Eeeh, Nyerere aliiba hela akamjengea mama yake kiwanja?!Sasa Mtu asiambiwe Ukweli? kama Mtu anaiba hela za Umma kumjengea Mama yake Kiwanja cha Ndege aachwe tu asiambiwe? Akiachwa tu si Kuna siku atahamishia na Bank Kuu Kwao Chato?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeh, Nyerere aliiba hela akamjengea mama yake kiwanja?!Sasa Mtu asiambiwe Ukweli? kama Mtu anaiba hela za Umma kumjengea Mama yake Kiwanja cha Ndege aachwe tu asiambiwe? Akiachwa tu si Kuna siku atahamishia na Bank Kuu Kwao Chato?
Anarukaruka km popcorn zipo kwenye mchakato wa kuiva.Ile sio bahari ile ni ziwa, dada punguza kukurupa kama unafungwa goli la kwanza
Ukweli anawakosesha usingizi. Watu wengi wamechoka na uongo wa CCM na dola lakeAcheni Mzee Apumzike Mtamuua Kwa Pressure!!
[emoji16][emoji23][emoji28][emoji1][emoji1]
Wewe ndiye mpumbavu mno, hata hujui mantiki ya kinachozungumzwa..walipovuruga mfumo wa elimu ndipo mlianza kupatikana nyie!Anataka nini na vitu, si aogelee. Kivuko ni maendeleo ya vitu. Mnakuwa wapumbavu hadi mnapitiliza!
Nani alikwambia 'ushamba' ni tusi? Mmekuwa wajinga wajinga kwa sababu ya kuongozwa kijinga kijinga! ushamba ni kutokujua mambo..pumbav.!Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Tarehe 28 October 2020 lazima uanguke.
Kwani ukiongea ukweli unachubuka?Naona LISU akili imeanza kumrudia anaongelea ujenzi wa daraja la kuvuka kwenda ukerewe.Kashika adabu baada ya kupanda mtumbwi akili imemkaa sawa sasa anaongelea maendeleo ya vitu .Njia ya muongo ni fupi
Mnajazana ujinga vichwani? Hata hujui mantiki ya kinachozungumzwa..ni lini Chadema au wapinzani au Lissu amesema serikali yake haitajenga daraja? Serikali zote hujenga mabarabara na madaraja, hayo ni mambo ya kawaida na ya kila siku. Kinachosisitizwa na wenzenu, kwanza muachane na upumbavu mnaojazana vichwani kwamba hii ndio awamu ya kwanza katika kujenga miundombinu, kwa kuwa kila awamu hujenga kuanzia kwa wakoloni. Pili, muache kujazana upumbavu kuwa ili tujenge miundombinu tuache kupandisha mishahara ya wafanyakazi. Tatu, muache kujazana upumbavu kuwa tunaweza kuvuruga sekta binafsi tukaigeuza serikali ifanye biashara na serikali..., mnaua AJIRA...kwanini hamuelewi nyie washamba?Naona LISU akili imeanza kumrudia anaongelea ujenzi wa daraja la kuvuka kwenda ukerewe.Kashika adabu baada ya kupanda mtumbwi akili imemkaa sawa sasa anaongelea maendeleo ya vitu .Njia ya muongo ni fupi
Yule tapeli wa Bashite?Nasikia ni Mtoto wa Fatuma Lowassa kama unamkumbuka
Huyu MDUDU Polepole ameifilisi ccm.Walifikiri gawio litamuongezea ratings lakini watu wanajua kuwa hizo fedha zitaishia kwenye mikono ya akina Polepole ili kuwanunua Wapinzani kwa fedha za ndani
ILa hajawahi mdhalilisha Mke wake hata siku moja iwe hadharani kwa maneno au vitendo,...vipi wa kwenu Mataga. Amesahau kwanini wanawake weupe walimkataa kipindi kile anatafuta wachumba ahaa kuvaa kwenyewe ilikuwa shida mwanamke gani angemkubai...huyu aliyenae atakuwa alimuone huruma tu hivi sasa anajuta kuolewa naeLissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Why take potshots at the person, you dimwit.Lissu kachanganyikiwa sana.
Ohh masikini matagaLisu anataka kivuko cha nini na hayo ni maendeleo ya vitu?
Jane mambooo !! Mzee lowassa anaendeleaje ?Lissu kachanganyikiwa sana.
Anataka nini na vitu, si aogelee. Kivuko ni maendeleo ya vitu. Mnakuwa wapumbavu hadi mnapitiliza!