Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Ombie ni zombie tu la jiwe lina nn....nyambaf
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Hats mikopa chachefu kutoka nje ni moja ya Mambo wasiyoyapeda Watanzania.Japo Kuna kificho na taarifa zilizofichwa.
 
Ndo aelewe kwa vitendo umuhimu wa daraja la Kigongo-Busisi.

Angepiga mbizi kabisa kuonesha maendeleo ya vitu hayana maana.
Yote hayo yanadhihirisha uonevu unaosemwa na ubaguzi ndani ya taifa letu.Nakuongeza Kura upande was wapenda haki.
 
Hawajamuonea wanampa field umuhimu wa maendeleo ya vitu, ili kwenye mkutano wake akaseme v
Muache kulia lia Sasa. Muache upumbavu kulalamikia vitu ambavyo nyie hamvitaki. Mna akili nyie kweli? Vitu mnavyosema havifai mnataka tena mvipande, mna tofauti na ngedere nyie!
Keshapiga au mbizi nayo ni maendeleo ya serikali.
 
Upande wa pili wanasemaje kuhusu kivuko? Uchaguzi huu una mambo mengi sana na uongo uongo na ujanja vikiwemo.
Wanasema hivi.
EkORYQlXsAElaoC.jpg
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
tulia bwege wewe,anayetukana wamama kila leo yeye ana mdomo safi??halafu kwani ushamba ni tusi??
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
ushamba ni tusi?? pia huwa anamuita Mjinga, nalo ni tusi??.

hizo ni sifa za mtu ni kama kusema fulani ni mfupi/mrefu...ndivyo ulivyo lazima ujikubali.

sasa jamaa "yako" ni mjinga unataka TL amuite Genious?!?!.
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Mnataka kupanuliwa?Niwapanueeeeeeee?Haya panueniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Mshamba aliitwa na Vijana wa CCM wenzake au umesahau sakata la rekodi zilizovuja za akina Nape ,January, Makamba,na Kinana, Lakini pia hivi kweli unaweza kuwaambia watu wanaweza kupata mikopo kutumia vitambulisho vya machinga, Kweli ,, kama vilivyo?
Siyo kwamba anatuona sisi wamachinga washamba? Au ni yeye anayesema hayo
 
Kivuko kinamgusa raia moja kwa moja,ndege haimgusi hadi siku anaingia kaburini
Una ona ulivyo mjinga, kila alichojenga Magufuli si mnasema ni Maendeleo ya vitu, hizo barabara, Zahanati, vituo vya afya, Hospitality za Wilaya madaraja mnasema haviwagusi watu. Acheni ujinga na muache kuwaona Watanzania wajinga.
Subirini tarehe 28/10/2020 raia watawapa salaam za Kama ni maendeleo ya watu au laa!
 
Back
Top Bottom