Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amekutana na Waandishi wa habari kuelezea mwenendo wa kampeni. Asema Jaribio la kuvuruga Uchaguzi litasababisha watu wapelekwe 'The Hague'

Kuna watu wanawewesekaweweseka tu wakisikia hilo jina. Afrika Mungu atupe nini tena? We have got everything, wake up Africa, kajisemea dada moja kutoka Kenya.
 
Utamu wa ndoto huisha asubuhi. Ni mwansheria gani huyu asiyejuwa hata jurisdication ya ya ICC? Nilishasema kuwa Lissu ni mropokaji tu anaywongea lolote ili kufurahishwa walioko mbele yake.

Mambo ya uchaguzi wa nchi sovereign siyo sehemu ya jurisdication ya ICC; Kenyatta alipelekewa kwa tuhuma za kuuwa watu waliokuwa wanampinga, siyo kwa sababu za kisiasa.
 
The economist washa ripoti mabomu yaliyopigwa jana kuwatawanyisha watu wasihudhurie kampeni ya lissu. Tuna aibisha taifa letu.
 
Ha ha ha , yeye pia likitokea la kutokea anaweza kupelekwa depending na uhuska wake katika Jambo Hilo. Asijidanganye kuwa anaweza akahamasisha vurugu watu wakadhurika halafu yeye akabaki salama...
Wakat unasema hayo Makonda na familia yake hawez kanyaga USA nzima. Kupitia msaada ya mtandao kwa sasa ICC kukusanya ushahidi sio kazi ngumu tena.

Uzuri ICC unakubali ushahidi wa mtandao. Mzee hizi YOU TUBE video huwa haziozi, zitawaumbua wakiwa kweny kiziba. Daah nikikumbuka UHURU KINYATA na RUTO walivyokuwa wapole wamejikunyata. Fikilia hawa wa kwetu itakuwaje, wengine hata kimalikia hawajui
 
Wewe bongolala dawa hapo ni HAKI tu sio porojo
 
Hali ya CCM ni mbaya sana kweli ndani ya huu mda wa lala salama. Ni dhahili kabisa sasa wameona lolote na liwe maana kwa hujuma wanazomfanyia Lissu huku wakikataza vyombo vya habari kutangaza haya madhira yote ni hakika wameona hawamwezi Tundu Antiphas Lissu kwa namna yeyote ile.

Kwa walichofanya kea Tundu Lissu jana kwenye mikoa ya Pwani , Lindi na Mtwara ni vizuri wajue tu badala ya kumsaidia Magufuli wao ambaye ameshindwa kabisa kufanya kampeni kwenye mikoa hiyo, ndo wamemuharibia vibaya sana. Taarifa kutoka LINDI na Mtwara zinasema wananchi wameshaamua kuwa vyovyote vile, kura zote ni kwa Tundu Antiphas Lissu na watazilinda kweli kwa nguvu zote!!
 
Bro MTU wanaemtusha ni CHUMA walishajaribu wakashindwa. Naona hawana mbinu nyingine kabisa wameona kilichotokea kanda ya Kaskazini a.k.a Ngome ya CHADEMA HAWANA HAMU.
TUTAWAPIGA MPGA THE HAGUE WATOE PONGEZI KW CHUMA
 
Pascal utaketi karamuni kwenye ukumbi wa The Hague

japo wewe itakuwa section ya Ukonga,jiingize kichwakichwa
 
Mimi mpaka nisikie kauli kutoka uingereza ndo nitaamini kweli ccm mwaka huu hawana Chao.
 
Eti the Hague mtishie nyau tu si jiwe, unafikiri The Hague mtu yeyote tu eenh?
 
Aache kutapatapa, yeye ndo anataka kuharibu uchaguzi kwa kuhofia kushindwa!
 
Haka kajamaa kana mikwara Sana. Kalituambia MIGA' leo kanakuja na sound nyingine 'the HAGUE.
Kaache kujambajamba trh 28 katakumbuka kurudi kwa waume zake ubelgiji
 
Nawe ulisoma sheria eti? Nauliza tu maana ata kufanya reference kwa majirani tumeshindwa? Kwahiyo mnataka kuharibu Uchaguzi kisa hamko accountable kwa ICC?
 
Lissu anaogopwa kulico koroca na SARS
 
Lissu mshamba Sana anadhani ameshinda uchaguzi wakati hawezi hata kupata 3% ya kura, anachoandaa ni mazingira ya kuleta fujo ili afiche aibu yake kwa damu ya watanzania baadhi wasiojitambua
 
Lisu iyo mikwara yako ni ya ki toto, Hebu kuwa serious kidogo unapo ongea na Watanzania.
 
Kwa nini Serikali yetu haimnyang'anyi tundu lisu passport yetu?
Mke wa Makonda za siku!Umezisikia nondo kutoka kwa LISSU?Naona umeishiwa na point baada ya kusikiliza !Maana malaya wa kisiasa Kama wewe Huwezi kukosa cha kusema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…