche, naona mioyo ya Watanzania ikihuishwa tena kuingia ulingoni kuipigania Tanzania yenye neema.
Wito wangu, tumuunge mkono huyu shujaa aliyejitoa Sadaka.
Kuthubutu kuyanyooshea kidole mapungufu ya huyu mfalme yahitaji moyo lakini huyu mwamba amedhamiria.
Kwa masikio yangu nimewasikia ccm wengi wakibadili gia angani na kuahidi kumpigia kura Lissu.
Shime Watanzania tuipiganie heshima ya nchi yetu nzuri ya maziwa na asali, upendo na mshikamano
Acha unafiki na uzandiki, waliompiga Lisu risasi, waliompoteza Azory Gwandu na Ben Saanane wamekamatwa??Hata mimi ntampigia.
Haiwezekani ndege zetu zisikamatwe
Haiwezekani ACACIA tusiwalipe mabilioni kwa kukamata mchanga wao
Haya maflyover yooote ya nini wakati tulishazoea foleni?
Eti umeme vijijini. Kwani koroboi zina shida gani?
Eti elimu bure, kwani tulimwambia hatuna hela?
Hata mimi ntampigia kura yangu huyu mwamba - Aturudishe tulikokuwa.
Usijikologe Mkuu eti ubunge umpe CCM??Nilikuwa nimekata tamaa ya kupiga kura ila kwa lissu kura yangu anayo.
Ubunge nampa wa ccm
Membe hana uchaguzi inampsa amuunge LisuKweli mkuu kama Membe atamuunga mkono Lissu ni safi sana.
Kikubwa ni kuondoa mkoloni mweusi mengine ya katiba yatafuata!!
Membe ana mtaji wa Coast Lindi na Mtwara hizo ni ngome za CCM.
Ila drawing board ya CCM imepwaya saana, wameisha chelewa na Watanzania wamefunguka macho sio wale wa zamani!!
Acha tusonge mbele tuu tutafika Kanani!!
Tena ccm imechoka na imeishiwa mbinu, sasa inaanza kuua raia wake, damu ya waliouawa na kujeruhiwa itanena kisasi juu yao na hawatashindaKabisa nchi imepoteza mwelekeo kila kitu ni mzaha mzaha tu, sasa ni zamu ya chama kingine kuongoza.