Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ameielezea vizuri Sera ya Majimbo kwa mara ya kwanza. Haina ukabila wala ukanda

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ameielezea vizuri Sera ya Majimbo kwa mara ya kwanza. Haina ukabila wala ukanda

Mimi kama wengine, na kama mgombea pinzani anavyopotosha, mwanzoni nilidhani sera ya majimbo ni ya kufanya maeneo ya watu yajitegemee kikanda au kikabila.

Kumbe maana yake ni kuwa (1) Rais asihodhi maamuzi yanayohusu maendeleo. (2) Viongozi wote wenye maamuzi muhimu kuhusu maendeleo ya mkoa na wilaya wasiteuliwe na Rais, bali wachaguliwe na wananchi wa mikoa, wilaya na halmashauri hizo ili wawajibike kwao. (3) Wabunge warudishiwe madaraka yao ya uwakilishi wa matakwa ya wananchi. Wasiburuzwe na Rais.

Hii ndiyo jinsi ya kumzuia Rais mbaguzi asiyependa kupeleka maendeleo kwenye majimbo ya upinzani ambako nao wanalipa kodi. Tundu Lissu elezea hili kwa dakika mbili kila unakokwenda kama ulivyofanya Kagera.

Kwa hiyo nchi itakuwa ni ya uchaguzi kila leo? Na mbunge akiharibu nani atamtoa? Hii sera ni ubaguzi na imeletwa na chama cha wachaga na wamachame
 
Sera ya majimbo inachochea majimbo yenye utajiri kutaka kujitenga na kuwa nchi kamili. Jimbo la kwanza kujitenga litakuwa Jimbo la kaskazini then Kanda ya ziwa. Iko mifano mingi tu Africa na dunia kwa ujumla.

Kwani wakijitenga wewe utaathirika VP.

Kwa umesikia wakijitenga wale wazaramo walioko huko watafukuzwa!?!?!

Mbona kuna wazaramo wamejaa tele UK....
 
Chadema waliitengeneza hiyo sera wakiilenga wao watoka kilimanjaro wachaga huyu mnyaturu Lisu kadakia tu vitu asivyovijua undani wake

Hii sera yao inalengo ya kaskazini na Tanzania...
 
hili jambo la kudhulumu haki ya wananchi kupata huduma za maendeleo,eti kwa kwa sababu hawakuchagua rais aliyepo ofisini, linanipa ukakasi. Kama anaamua hivyo, sawa, basi na kodi wasilipe.
 
Sera hii ndo mzizi wa kifo cha CCM!! Unafikiri watachota wapi fedha za kampeni???
Au viongozi wao unafikiri kukiwa na majimbo watapata wapi fedha za ufisadi za kujichotea tu pale hazina na kwenda kujenga viwanja vya ndege kwao, kuendeleza ma ardhi makubwa ya wananchi wanayojimegea???

Sera ya majimbo ndo kifo cha CCM na viongozi wake walafi. Usione wanatumia nguvu kubwa kiasi hiki kupotosha!!
Hiki kitu kinaumiza sana...yaani pesa inakusanywa kutoka maeneo yote ya nchi na kuwekwa hazina kwa taratibu za lazima lakini hizo pesa zinaenda kufanya maendelo sehemu fulani kwa mapenzi na hisia za viongozi.....Hii kitu lazima ikomeshwe.
 
Propaganda ya hovyo toka kwa wafuasi wa Ccm. Hivi huoni kuwa wateule wa Rais wanakuwa na nguvu kubwa dhidi ya viongozi waliochaguliwa na wananchi ?!. Huoni kuwa wilaya , halmashauri na mikoa hutegemea hisani ya serikali kuu kufanya chochote wanachokitamani ?!
Kuna solution nyingi kwa hii changamoto. Ila sio ujimbolism. Sera ya majimbo naturally inafiti kwanchi ambazo ziliacha utawala wa kichifu uendelee sambamba na utawala wa serikali kuu. Tz tulifuta hii kwakujua hatari ya ukabila na kuondoa vushawishi vya majimbo tajiri kujitenga. Au kuepusha political unrest kwenye kutaka kuongoza serikali. Hii sera imeshindwa vibaya kwenye nchi za west Africa. Kama nilivosema huu ni mkakati wa muda mrefu wa wanakilimjaro au kaskazini. Wao wanaamini ni jamhuri hivyo wanahitaji hii sera ili waweze kujitenga. Mnyaturu anadandia mambo asiyoyajua.
 
Si kweli hiyo ni hisia potofu na inaonekana wewe unachuki na watu wa kaskazini mbona husemi mtanda za za juu kusini au kusini .unadhani huko hakuna rasilimali?Acheni chukibaki kwenye hoja za msingi.Mm siku zote nasimama kwenye ukweli na si upotoshaji.kuwa huru ubaki huru

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
sisi rulikua tunampenda lisu ila kwa hili tumeogopa sana.kutengwa kikabila ni kubaya.Nitoe wito kwa tawi letu Tufikirie upya sera ya majimbo ni dhambi mbaya.
 
Mimi kama wengine, na kama mgombea pinzani anavyopotosha, mwanzoni nilidhani sera ya majimbo ni ya kufanya maeneo ya watu yajitegemee kikanda au kikabila.

Kumbe maana yake ni kuwa (1) Rais asihodhi maamuzi yanayohusu maendeleo. (2) Viongozi wote wenye maamuzi muhimu kuhusu maendeleo ya mkoa na wilaya wasiteuliwe na Rais, bali wachaguliwe na wananchi wa mikoa, wilaya na halmashauri hizo ili wawajibike kwao. (3) Wabunge warudishiwe madaraka yao ya uwakilishi wa matakwa ya wananchi. Wasiburuzwe na Rais.

Hii ndiyo jinsi ya kumzuia Rais mbaguzi asiyependa kupeleka maendeleo kwenye majimbo ya upinzani ambako nao wanalipa kodi. Tundu Lissu elezea hili kwa dakika mbili kila unakokwenda kama ulivyofanya Kagera.
💯 true
 
Chadema waliitengeneza hiyo sera wakiilenga wao watoka kilimanjaro wachaga huyu mnyaturu Lisu kadakia tu vitu asivyovijua undani wake
Mtanyoka mwaka huu. Akina pinga pinga nyie kwa sasa sisi ndio wabeba hoja . Nyie kalieni kupingapinga tu.
 
sisi rulikua tunampenda lisu ila kwa hili tumeogopa sana.kutengwa kikabila ni kubaya.Nitoe wito kwa tawi letu Tufikirie upya sera ya majimbo ni dhambi mbaya.
Wewe ni Lumumba tu. Sera ya majimbo inaltaje makabila. Wasukuma wako mikoa yote. Wachaga wako mikoa yote. Wanyamwezi wako miko yote. Sasa hapo ukabila utakujaje ww mbulula??
 
Sera ya majimbo inachochea majimbo yenye utajiri kutaka kujitenga na kuwa nchi kamili. Jimbo la kwanza kujitenga litakuwa Jimbo la kaskazini then Kanda ya ziwa. Iko mifano mingi tu Africa na dunia kwa ujumla.
WALA HAVITAJITENGA. SERA HII HAINA MADHARA NA ITACHOCHEA MAENDELEO. NI SUALA LA KUWEKA TU UTARATIBU MZURI WA KUCHANGIA SERIKALI KUU. KIASI GANI CHA MAPATO KIBAKI JIMBONI NA KSISI GANI KIENDE SERIKALI KUU KWA AJILI MASUALA YA ULIZNI. HUU MFUMO WA SASA KUWEKA PAMOJA MAPATO YOTE THEN KUTEGEMEA WENYE BUSARA KUAMUA WAPELEKE MAENDELEO WAPI KUNA SHIDA KIGODO. SASA HIVI TUMEPELEKE MAENDELEO MAHALI KWA MAPENZI YA KIONGOZI MKUU WA NCHI.
 
Tundu Lissu siku zote ni Genius. Huyu mtu ilitakiwa atengenezewe sanamu liwekwe kama kumbukumbu kwenye moja ya miji mikuu. Naprefer Dodoma walipotaka kumuua.
Umeongea kitu nilichokiwaza hivi karibuni.

Ni kweli watanzania watakaoishi miaka 300-500 ijayo inabidi waelewe na kutambua kuna mtanzania mwenzao aliyeitwa Tundu Lisu....tusubiri kwanza aingie Ikulu.
 
Dah we jamaa umejaza kamasi kichwani.

Hii inayoitwa Tanzania leo kwa taarifa yako ni mipaka ambayo iligawanywa na mkoloni bila hata wahusika kushirikishwa.

Huyo Nyerere unaye muona ana akili za kuzidi wengine naye alikusanywa kama kifurushi na kuwekwa jimbo la ziwa na mkoloni.

Kwa akili yako mbovu unaona kama ccm ndio waliwezesha hili.
Kamasi? Ok hapo ndio akili yako ilipofarijika. Halafu fatilia hoja zangu zote kwenye hii then uconclude.
Nimehadharisha pahala kuwa majimbo hayaundwi. Majimbo ni matokeo ya serikali kuacha tawala za kichifu ziendelee kutambulika na hivyo kuwa na influence kwenye serikali kuu na yanakujaWyanakuja automatically. West African inawacost kila siku political unrest na hakuna maendeleo ya maana ya watu. Beberu amepenya huko huko kwenye majimbo na anachuma utajiri wa West.

Nimekwambia huu mkakati wa wachaga baada ya nyerere kutoutambua uchifu tanganyika ili kuleta umoja kwa watanganyika. Mapungufu ya ccm solution sio majimbo, solution sio lissu kuingia madarakani, solution sio CCM kupeleka maendeleo majimbo ya wapinzani.
SOLUTION NI KUWA NA AGENDA TIMAMU ZA KITAIFA ZITAKAZOSIMAMIWA NA TAASIS HURU. WE NEED STRONG INSTITUTIONS THAT WILL ACT FOR THE INTEREST OF THE CONUNTRY. Na ili kuipata hiyo usitegemee CCM utaiondoa kwa sanduku la kura kwani walishasema hawang'oki. So dawa hapa nikutoogopa mabomu ya polisi Wala risasi za mabeyo. Ingia mtaani kinukishe. Swali ni je unauzalendo wa hivyo? Au unakata mauno tu nyuma ya kibodi? 🙆😂
Huwezi mwekea guarantee mwanasiasa bila strong institution.
Huyo Dr slaa muliyemuabudu Leo yupo wapi? Huyo mrema aliyeyetikisa nchi Leo anafanya Nini? Huyo lipumba aliyewashika wazanzibar Leo amekuwa kituko gani. Shida ni mnafikiri kuwekeza kwa watu ndio watatuvusha, big NO. The lissu you know today can the different lissu to surprise tomorrow.
 
Kuna solution nyingi kwa hii changamoto. Ila sio ujimbolism. Sera ya majimbo naturally inafiti kwanchi ambazo ziliacha utawala wa kichifu uendelee sambamba na utawala wa serikali kuu. Tz tulifuta hii kwakujua hatari ya ukabila na kuondoa vushawishi vya majimbo tajiri kujitenga. Au kuepusha political unrest kwenye kutaka kuongoza serikali. Hii sera imeshindwa vibaya kwenye nchi za west Africa. Kama nilivosema huu ni mkakati wa muda mrefu wa wanakilimjaro au kaskazini. Wao wanaamini ni jamhuri hivyo wanahitaji hii sera ili waweze kujitenga. Mnyaturu anadandia mambo asiyoyajua.
Hakuna ulichokitetea hapo !!.

Nimekuuliza
1. Wateule wa Rais kuwa na nguvu kubwa dhidi ya viongozi waliochaguliwa na wananchi ni sawa ?!
2. Nimekuuliza kijiji, kata, halmashauri, wilaya na hata mkoa kufanya maendeleo yao mpaka kwa hisani ya Rais ni sawa ,kama ilivyo sasa ?!
 
Hii Sera huwa haiundwi kwa karamu inajiunda automatically, ukijaribu kuiunda unaumia. Mara nyingi inafaa sana kwa mataifa ambayo hayajawa codified from the beginning, Kama hapa unaweza kuwa na Jimbo la Zanzibar na Jimbo la Tanganyika sivyo unavyodhani. Ukigawa majimbo unatengeneza kitu kinaitwa spirit of nationalism kwenye hayo majimbo na huwez kukwepa kutugawa katika Makabila. Decision itatokana na Ile Nia ya kila Jimbo kuongoza central government. Lissu Zanzibar ndogo tuu Ni tatizo usituongezee shida nyongine
Kwani kuna jimbo litakuwa na Kabila moja? Kama ni hivyo kwanini mikoa haijawa na ukabila?
 
Kwamba majimbo yanajiunda automatically kutokana na utawala wa kichifu? Nakushauri rudi ukajielimishe vizuri kuliko kuongea usicho kijua.[emoji116][emoji116]

Kamasi? Ok hapo ndio akili yako ilipofarijika. Halafu fatilia hoja zangu zote kwenye hii then uconclude.
Nimehadharisha pahala kuwa majimbo hayaundwi. Majimbo ni matokeo ya serikali kuacha tawala za kichifu ziendelee kutambulika na hivyo kuwa na influence kwenye serikali kuu na yanakujaWyanakuja automatically. .

Nani amekwambia source ya machafuko ni utawala wa majimbo?
Hapa kwetu ambapo so far hakuna majimbo mbona kila siku meko analalamika tumeibiwa sana? Wizi na ufisadi umeasisiwa na ccm na hautakaa uishe hadi ing'olewe madarakani.

Huyu Meko alijifanya anapiga mayowe akaanzisha na mahakama ya mafisadi imesaidia nini hadi leo zaidi ya kuwabambika kesi watz na kuwalazimisha waombe msamaha na kukiri ili wanunue uhuru wao?

Zaidi ya hapo yeye ndio fisadi namba moja. Anafuja fedha za serikali bila idhini ya bunge, anafanya manunuzi ya umma bila kufata taratibu na hataki ukaguzi ufanyike, anagawa vyeo kwa upendeleo wa kikabila, kikanda na kindugu.

Anaanzisha miradi bila wananchi kuelezwa ni ya gharama gani na fedha imekopwa wapi kwa masharti gani, anaua biashara kwa kubambika wafanya biashara kodi za uonevu, anakusanya kodi kote ila anasema hadharani hawezi kupeleka maendeleo maeneo yaliyo chagua upinzani, anaagiza tume kutotangaza wapinzani nk nk. Huyu ndiye adui namba moja na huko ccm wote mmeufyata hakuna wa kumkosoa.[emoji116][emoji116]
African inawacost kila siku political unrest na hakuna maendeleo ya maana ya watu. Beberu amepenya huko huko kwenye majimbo na anachuma utajiri wa West. .

Hao wachaga kama wanataka kujitenga sasa mnawang'ang'ania wa nini? Kwani wakijitenga watakulazimisha na wewe uwafuate?[emoji116][emoji116]
Nimekwambia huu mkakati wa wachaga baada ya nyerere kutoutambua uchifu tanganyika ili kuleta umoja kwa watanganyika.

Hiyo ccm iliyokaa madarakani kwa karibu miaka 60 kwa nini isitatue hizo kero kwa kuwa na hizo taasisi huru na imara kama unavyo shauri? Yenyewe ni tatizo namba moja na inanufaika na huu mfumo mbovu ndio maana inaukumbati, kwa hiyo ukitaka kulitatua lazima kwanza uiondoe madarakani[emoji116][emoji116]
Mapungufu ya ccm solution sio majimbo, solution sio lissu kuingia madarakani, solution sio CCM kupeleka maendeleo majimbo ya wapinzani.
SOLUTION NI KUWA NA AGENDA TIMAMU ZA KITAIFA ZITAKAZOSIMAMIWA NA TAASIS HURU. WE NEED STRONG INSTITUTIONS THAT WILL ACT FOR THE INTEREST OF THE CONUNTRY.

Hii serikali ya ccm unayoisema imewahi kuwa hata na robo tu ya nguvu kiuchumi na kijeshi kama ilivyo kuwa kwa Misri ya Hosni Mubbarak na Libya ya Gaddafi? Kama wale waling'olewa, endelea kujifariji kuwa ccm haitoki.[emoji116][emoji116]
Na ili kuipata hiyo usitegemee CCM utaiondoa kwa sanduku la kura kwani walishasema hawang'oki. So dawa hapa nikutoogopa mabomu ya polisi Wala risasi za mabeyo. Ingia mtaani kinukishe. Swali ni je unauzalendo wa hivyo? Au unakata mauno tu nyuma ya kibodi? [emoji134][emoji23]
Huwezi mwekea guarantee mwanasiasa bila strong institution.

Kama kwa akili yako bado unaamini upinzani ni viongozi kama ambavyo Meko aliaminishwa akanunua wabunge na madiwani kisha wakamwambia upinzani umekufa na leo haamini kinacho tokea, basi endelea kukariri.

Kwa taarifa yako, baada ya hao wote kufanya usaliti upinzani haukuwahi kufa bali uliimarika zaidi.

Upinzani ni hali ya kutokubaliana na serikali iliyopo na kuhitaji mabadiliko ambayo yameshindwa kuletwa na serikali husika, ukinunua viongozi haisaidii dawa ni kutii kiu zao kwa kurekebisha wanayo yadai.[emoji116][emoji116]
Huyo Dr slaa muliyemuabudu Leo yupo wapi? Huyo mrema aliyeyetikisa nchi Leo anafanya Nini? Huyo lipumba aliyewashika wazanzibar Leo amekuwa kituko gani. Shida ni mnafikiri kuwekeza kwa watu ndio watatuvusha, big NO. The lissu you know today can the different lissu to surprise tomorrow.
[/QUOTE][/QUOTE][/QUOTE]
 
Back
Top Bottom