Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

SASA kwani uongo? Magu ni mshamba kweli! Pipo uzid to dai in ze reki![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] CCM raha sana...tuwapungie tu mikono
 
Mzee was busara hebu tupe neno mbadala la Kiongozi Mshamba Kama Ni mshamba
 
huyo kiongozi wa nchi anastahili heshima gani kwa kitendo chake cha kumuoza mama yake mzazi kwa mwanaume mwingine kwa mahari ya kuku tena hadharani?

halafu nasikia mama mwenyewe ni mdhaifu masikini..
 
Mshamba ni tusi?

Kaambiwa ukweli jiwe ni mshamba tena mshamba sana,limbukeni
 
Nyambafu.. Hata CCM wenyewe kabla walimhita hivyo kabla Hawajafukuzwa.. sasa wewe Mjinga Kataa.. He has no respect for any one big fish or small fish.. Go back in the school to improve your english....
 
Aogelee na Hilo tumbo tuone Kama atatoboa. Oooh tunataka maendeleo ya watu, Magufuli kaleta maendeleo ya vitu. Sasa Hilo li feli anataka la nini, apige mbizi
Keshapiga au mbizi nayo ni maendeleo ya serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…