Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

Sasa Mtu asiambiwe Ukweli? kama Mtu anaiba hela za Umma kumjengea Mama yake Kiwanja cha Ndege aachwe tu asiambiwe? Akiachwa tu si Kuna siku atahamishia na Bank Kuu Kwao Chato?
Eeeh, Nyerere aliiba hela akamjengea mama yake kiwanja?!
 
Safi sana! Hakuna kurudi nyuma mlango mmoja ukifungwa mwingine unafunguka Ziwa liliwekwa na Mungu sio Mali ya CCM kama CCM wanaweza walikaushe tuone kama wana uwezo huo!
 
Anataka nini na vitu, si aogelee. Kivuko ni maendeleo ya vitu. Mnakuwa wapumbavu hadi mnapitiliza!
Wewe ndiye mpumbavu mno, hata hujui mantiki ya kinachozungumzwa..walipovuruga mfumo wa elimu ndipo mlianza kupatikana nyie!
 
14 October 2020

#LIVE UKEREWE YAFUNIKA MAPOKEZI YA TUNDU LISSU KWENYE MTUMBWI

Naona LISU akili imeanza kumrudia anaongelea ujenzi wa daraja la kuvuka kwenda ukerewe.Kashika adabu baada ya kupanda mtumbwi akili imemkaa sawa sasa anaongelea maendeleo ya vitu .Njia ya muongo ni fupi
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Nani alikwambia 'ushamba' ni tusi? Mmekuwa wajinga wajinga kwa sababu ya kuongozwa kijinga kijinga! ushamba ni kutokujua mambo..pumbav.!
 
Walifikiri gawio litamuongezea ratings lakini watu wanajua kuwa hizo fedha zitaishia kwenye mikono ya akina Polepole ili kuwanunua Wapinzani kwa fedha za ndani
 
Hapa ndipo dhana ya maendeleo inapokuwa ngumu, Lisu alisema maendeleo si ya vitu bali watu sasa inampasa awatumie watu wapige mbizi apambane na mamba...Tujifunze ku control midomo.

October 28 kura zote kwa JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Naona LISU akili imeanza kumrudia anaongelea ujenzi wa daraja la kuvuka kwenda ukerewe.Kashika adabu baada ya kupanda mtumbwi akili imemkaa sawa sasa anaongelea maendeleo ya vitu .Njia ya muongo ni fupi
Kwani ukiongea ukweli unachubuka?
Mbona kila siku anaimba kuwa hata yeye atajenga sana barabara?
Hoja yake ni kuwa maendeleo yafanyike lkn huku uhuru, haki na maendeleo ya watu yakienda sambamba

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Naona LISU akili imeanza kumrudia anaongelea ujenzi wa daraja la kuvuka kwenda ukerewe.Kashika adabu baada ya kupanda mtumbwi akili imemkaa sawa sasa anaongelea maendeleo ya vitu .Njia ya muongo ni fupi
Mnajazana ujinga vichwani? Hata hujui mantiki ya kinachozungumzwa..ni lini Chadema au wapinzani au Lissu amesema serikali yake haitajenga daraja? Serikali zote hujenga mabarabara na madaraja, hayo ni mambo ya kawaida na ya kila siku. Kinachosisitizwa na wenzenu, kwanza muachane na upumbavu mnaojazana vichwani kwamba hii ndio awamu ya kwanza katika kujenga miundombinu, kwa kuwa kila awamu hujenga kuanzia kwa wakoloni. Pili, muache kujazana upumbavu kuwa ili tujenge miundombinu tuache kupandisha mishahara ya wafanyakazi. Tatu, muache kujazana upumbavu kuwa tunaweza kuvuruga sekta binafsi tukaigeuza serikali ifanye biashara na serikali..., mnaua AJIRA...kwanini hamuelewi nyie washamba?
 
Walifikiri gawio litamuongezea ratings lakini watu wanajua kuwa hizo fedha zitaishia kwenye mikono ya akina Polepole ili kuwanunua Wapinzani kwa fedha za ndani
Huyu MDUDU Polepole ameifilisi ccm.
Huwezi kuamini mwaka huu wana ccm hawana pesa za ksmpeni za ubunge na udiwani.
Wapambe wao wamezubaa wamezoea kuvuna wakati wa kampeni

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
ILa hajawahi mdhalilisha Mke wake hata siku moja iwe hadharani kwa maneno au vitendo,...vipi wa kwenu Mataga. Amesahau kwanini wanawake weupe walimkataa kipindi kile anatafuta wachumba ahaa kuvaa kwenyewe ilikuwa shida mwanamke gani angemkubai...huyu aliyenae atakuwa alimuone huruma tu hivi sasa anajuta kuolewa nae
 
Anataka nini na vitu, si aogelee. Kivuko ni maendeleo ya vitu. Mnakuwa wapumbavu hadi mnapitiliza!

Kwani kimenunuliwa kwa kodi nani siyo ya wananchi ukweli utasemwa tena Nyerere ndiye alisema huwezi kujenga barabara au majumba ukasema hayo ni maendeleo sasa hivi tuadhimishe siku ya Nyerere kwa kukataa kauli yake hiyo kwakuwa tunaunga juhudi. Mi siwezi tafsiri ya maendeleo itabakia vile vile
 
Back
Top Bottom