Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

Maendeleo ya vitu Ni kivuko
Maendeleo ya watu Ni kuogelea
Kashindwa kupiga mbizi kakimbilia life jacket ha ha ha

Aache kutumia Mike maana Ni kitu,atumie mdomo maendeleo ya watu

Aache kutumia na gari atembee kwa miguu maendeleo ya watu

Let's vote for magufuli
Kwann upige mbizi vivuko vipo
 
Hizi hasira zako unamtolea nani sasa hapa?
Nenda kamtolee huyo kibaraka wenu kwenye vyumba vyenu vya faragha.

Sisi hatuwezi kuchagua jitu linaropoka eti maendeleo ya vitu alafu leo linalialia linataka kutumia hivyo vitu, si utaahira huu?

Mwambieni aendelee kuwatetea juu ya faragha zenu mambo ya Urais hawezi
Eti sisi, sema Mimi na walamba miguu wenzangu.
Halafu nishakwambia kama unahitaji basha humu ndani bibilia imekataza.
 
The unst
14 October 2020
Kisorya, Bunda
Tanzania

Live safari ya kuvuka ziwa kilometa 21

TUNDU LISSU APANDA MTUMBWI BAADA KUELEKEA UKEREWE BAADA YA KIVUKO 'KUHARIBIKA' KISORYA -BUNDA



Asante Nguvu ya Umma kwa kufanikisha safari hii:

  • Idadi ya Wananchi Wilaya ya Ukerewe = 345,147.
  • Tarafa = 4
  • Visiwa = 38
  • Shule za Msingi = 125
  • Shule za Sekondari = 25
  • Vituo vya Afya = 4
  • Zahanati = 28
  • Vyuo vya Ualimu = 1
  • Vitongoji = 514
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ukerewe Bi. Ester A. Chaula ameongoza mafunzo ya siku Tatu kwa Wasimamizi Wasaidizi ngazi ya Kata mafunzo yaliyotolewa Katika Ukumbi Mkubwa wa Mikutano wa Halmashauri
Source : Takwimu


....................................................................
Awasili salama na kuhutubia Ukerewe

14 October 2020

#LIVE UKEREWE YAFUNIKA MAPOKEZI YA TUNDU LISSU KWENYE MTUMBWI


The unstoppable. Bravo TAL.
 
Eti sisi, sema Mimi na walamba miguu wenzangu.
Halafu nishakwambia kama unahitaji basha humu ndani bibilia imekataza.
Sasa kumbe unajua biblia inakataza alafu unamshangilia huyo kibaraka anaetaka kuwaruhusu muwe mnafanyiana faragha kwa uhuru?
 
Tujiulize Tu JE KAMA KWELI KIVUKO NI KIBOVU NI BUSARA KUHATALISHA MAISHA YA WATU PAMOJA NA YAKE MWENYEWE TL. JE ni Busara kwa MTU anaegombea HIGH OFFICE kukimbilia mtandaoni na Kuandika Mambo amboyo hayajathibitishwa kitaalam kama kweli Kivuko ni kizima ila kauzuiwa tu???

Kuna Wakati Najuulize Hawa watu ni Kama Wahuni Wasioweza Kukabili Chngamoto za Kampenii JE watawezaje Kukabili Chngamoto za Taifa hili Kama kila jambo litalotokea wanalalamika na kuona wanaonewa.

Leo Hii ALIEKUWA ANALIA NA KULALAMIKA MAENDELEO YA VITU ....ANALIA TENA BAADA YA KUDAI KUZUIA KUTUMIA VITU 🤣😂🤣😂 Hizi Kampeni Tuaona Mengi

Na Mnaomsifia Lissu Anakili Kubwa Mtakuwa level sawa ya Ujinga na Lissu yaani Leo Lissu kupanda mtumbwi ni kitu cha kishujaaa sanaaa🤣😂🤣😂 kwani Lissu anatofauti gani kwa sasa na Wavuvi au wananchi Wa ukelewe mpka akipanda mtumbwi aonekane Shujaa.

Mwisho Hakuna Maendeleo yasio na Msukumo Wa Vitu..wacheni Magufuli ajenge vivuko acheni Ajenge Madaraja Acheni atengeneze Miundo mbinu Ili mpite bila wasiwasi

Tano Tena Wacha Tuapishwe na Wengine Warudi nchini kwao.
Yeye kaambiwa ni kibovu na wahusika ulitaka alete ma injinia wake wahakikishe?
 
Kweli mtaji wa CCM ujinga. Hata halijui kuwa Ukerewe hakuna bahari. Yaani tunabishana hapa na majitu mengine ambayo hata vitu vidogo kama hivi haviko akilini.
Mkuu CCM imefanikiwa kuongoza na kuwatawala watanzania kwa kuwa 70% ya watanzania ni wajinga Mtaji wa watawala ni elimu mbovu inayozuia mtu kujitambua, kutambua umuhimu wa siasa, uhuru na haki kuwa ndio tunu za taifa lenye maendeleo watanzana huona siasa ni kama ushabiki Simba na Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa analalamika nini. Yeye si anasema hataki maendeleo ya vitu
Mkuu CCM imefanikiwa kuongoza na kuwatawala watanzania kwa kuwa 70% ya watanzania ni wajinga Mtaji wa watawala ni elimu mbovu inayozuia mtu kujitambua, kutambua umuhimu wa siasa, uhuru na haki kuwa ndio tunu za taifa lenye maendeleo watanzana huona siasa ni kama ushabiki Simba na Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mara ya pili katika kipindi hiki cha kampeni, bila sababu za msingi, hamna kivuko cha [URL='. Yote ni kwa ajili ya kuzuia tusifike huko. Sasa tutavuka kivingine na tutafanya mkutano kama ilivyo ratiba!

Haturudi nyuma!

Haya sasa ndio maendeleo ya watu. Vitu vyetu tumekatalia apambane na hali yake. Analalamika nini sasa wakati anasema vitu kama hivyo havina maana
 
Haya sasa ndio maendeleo ya watu. Vitu vyetu tumekatalia apambane na hali yake. Analalamika nini sasa wakati anasema vitu kama hivyo havina maana
Unaonaje lakini,lengo limetimia au last.
 
Risk ya mtumbwi kwa mtu wa aina ya Lissu ni kubwa
Mkuu hakuna namna lazima aonyeshe ujasiri. Kumbuka hata YESU KRISTU alitumia usafiri wake japo yeye ni maarufu kuliko TL. Anatupambania Watanzania. Viva TL Viva
 
Leo kawe Tanganyika packers sijui alijisikiaje alipokuwa akiwaongopea ccm kuhusu uchumi wa viwanda huku gofu la kilichokuwa kiwanda cha nyama kikimkodolea macho
 
Mimi nilimuona Bwege mtozeni alivyo kuwa ana mponda Mwl, mpaka nikawa nawaza huyu mtu ana wazazi kweli? Ingawa kuna mchangiaji moja aliandika kwamba aliomba Radhi/msamaha kwa hilo
Kwamba Mwl. Ni mungu hajadiliwi sio?
 
Back
Top Bottom