Kwamba majimbo yanajiunda automatically kutokana na utawala wa kichifu? Nakushauri rudi ukajielimishe vizuri kuliko kuongea usicho kijua.[emoji116][emoji116]
Kamasi? Ok hapo ndio akili yako ilipofarijika. Halafu fatilia hoja zangu zote kwenye hii then uconclude.
Nimehadharisha pahala kuwa majimbo hayaundwi. Majimbo ni matokeo ya serikali kuacha tawala za kichifu ziendelee kutambulika na hivyo kuwa na influence kwenye serikali kuu na yanakujaWyanakuja automatically. .
Nani amekwambia source ya machafuko ni utawala wa majimbo?
Hapa kwetu ambapo so far hakuna majimbo mbona kila siku meko analalamika tumeibiwa sana? Wizi na ufisadi umeasisiwa na ccm na hautakaa uishe hadi ing'olewe madarakani.
Huyu Meko alijifanya anapiga mayowe akaanzisha na mahakama ya mafisadi imesaidia nini hadi leo zaidi ya kuwabambika kesi watz na kuwalazimisha waombe msamaha na kukiri ili wanunue uhuru wao?
Zaidi ya hapo yeye ndio fisadi namba moja. Anafuja fedha za serikali bila idhini ya bunge, anafanya manunuzi ya umma bila kufata taratibu na hataki ukaguzi ufanyike, anagawa vyeo kwa upendeleo wa kikabila, kikanda na kindugu.
Anaanzisha miradi bila wananchi kuelezwa ni ya gharama gani na fedha imekopwa wapi kwa masharti gani, anaua biashara kwa kubambika wafanya biashara kodi za uonevu, anakusanya kodi kote ila anasema hadharani hawezi kupeleka maendeleo maeneo yaliyo chagua upinzani, anaagiza tume kutotangaza wapinzani nk nk. Huyu ndiye adui namba moja na huko ccm wote mmeufyata hakuna wa kumkosoa.[emoji116][emoji116]
African inawacost kila siku political unrest na hakuna maendeleo ya maana ya watu. Beberu amepenya huko huko kwenye majimbo na anachuma utajiri wa West. .
Hao wachaga kama wanataka kujitenga sasa mnawang'ang'ania wa nini? Kwani wakijitenga watakulazimisha na wewe uwafuate?[emoji116][emoji116]
Nimekwambia huu mkakati wa wachaga baada ya nyerere kutoutambua uchifu tanganyika ili kuleta umoja kwa watanganyika.
Hiyo ccm iliyokaa madarakani kwa karibu miaka 60 kwa nini isitatue hizo kero kwa kuwa na hizo taasisi huru na imara kama unavyo shauri? Yenyewe ni tatizo namba moja na inanufaika na huu mfumo mbovu ndio maana inaukumbati, kwa hiyo ukitaka kulitatua lazima kwanza uiondoe madarakani[emoji116][emoji116]
Mapungufu ya ccm solution sio majimbo, solution sio lissu kuingia madarakani, solution sio CCM kupeleka maendeleo majimbo ya wapinzani.
SOLUTION NI KUWA NA AGENDA TIMAMU ZA KITAIFA ZITAKAZOSIMAMIWA NA TAASIS HURU. WE NEED STRONG INSTITUTIONS THAT WILL ACT FOR THE INTEREST OF THE CONUNTRY.
Hii serikali ya ccm unayoisema imewahi kuwa hata na robo tu ya nguvu kiuchumi na kijeshi kama ilivyo kuwa kwa Misri ya Hosni Mubbarak na Libya ya Gaddafi? Kama wale waling'olewa, endelea kujifariji kuwa ccm haitoki.[emoji116][emoji116]
Na ili kuipata hiyo usitegemee CCM utaiondoa kwa sanduku la kura kwani walishasema hawang'oki. So dawa hapa nikutoogopa mabomu ya polisi Wala risasi za mabeyo. Ingia mtaani kinukishe. Swali ni je unauzalendo wa hivyo? Au unakata mauno tu nyuma ya kibodi? [emoji134][emoji23]
Huwezi mwekea guarantee mwanasiasa bila strong institution.
Kama kwa akili yako bado unaamini upinzani ni viongozi kama ambavyo Meko aliaminishwa akanunua wabunge na madiwani kisha wakamwambia upinzani umekufa na leo haamini kinacho tokea, basi endelea kukariri.
Kwa taarifa yako, baada ya hao wote kufanya usaliti upinzani haukuwahi kufa bali uliimarika zaidi.
Upinzani ni hali ya kutokubaliana na serikali iliyopo na kuhitaji mabadiliko ambayo yameshindwa kuletwa na serikali husika, ukinunua viongozi haisaidii dawa ni kutii kiu zao kwa kurekebisha wanayo yadai.[emoji116][emoji116]
Huyo Dr slaa muliyemuabudu Leo yupo wapi? Huyo mrema aliyeyetikisa nchi Leo anafanya Nini? Huyo lipumba aliyewashika wazanzibar Leo amekuwa kituko gani. Shida ni mnafikiri kuwekeza kwa watu ndio watatuvusha, big NO. The lissu you know today can the different lissu to surprise tomorrow.
[/QUOTE][/QUOTE][/QUOTE]