nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,806
- 5,347
SASA kwani uongo? Magu ni mshamba kweli! Pipo uzid to dai in ze reki![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!