Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

Kwann upige mbizi vivuko vipo
 
Eti sisi, sema Mimi na walamba miguu wenzangu.
Halafu nishakwambia kama unahitaji basha humu ndani bibilia imekataza.
 
The unst
The unstoppable. Bravo TAL.
 
Eti sisi, sema Mimi na walamba miguu wenzangu.
Halafu nishakwambia kama unahitaji basha humu ndani bibilia imekataza.
Sasa kumbe unajua biblia inakataza alafu unamshangilia huyo kibaraka anaetaka kuwaruhusu muwe mnafanyiana faragha kwa uhuru?
 
Yeye kaambiwa ni kibovu na wahusika ulitaka alete ma injinia wake wahakikishe?
 
Kweli mtaji wa CCM ujinga. Hata halijui kuwa Ukerewe hakuna bahari. Yaani tunabishana hapa na majitu mengine ambayo hata vitu vidogo kama hivi haviko akilini.
Mkuu CCM imefanikiwa kuongoza na kuwatawala watanzania kwa kuwa 70% ya watanzania ni wajinga Mtaji wa watawala ni elimu mbovu inayozuia mtu kujitambua, kutambua umuhimu wa siasa, uhuru na haki kuwa ndio tunu za taifa lenye maendeleo watanzana huona siasa ni kama ushabiki Simba na Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa analalamika nini. Yeye si anasema hataki maendeleo ya vitu
Mkuu CCM imefanikiwa kuongoza na kuwatawala watanzania kwa kuwa 70% ya watanzania ni wajinga Mtaji wa watawala ni elimu mbovu inayozuia mtu kujitambua, kutambua umuhimu wa siasa, uhuru na haki kuwa ndio tunu za taifa lenye maendeleo watanzana huona siasa ni kama ushabiki Simba na Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya sasa ndio maendeleo ya watu. Vitu vyetu tumekatalia apambane na hali yake. Analalamika nini sasa wakati anasema vitu kama hivyo havina maana
 
Haya sasa ndio maendeleo ya watu. Vitu vyetu tumekatalia apambane na hali yake. Analalamika nini sasa wakati anasema vitu kama hivyo havina maana
Unaonaje lakini,lengo limetimia au last.
 
Risk ya mtumbwi kwa mtu wa aina ya Lissu ni kubwa
Mkuu hakuna namna lazima aonyeshe ujasiri. Kumbuka hata YESU KRISTU alitumia usafiri wake japo yeye ni maarufu kuliko TL. Anatupambania Watanzania. Viva TL Viva
 
Leo kawe Tanganyika packers sijui alijisikiaje alipokuwa akiwaongopea ccm kuhusu uchumi wa viwanda huku gofu la kilichokuwa kiwanda cha nyama kikimkodolea macho
 
Mimi nilimuona Bwege mtozeni alivyo kuwa ana mponda Mwl, mpaka nikawa nawaza huyu mtu ana wazazi kweli? Ingawa kuna mchangiaji moja aliandika kwamba aliomba Radhi/msamaha kwa hilo
Kwamba Mwl. Ni mungu hajadiliwi sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…