SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
umeongea point ya msingi sana....
umeona mabali mno....![]()
Haiwezekani tukawa na vibaraka wa mabeberu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeongea point ya msingi sana....
umeona mabali mno....![]()
ni aibu na fedheha sana kwa utaifa, umoja na uzalendo wetu kama Tanzania, kunajisiwa na mtu moja mbinafsi alie kubali kurubuniwa kifikra na pengine kwa fedha, mali, maisha mazuri ya ng"ambo au uraia na mabwenyenye ya magharibi kuja kujaribu kujipenyeza kuvuriga mshikamano wa taifa![]()
Haiwezekani tukawa na vibaraka wa mabeberu.

Kinyume chake ndio Ukweli.Muungano wenu ni wa viongozi....yeye ataleta muungano wa Wananchi.
Kuliko Wazanzibar.Hii nchi ina watu wana vichwa vibovu sana.
ukiwa unaeneza chuki, udini, na ukabila ndio unaonekana nguli na shujaa.
Hii nchi nani kairoga?
Je Rais wako na Bunge lako wamechukua hatua gani madhubuti kushughulikia Ripoti ya CAG?Shida ya upinzani hawawezi kutengeneza hoja zenye mashiko zaidi ya kupinga kila kitu na kueneza chuki dhidi ya wananchi.
Kuna vitu muhimu sana ambavyo upinzani wanatakiwa waviongelee lakini wao wako bize kupinga na kueneza chuki.
LISU pamoja na MBOWE ngoja niwasaidie fikra.
Chukueni ripoti ya CAG ichambueni mwamnzo mpaka mwisho.
kila sehemu ambayo CAG ameonesha kuna madudu jengeeni hoja.
Hiyo kitu itawasaidia kugusa kila idara ya nchi na mwananchi mmoja mmoja.
TANZANIA ni ya kwetu tunatakiwa TUIJENGE sio TUIBOMOWE
Hehehe.....vibaraka ni wale waliouza Madini, Mbuga za wanyama na Ardhi![]()
Haiwezekani tukawa na vibaraka wa mabeberu.
Akikujibu unishtueJe Rais wako na Bunge lako wamechukua hatua gani madhubuti kushughulikia Ripoti ya CAG?
Tundu Lissu ana quote yale yaliyoandikwa kwenye Katiba ya JMT vs kwenye Katiba ya Zanzibar na Matokeo ya Tume mbali mbali za Marais.Kinyume chake ndio Ukweli.
Malalamiko yote yanatokea kila kona ya nchi hii, ni chuki baina ya Watu wa Zanzibar na Tanganyika- Watanzania.
Wewe unadai Muungano ni wa Viongozi. Lissu ni Kiongozi, kwa mantiki hiyo, yeye anavuruga Muungano wa Watu. Ana waunganisha kivipi...
Na hiyo imetokana na kauli za Laigwanaan Tundu Liss ambazo ndizo zinahamasisha na zinazopandikiza Chuki. Zinaleta tafrani kwenye Muungano wa watu. Kwa manufaa ya Uongozi wa CHADEMA.
Wananchi waelezwe Ukweli.
Hawezi jibu zaidi ya Vijembe kuwa Lisu hafai kuwa balozi wa nyumba 10.Akikujibu unishtue
Hahaaa......Lissu huwa hasikilizi vijembe mwamba anasonga mbele tuHawezi jibu zaidi ya Vijembe kuwa Lisu hafai kuwa balozi wa nyumba 10.
Hakika.Hahaaa......Lissu huwa hasikilizi vijembe mwamba anasonga mbele tu
Yes hapo ndio pakuanzia sasa.Je Rais wako na Bunge lako wamechukua hatua gani madhubuti kushughulikia Ripoti ya CAG?
Lissu hana uwezo wa kutoa hoja bila kutukana,Lissu ni debe tupu.Jamani yule Jabali la siasa bora zenye Tija kwa taifa limeanza Phase 2 hapo jana.
Tundu Lissu Mwenyekiti wa Chadema Taifa ameonekana akiwa kwenye mkutani Mkoano Dodoma wilaya ya Mpwapwa huku akishangiliwa na Umati wa watu wengi sana.
Alifafanua namna Marais wa Jamhuru ia Muungano wa Tanzania wa awamu zilizopita namna walivyounda Tume za Kushughulikia Muungano.
Amezitaja na kuzieleza kuwa tangu hapo awali Watanganyika hawajanyamanza kuhusu kero za Muungano.
Amezitaja na kuzieleza tume hizo kama ifuatavyo
1. Tume iliyoundwa na Rais Ali Hassani Mwinyi, iliitwa Tume ya Jaji Nyalali ya Mwaka 1992
2. Tume ya Jaji Kisanga ya Mwaka 2003 chini ya Rais Mkapa
3. Tume ya Jaji Josefu Sinde Warioba ya 2012
Alieleza kuwa Tume zote hizo zilikuja na hitimisho kuwa Muundo wa Mungano wetu unahitaji marekebisho. Watanzania wanapenda Muungano ila wanakerwa na namna ulivyoundwa na namna ya uendeshaji wake.
Hata hivyo Mh Tundu alitumia Jukwa hilo kuendelea kukemea tetesi za Dalili za Rushwa zilizooneka ndani ya Chama hicho huku akidai ya Kuwa Chadema kimekuwa chama chenye Mfano Bora kupinga Rushwa na hivyo ni Kheri kwa kila Mwanachama kupinga Rushwa Wazi wazi ili wananchi wawaelewe.
Amesema wao kama Chama wameathiriwa na Madhara ya Rushwa kutoka Chama cha mapinduzi ambapo Makatibu Wakuu wa Chama wafuatao walihongwa na kukimbia chama
1. Dr Aman Walidi Kaburou
2. Dr Wilbroad Peter Slaa na
3. Dr Mashinji
Onesha tusi moja tunami nitaungana na weweLissu hana uwezo wa kutoa hoja bila kutukana,Lissu ni debe tupu.
HahaaaaWACHENI ZANZIBAR IPUMUE ANGALAU KIDOGO.
Sisi hatutazungumzia tena Muungano,alimradi Fungu la Zanzibar Kutoka Muungano linapatikana japo kwa uchache wake lakini fedha ziletwe.
Mukikata fedha tunakata Amani. 🤣 👍
Muungano ni ujinga.Onesha tusi moja tunami nitaungana na wewe
Kwa nini serikali inafumbia macho madudu yanayoibuliwa na ofisi ya CAG?Yes hapo ndio pakuanzia sasa.
kuna hatua gani zilizochukuliwa kwenye ripoti ya CAG? na kama hakuna ni kwanini hazijachukuliwa hatua zozote?
Hizo ndio hoja.
Kusambaza udini, ukabila, kujaza wananchi chuki haitaijenga Tanzania ispokua itabomoa.
usisahau alishawahi kuwa mbunge na raisi wa TLS, hizo takataka nyumba 10 ni level yakoLISU hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba 10
Hilo ndio swali la msingi la kujengea hoja na kuwashinikiza serikali kuchukua hatua stahiki.Kwa nini serikali inafumbia macho madudu yanayoibuliwa na ofisi ya CAG?