Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amekutana na Waandishi wa habari kuelezea mwenendo wa kampeni. Asema Jaribio la kuvuruga Uchaguzi litasababisha watu wapelekwe 'The Hague'

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amekutana na Waandishi wa habari kuelezea mwenendo wa kampeni. Asema Jaribio la kuvuruga Uchaguzi litasababisha watu wapelekwe 'The Hague'

Pascal utaketi karamuni kwenye ukumbi wa The Hague

japo wewe itakuwa section ya Ukonga,jiingize kichwakichwa
Mkuu LIKE , nashauri tuendelee kuwahimiza watu wakapige kura, tusitishane jameni, mmeanza na The Hague, sasa Ukonga,
Sii wengi humu, wanaojua kuwa kuna watu Keko na Segerea zinawasubiri mara tuu baada ya uchaguzi.
Tanzania ni nchi yetu sote, tusitishane jameni!.

P
 
Ha ha ha , yeye pia likitokea la kutokea anaweza kupelekwa depending na uhuska wake katika Jambo Hilo. Asijidanganye kuwa anaweza akahamasisha vurugu watu wakadhurika halafu yeye akabaki salama..
Tundu Lissu ana backup yahao wenye the hague, kwahiyo hatokwenda.
 
Nilisema humu ratiba yake ya mwisho ya siku hizi za kampeni wataivuruga sana.

Nadhani hata kampeni yake ya siku ya mwisho ya Dar es Salaam watatafuta jinsi ya kuiharibu either isifanyike kabisa au iharibike mapema.
 
Lissu mshamba Sana anadhani ameshinda uchaguzi wakati hawezi hata kupata 3% ya kura, anachoandaa ni mazingira ya kuleta fujo ili afiche aibu yake kwa damu ya watanzania baadhi wasiojitambua
Atabetuliwa bichwa lile asipate hata nafasi ya kuongea na beberu wake Amsterdam
 
Subiri vyombo vya usalama waue watu ndipo utaelewa kama ni mikwara ya kitoto au la..
Vyombo vya usalama viue watu? Vutamuua nani?

Lisu akiletwa nyoko atabetuliwa miguu yeye na wafausi wake hatakiogopwa kitu!

Hii ni nchi huru
 
Msaliti wa Nchi hana nafasi Tanzania akatukane ubeligiji
 
Wakat unasema hayo Makonda na familia yake hawez kanyaga USA nzima. Kupitia msaada ya mtandao kwa sasa ICC kukusanya ushahidi sio kazi ngumu tena. Uzuri ICC unakubali ushahidi wa mtandao. Mzee hizi YOU TUBE video huwa haziozi, zitawaumbua wakiwa kweny kiziba. Daah nikikumbuka UHURU KINYATA na RUTO walivyokuwa wapole wamejikunyata. Fikilia hawa wa kwetu itakuwaje, wengine hata kimalikia hawajui
Kwa hiyo Makonda sasa kakosa msosi sababu haendi USA?
 
Wakat unasema hayo Makonda na familia yake hawez kanyaga USA nzima. Kupitia msaada ya mtandao kwa sasa ICC kukusanya ushahidi sio kazi ngumu tena. Uzuri ICC unakubali ushahidi wa mtandao. Mzee hizi YOU TUBE video huwa haziozi, zitawaumbua wakiwa kweny kiziba. Daah nikikumbuka UHURU KINYATA na RUTO walivyokuwa wapole wamejikunyata. Fikilia hawa wa kwetu itakuwaje, wengine hata kimalikia hawajui
Kenyata na Rutto sasa leo wako Hague wamefungwa ama siyo?
 
Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo amekutana na Waandishi wa habari kuzungumzia hali ya ya kampeni zake ilivyo mpaka sasa na kile kinachoendelea kuelekea Uchaguzi Mkuu mnamo tarehe 28/10/ 2020. katika Mkutano huo ambao waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali walihudhuria, Tundu Lissu ametolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali...
Sawa kabisa, jiwe na timu yake the Hague inawasubiri.
 
Vyombo vya usalama viue watu? Vutamuua nani?

Lisu akiletwa nyoko atabetuliwa miguu yeye na wafausi wake hatakiogopwa kitu!

Hii ni nchi huru
Magufuli yeye akituvurugia uchaguzi wetu atabetuliwa lile bichwa lake.
 
Lisu elezea utawafanyia nini watanzania achana na vitisho vya ICC kama huna kaa kimya.
 
Mkuu Dada yangu mrembo beth , Uchaguzi unaendeshwa na Tume yetu huru ya Uchaguzi, NEC, Rais wa JMT ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu, ametoa hakikisho la uchaguzi utakuwa huru na wa haki, haya mambo ya kutishiana 'The Hague' ya nini?, haya sio mambo!.

Kwa vile sio wote wanajua sheria, hivyo mtu mmoja kujua sheria, asitake kuwatisha watu wengine wote na 'The Hague', kuna mambo ya 'The Hague' na mambo ambayo sio ya 'The Hague', uchaguzi ni mambo yetu ya ndani, sio mambo ya 'The Hague', tusitishiane na 'The Hague'.
P
Hahaha usiogope sana hizo ni siasa, kaeleza yanayofanyika anayoyajua yeye , na hayo yako ni yako.

Haya mambo ni kama yanga na simba tu, chagua upande ushabikie. Lakini ushabiki haumzuii refa kutoa maamuzi.

Kunywa maji lala pumzika, move on.
 
Huwa sikurupuki JOMBA ninapoandika humu.
1603555967555.png

Kuanzia lini hii.. jomba upo bongo kweli au naww unachukua tu unaweka... Nishatuma text kama mia mbili hivi mpaka muda huu na simu nimeongea mingi tuu.... Mzee za kuambiwa changanya na zako
 
Ha ha ha , yeye pia likitokea la kutokea anaweza kupelekwa depending na uhuska wake katika Jambo Hilo. Asijidanganye kuwa anaweza akahamasisha vurugu watu wakadhurika halafu yeye akabaki salama..
Mkuu umeongea point nzuri sana ambayo watu wengi hawaijui. Vurugu zikitokea, na kama kweli kutakuwepo watu kupelekwa The Hague, Lissu hawezi kukwepa kutokana na kauli zake hata za kabla ya uchaguzi.

Kauli zake pia zitapimwa katika mzani ule ule. Aache kutufokea, uamuzi utafanyika October 28.

By the way kauli za the Hague nazichukulia kama porojo za vijiweni za wanasiasa waliofilisika kisiasa.
 
Kenyata na Rutto sasa leo wako Hague wamefungwa ama siyo?
Kilicho tokea ni kwamba mashahidi wiliingia mitini, wengine walipoteza maisha kwenye mizingira ya kutatanisha kabla hawajatoa ushahidi, mwisho wa siku hakuna shahidi aliye kuwa na ujasiri wa kwenda the Hague kutoa ushahidi dhidi ya Kenyatta na Rutto - hicho ndicho kilicho wanusuru Rutto na Kenyatta, kuna baadhi ya wachangiaji hapa wanataka kutoa an impression as if Kenyatta na Rutto walipuuzia au kugoma kwenda kwenye Mahakama ya ICC huko the Hague - hiyo si kweli hata kidogo, kilicho kosekana ni mashahidi ambao waliogopa kwenda the Hague kutoa ushahidi dhidi ya Kenyatta na Rutto, walihofia maisha yao kama wangerudi Kenya baada ya kutoa ushahidi.

Lissu nae akumbuke kwamba kauli zake nazo zinaweza kumfanya aburuzwe Mahakanani the Hague kwa ku-incite raia ili wafanye fujo/ vurungu kama Chama chake kitashindwa kwenye uchaguzi huu - ushahidi hupo wa kumtia hatiani Lissu, akumbuke kwamba sheria ni msumeno.
 
Kilicho tokea ni kwamba mashahidi wiliigia mitini, wengine walipoteza maisha kwenye mizingira ya kutatanisha, mwisho wa siku hakuna shahidi aliye kuwa na ujasiri wa kwenda the Hague kutoa ushahidi dhidi ya Kenyatta na Rutto - hicho ndicho kilicho wanusuru Rutto na Kenyatta, kuna baadhi ya wachangiaji hapa wanatoa impression as if Kenyatta na Rutto walipuuzia au kugoma kwenda kwenye Mahakama ya ICC the Hague - hiyo so kweli hata kidogo kilicho kusekana ni mashahidi.

Lissu nae anaweza kuburuza the Hague kwa ku-incite raia wafanye vurungu Chama chake kikishindwa kwenye uchaguzi huu - ushahidi hupo wa kumtia hatiani, Lissu akumbuke kwamba sheria ni msumeno.
nafikiri ile kauli ya MKURUGENZI NAKULIPA MSHAHARA NAKUPA NYUMBA NA GARI HALAFU UNATANGAZA MPINZANI KASHINDA inaweza ikamaliza kesi video yake ikiwa played
 
Back
Top Bottom