Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Ulichoambiwa ni sahihi, wewe kuwepo duniani kunatokana na uhaba wa kondomu kipindi hicho.Wewe ni jinga na Lisu anajivunia sana kuwa watu jinga kama nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulichoambiwa ni sahihi, wewe kuwepo duniani kunatokana na uhaba wa kondomu kipindi hicho.Wewe ni jinga na Lisu anajivunia sana kuwa watu jinga kama nyie
Kwann upige mbizi vivuko vipoMaendeleo ya vitu Ni kivuko
Maendeleo ya watu Ni kuogelea
Kashindwa kupiga mbizi kakimbilia life jacket ha ha ha
Aache kutumia Mike maana Ni kitu,atumie mdomo maendeleo ya watu
Aache kutumia na gari atembee kwa miguu maendeleo ya watu
Let's vote for magufuli
Eti sisi, sema Mimi na walamba miguu wenzangu.Hizi hasira zako unamtolea nani sasa hapa?
Nenda kamtolee huyo kibaraka wenu kwenye vyumba vyenu vya faragha.
Sisi hatuwezi kuchagua jitu linaropoka eti maendeleo ya vitu alafu leo linalialia linataka kutumia hivyo vitu, si utaahira huu?
Mwambieni aendelee kuwatetea juu ya faragha zenu mambo ya Urais hawezi
Ahahaha,CCM mavi debeAma kwa hakika kama CHADEMA kwenye uchaguzi huu wangemsimamisha mtu legelege basi cha moto wangekiona. Huyu jamaa anapambana kwelikweli!
View attachment 1599690
Na ziwani humo humo anasalimiana na wavuvi
View attachment 1599699
HAPA CHINI NI VIDEO AKIPOKELEWA UKEREWE BAADA YA KUFIKA SALAMA AKITUMIA MTUMBWI
View attachment 1599732
14 October 2020
Kisorya, Bunda
Tanzania
Live safari ya kuvuka ziwa kilometa 21
TUNDU LISSU APANDA MTUMBWI BAADA KUELEKEA UKEREWE BAADA YA KIVUKO 'KUHARIBIKA' KISORYA -BUNDA
Asante Nguvu ya Umma kwa kufanikisha safari hii:
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ukerewe Bi. Ester A. Chaula ameongoza mafunzo ya siku Tatu kwa Wasimamizi Wasaidizi ngazi ya Kata mafunzo yaliyotolewa Katika Ukumbi Mkubwa wa Mikutano wa Halmashauri
- Idadi ya Wananchi Wilaya ya Ukerewe = 345,147.
- Tarafa = 4
- Visiwa = 38
- Shule za Msingi = 125
- Shule za Sekondari = 25
- Vituo vya Afya = 4
- Zahanati = 28
- Vyuo vya Ualimu = 1
- Vitongoji = 514
Source : Takwimu
....................................................................
Awasili salama na kuhutubia Ukerewe
14 October 2020
#LIVE UKEREWE YAFUNIKA MAPOKEZI YA TUNDU LISSU KWENYE MTUMBWI
Sasa kumbe unajua biblia inakataza alafu unamshangilia huyo kibaraka anaetaka kuwaruhusu muwe mnafanyiana faragha kwa uhuru?Eti sisi, sema Mimi na walamba miguu wenzangu.
Halafu nishakwambia kama unahitaji basha humu ndani bibilia imekataza.
Just One condom could have served the world from this rubbishWewe ni jinga na Lisu anajivunia sana kuwa watu jinga kama nyie
Just One condom could have served the world from this rubbishSasa analalamika nini. Yeye si anasema hataki maendeleo ya vitu
Ikitokea itakuwa ni matumizi yasiofaa ya rasilimali ya taifa.NEC wamzuie kutumia mitumbwi
Yeye kaambiwa ni kibovu na wahusika ulitaka alete ma injinia wake wahakikishe?Tujiulize Tu JE KAMA KWELI KIVUKO NI KIBOVU NI BUSARA KUHATALISHA MAISHA YA WATU PAMOJA NA YAKE MWENYEWE TL. JE ni Busara kwa MTU anaegombea HIGH OFFICE kukimbilia mtandaoni na Kuandika Mambo amboyo hayajathibitishwa kitaalam kama kweli Kivuko ni kizima ila kauzuiwa tu???
Kuna Wakati Najuulize Hawa watu ni Kama Wahuni Wasioweza Kukabili Chngamoto za Kampenii JE watawezaje Kukabili Chngamoto za Taifa hili Kama kila jambo litalotokea wanalalamika na kuona wanaonewa.
Leo Hii ALIEKUWA ANALIA NA KULALAMIKA MAENDELEO YA VITU ....ANALIA TENA BAADA YA KUDAI KUZUIA KUTUMIA VITU 🤣😂🤣😂 Hizi Kampeni Tuaona Mengi
Na Mnaomsifia Lissu Anakili Kubwa Mtakuwa level sawa ya Ujinga na Lissu yaani Leo Lissu kupanda mtumbwi ni kitu cha kishujaaa sanaaa🤣😂🤣😂 kwani Lissu anatofauti gani kwa sasa na Wavuvi au wananchi Wa ukelewe mpka akipanda mtumbwi aonekane Shujaa.
Mwisho Hakuna Maendeleo yasio na Msukumo Wa Vitu..wacheni Magufuli ajenge vivuko acheni Ajenge Madaraja Acheni atengeneze Miundo mbinu Ili mpite bila wasiwasi
Tano Tena Wacha Tuapishwe na Wengine Warudi nchini kwao.
Mkuu CCM imefanikiwa kuongoza na kuwatawala watanzania kwa kuwa 70% ya watanzania ni wajinga Mtaji wa watawala ni elimu mbovu inayozuia mtu kujitambua, kutambua umuhimu wa siasa, uhuru na haki kuwa ndio tunu za taifa lenye maendeleo watanzana huona siasa ni kama ushabiki Simba na YangaKweli mtaji wa CCM ujinga. Hata halijui kuwa Ukerewe hakuna bahari. Yaani tunabishana hapa na majitu mengine ambayo hata vitu vidogo kama hivi haviko akilini.
Ndiyo maana hataki maendeleo ya vitu na kivuko siyo maendeleo ya watu.What a coincidence ... Kinaharibika kila siku Lissu akitaka kukitumia....!!
Mkuu CCM imefanikiwa kuongoza na kuwatawala watanzania kwa kuwa 70% ya watanzania ni wajinga Mtaji wa watawala ni elimu mbovu inayozuia mtu kujitambua, kutambua umuhimu wa siasa, uhuru na haki kuwa ndio tunu za taifa lenye maendeleo watanzana huona siasa ni kama ushabiki Simba na YangaSasa analalamika nini. Yeye si anasema hataki maendeleo ya vitu
Kwa mara ya pili katika kipindi hiki cha kampeni, bila sababu za msingi, hamna kivuko cha [URL='. Yote ni kwa ajili ya kuzuia tusifike huko. Sasa tutavuka kivingine na tutafanya mkutano kama ilivyo ratiba!
Haturudi nyuma!
Unaonaje lakini,lengo limetimia au last.Haya sasa ndio maendeleo ya watu. Vitu vyetu tumekatalia apambane na hali yake. Analalamika nini sasa wakati anasema vitu kama hivyo havina maana
Mkuu hakuna namna lazima aonyeshe ujasiri. Kumbuka hata YESU KRISTU alitumia usafiri wake japo yeye ni maarufu kuliko TL. Anatupambania Watanzania. Viva TL VivaRisk ya mtumbwi kwa mtu wa aina ya Lissu ni kubwa
Kwamba Mwl. Ni mungu hajadiliwi sio?Mimi nilimuona Bwege mtozeni alivyo kuwa ana mponda Mwl, mpaka nikawa nawaza huyu mtu ana wazazi kweli? Ingawa kuna mchangiaji moja aliandika kwamba aliomba Radhi/msamaha kwa hilo