Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ombie ni zombie tu la jiwe lina nn....nyambafLissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Hats mikopa chachefu kutoka nje ni moja ya Mambo wasiyoyapeda Watanzania.Japo Kuna kificho na taarifa zilizofichwa.Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Maendeleo ya vitu sio ya msingi. Acha apande mtumbwi.Kwa mara ya pili katika kipindi hiki cha kampeni, bila sababu za msingi, hamna kivuko cha [URL='. Yote ni kwa ajili ya kuzuia tusifike huko. Sasa tutavuka kivingine na tutafanya mkutano kama ilivyo ratiba!
Haturudi nyuma!
Yote hayo yanadhihirisha uonevu unaosemwa na ubaguzi ndani ya taifa letu.Nakuongeza Kura upande was wapenda haki.Ndo aelewe kwa vitendo umuhimu wa daraja la Kigongo-Busisi.
Angepiga mbizi kabisa kuonesha maendeleo ya vitu hayana maana.
Wewe kibibi tulia mzigooo umekaribia kufika kunakoHapo mtumbwi ukitumbukia baharini atasema ni njama za CCM. O
Risk ya mtumbwi kwa mtu wa aina ya Lissu ni kubwa
Muache kulia lia Sasa. Muache upumbavu kulalamikia vitu ambavyo nyie hamvitaki. Mna akili nyie kweli? Vitu mnavyosema havifai mnataka tena mvipande, mna tofauti na ngedere nyie!Hawajamuonea wanampa field umuhimu wa maendeleo ya vitu, ili kwenye mkutano wake akaseme v
Keshapiga au mbizi nayo ni maendeleo ya serikali.
Kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ccm raha sana...tuwapungie tu mikono
Bahari ya ukerewee. Huu ushabiki mwingine ni Karahaa sanaHapo mtumbwi ukitumbukia baharini atasema ni njama za CCM. O
Naona mnaendelea kutengeneza movieKwa mara ya pili katika kipindi hiki cha kampeni, bila sababu za msingi, hamna kivuko cha [URL='. Yote ni kwa ajili ya kuzuia tusifike huko. Sasa tutavuka kivingine na tutafanya mkutano kama ilivyo ratiba!
Haturudi nyuma!
Wanasema hivi.Upande wa pili wanasemaje kuhusu kivuko? Uchaguzi huu una mambo mengi sana na uongo uongo na ujanja vikiwemo.
tulia bwege wewe,anayetukana wamama kila leo yeye ana mdomo safi??halafu kwani ushamba ni tusi??Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Lisu anataka kivuko cha nini na hayo ni maendeleo ya vitu?Ohh masikini mataga
ushamba ni tusi?? pia huwa anamuita Mjinga, nalo ni tusi??.Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Mnataka kupanuliwa?Niwapanueeeeeeee?Haya panueniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Kwani alikinunua Bibi yako??Sasa Lisu analilia nini? Kivuko si maendeleo ya vitu?
Mshamba aliitwa na Vijana wa CCM wenzake au umesahau sakata la rekodi zilizovuja za akina Nape ,January, Makamba,na Kinana, Lakini pia hivi kweli unaweza kuwaambia watu wanaweza kupata mikopo kutumia vitambulisho vya machinga, Kweli ,, kama vilivyo?Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Una ona ulivyo mjinga, kila alichojenga Magufuli si mnasema ni Maendeleo ya vitu, hizo barabara, Zahanati, vituo vya afya, Hospitality za Wilaya madaraja mnasema haviwagusi watu. Acheni ujinga na muache kuwaona Watanzania wajinga.Kivuko kinamgusa raia moja kwa moja,ndege haimgusi hadi siku anaingia kaburini