Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Unamaanisha mkuu wa kumwozesha ‘mazaa’ kwa jogoo?!Kumbe ni vya CCM punguza hasira magufuli mbeba maono[emoji3577]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha mkuu wa kumwozesha ‘mazaa’ kwa jogoo?!Kumbe ni vya CCM punguza hasira magufuli mbeba maono[emoji3577]
Huu ni uratibu wa mkuu wa wilaya ya ukerewe, Mwl Magembe. Ni mtu hatari akiwa na madaraka, yuko tayari kuuaKwa mara ya pili katika kipindi hiki cha kampeni, bila sababu za msingi, hamna kivuko cha [URL='. Yote ni kwa ajili ya kuzuia tusifike huko. Sasa tutavuka kivingine na tutafanya mkutano kama ilivyo ratiba!
Haturudi nyuma!
Ndio! kwanini anyimwe kutumia ferry wakati ni nzima kabisaHapo mtumbwi ukitumbukia baharini atasema ni njama za CCM. O
Dua la Kuku kwa mwenye maono ya Kuku, yule jogoo wa laki moja ni mahari ya mama!Mtumbwi toboka samaki na mamba wapate kitoweo.
Nasikia na Wanawake weusi nao wana shauri lao Siku hiyo, 28 October.TANGAZO TANGAZO TANGAZO
wanachama wote wa NSSF tutakuwa na jambo letu MUHIMU tarehe 28 mwezi huu tunawaomba WaTanzania wote mtuunge MKONO
Siyo bahari Wewe, Ukerewe siyo kisiwa cha baharini, mshamba na mwizi wa jina la Lowasa!Hapo mtumbwi ukitumbukia baharini atasema ni njama za CCM. O
Wewe ni sawa na huyo jamaa yako, ulitaka kampeni za mtu mmoja anayejipinga na kujikubali, yaani hujui maana ya siasa ya vyama vingi unaonekana.anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Kuwa mshamba sio tusiLissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Mpaka kieleweke mwaka huu 2020, kamanda Tundu Lissu atalivusha taifa 28 October 2020 kwenda nchi yenye Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu
Mdomo uliponza kichwa, hata waliomtandika risasi za kuwindia kanga na kware si ajabu aliwazidi "vesi" za matusi wakaona ngoja tumtie nidhamu!Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Ndiyo maana kapanda mtumbwi???Lissu kachanganyikiwa sana.
Ohh masikini matagaKwake yeye Lisu hicho kivuko ni maendeleo ya vitu.
Nasikia ni Mtoto wa Fatuma Lowassa kama unamkumbukaSiyo bahari Wewe, Ukerewe siyo kisiwa cha baharini, mshamba na mwizi wa jina la Lowasa!
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Sasa Lisu analilia nini? Kivuko si maendeleo ya vitu?Wacha makelele yako, hata wakoloni walijenga reli na madaraja.