Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Wewe ni sawa na huyo jamaa yako, ulitaka kampeni za mtu mmoja anayejipinga na kujikubali, yaani hujui maana ya siasa ya vyama vingi unaonekana.

Tafuta mdahalo kati ya Trump na Biden ujifu
ndishe.
 
Kuwa mshamba sio tusi
Mshamba ni yeyote asiye na ufahamu sawia juu ya mambo ya wakati wa sasa.

Ni mtu anayeyaishi maisha ya miongo iliyopita na kuyaacha bora ya kisasa.
 
14 October 2020
Kisorya, Bunda
Tanzania

Live safari ya kuvuka ziwa kilometa 21

TUNDU LISSU APANDA MTUMBWI BAADA KUELEKEA UKEREWE BAADA YA KIVUKO 'KUHARIBIKA' KISORYA -BUNDA


Asante Nguvu ya Umma kwa kufanikisha safari hii:
Mpaka kieleweke mwaka huu 2020, kamanda Tundu Lissu atalivusha taifa 28 October 2020 kwenda nchi yenye Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu
  • Idadi ya Wananchi Wilaya ya Ukerewe = 345,147.
  • Tarafa = 4
  • Visiwa = 38
  • Shule za Msingi = 125
  • Shule za Sekondari = 25
  • Vituo vya Afya = 4
  • Zahanati = 28
  • Vyuo vya Ualimu = 1
  • Vitongoji = 514
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ukerewe Bi. Ester A. Chaula ameongoza mafunzo ya siku Tatu kwa Wasimamizi Wasaidizi ngazi ya Kata mafunzo yaliyotolewa Katika Ukumbi Mkubwa wa Mikutano wa Halmashauri
Source : Takwimu


....................................................................
Awasili salama na kuhutubia Ukerewe

14 October 2020
#LIVE UKEREWE YAFUNIKA MAPOKEZI YA TUNDU LISSU KWENYE MTUMBWI

 
Mdomo uliponza kichwa, hata waliomtandika risasi za kuwindia kanga na kware si ajabu aliwazidi "vesi" za matusi wakaona ngoja tumtie nidhamu!
 

Kwani ushamba tusi?? Haya kivuko n Cha magufuli? Au ccm?? Kinyeo kinakamtwa mpaka muonbe poo
 

Kama pole pole anavyomwita maalim seif babu madevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…