Tundu Lissu amekuwa Champion wa Tume za Uchunguzi kuhusu Muundo wa Muungano za Rais Mwinyi, Mkapa na Kikwete

Haiwezekani tukawa na vibaraka wa mabeberu.
ni aibu na fedheha sana kwa utaifa, umoja na uzalendo wetu kama Tanzania, kunajisiwa na mtu moja mbinafsi alie kubali kurubuniwa kifikra na pengine kwa fedha, mali, maisha mazuri ya ng"ambo au uraia na mabwenyenye ya magharibi kuja kujaribu kujipenyeza kuvuriga mshikamano wa taifa

haitawezekana kamwe
 
Muungano wenu ni wa viongozi....yeye ataleta muungano wa Wananchi.
Kinyume chake ndio Ukweli.

Malalamiko yote yanatokea kila kona ya nchi hii, ni chuki baina ya Watu wa Zanzibar na Tanganyika- Watanzania.

Wewe unadai Muungano ni wa Viongozi. Lissu ni Kiongozi, kwa mantiki hiyo, yeye anavuruga Muungano wa Watu. Ana waunganisha kivipi...

Na hiyo imetokana na kauli za Laigwanaan Tundu Liss ambazo ndizo zinahamasisha na zinazopandikiza Chuki. Zinaleta tafrani kwenye Muungano wa watu. Kwa manufaa ya Uongozi wa CHADEMA.

Wananchi waelezwe Ukweli.
 
Je Rais wako na Bunge lako wamechukua hatua gani madhubuti kushughulikia Ripoti ya CAG?
 
Tundu Lissu ana quote yale yaliyoandikwa kwenye Katiba ya JMT vs kwenye Katiba ya Zanzibar na Matokeo ya Tume mbali mbali za Marais.

Ukimlaumu basi shida iko kwako kichwani na rohoni.
 
WACHENI ZANZIBAR IPUMUE ANGALAU KIDOGO.
Sisi hatutazungumzia tena Muungano,alimradi Fungu la Zanzibar Kutoka Muungano linapatikana japo kwa uchache wake lakini fedha ziletwe.
Mukikata fedha tunakata Amani. 🤣 👍
 
Je Rais wako na Bunge lako wamechukua hatua gani madhubuti kushughulikia Ripoti ya CAG?
Yes hapo ndio pakuanzia sasa.
kuna hatua gani zilizochukuliwa kwenye ripoti ya CAG? na kama hakuna ni kwanini hazijachukuliwa hatua zozote?
Hizo ndio hoja.
Kusambaza udini, ukabila, kujaza wananchi chuki haitaijenga Tanzania ispokua itabomoa.
 
Lissu hana uwezo wa kutoa hoja bila kutukana,Lissu ni debe tupu.
 
WACHENI ZANZIBAR IPUMUE ANGALAU KIDOGO.
Sisi hatutazungumzia tena Muungano,alimradi Fungu la Zanzibar Kutoka Muungano linapatikana japo kwa uchache wake lakini fedha ziletwe.
Mukikata fedha tunakata Amani. 🤣 👍
Hahaaaa
 
Yes hapo ndio pakuanzia sasa.
kuna hatua gani zilizochukuliwa kwenye ripoti ya CAG? na kama hakuna ni kwanini hazijachukuliwa hatua zozote?
Hizo ndio hoja.
Kusambaza udini, ukabila, kujaza wananchi chuki haitaijenga Tanzania ispokua itabomoa.
Kwa nini serikali inafumbia macho madudu yanayoibuliwa na ofisi ya CAG?
 
Kwa nini serikali inafumbia macho madudu yanayoibuliwa na ofisi ya CAG?
Hilo ndio swali la msingi la kujengea hoja na kuwashinikiza serikali kuchukua hatua stahiki.
nje ya hayo kuna miradi inayochelewa au kutokuanza kabisa.
BIMA za afya kwa kila mwananchi.
Hivyo ndio vitu vya kuongelea sio kusambaza chuki na udini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…