4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Huu no zaidi ya ushujaa,mungu awatangulieAma kwa hakika kama Chadema kwenye uchaguzi huu wangemsimamisha mtu legelege basi cha moto wangekiona. Huyu jamaa anapambana kwelikweli!
View attachment 1599690
Na ziwani humo humo anasalimiana na wavuvi
View attachment 1599699
HAPA CHINI NI VIDEO AKIPOKELEWA UKEREWE BAADA YA KUFIKA SALAMA AKITUMIA MTUMBWI
View attachment 1599732
Eti big or small[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kirengesa sio cha watu wote.Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Kuandika kwenyewe hujui pole!!SASA kwani uongo??? Magu ni mshamba kweli! Pipo uzid to dai in ze reki![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu siyo Amsterdam wala Bagonza wala MwamakulaLissu ni mpango wa Mungu
Ile sio bahari ile ni ziwa, dada punguza kukurupa kama unafungwa goli la kwanzaHapo mtumbwi ukitumbukia baharini atasema ni njama za CCM. O
Hakika, sijui kama Mungu naye atafumbia macho moyo huu wa imani na ujasiri mkuu namna hiiHaki ya Mungu kweli uchaguzi huu umepata mtu aah [emoji44]!, huu ni ujasiri wa namna ya pekee sana, kuna kitu/watu fulani wanajifunza na kuelewa maana ya kuponea kwenye tundu la sindano na baadaye kuwa na ujasiri kama tunauona.
Kiongozi wa nchi muovu ni LAZIMA akemewe tena kwa maneno makali na bado mashambulizi yanakuja kutoka pande zote za dunia mpaka muovu huyu atupwe kwenye ziwa la motoLissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Yaani unaona mwanasiasa kuitwa mshamba ni tusi?! Ila yeye kuitwa mlemavu(chiba) ni sahihi tena ulemavu wenyewe hao hao ndio wamempa!!! Nasema hivi na wewe ni mshamba tu!! Nyie semeni amewashika pabaya hamkutegemea kuyaona haya yanaotokea!!Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Basi msiutupe ujasiri wenu, kwa maana una thawabu kuu.Haki ya Mungu kweli uchaguzi huu umepata mtu aah [emoji44]!, huu ni ujasiri wa namna ya pekee sana, kuna kitu/watu fulani wanajifunza na kuelewa maana ya kuponea kwenye tundu la sindano na baadaye kuwa na ujasiri kama tunauona.
Hawa jamaa wana kibarua kigumu sana. Ni kama kujaribu kufunika mwanga wa jua kwa viganja eti usiifikie dunia! Zitto alishaufafanua huo ushamba hakuchukuliwa hatua. Makada wao kina Kinana, Makamba et al wakateta kwenye simu wakikejeli huo ushamba na kudukuliwa kisha kupigishwa magoti kuomba msamaha kinafiki. Taabu ni kuwa Lissu anayo "waranti" ya kupigia kelele hadharani yale Watanzania wengi wanasemea pembeni. Yeye ukweli anautiririsha tu. Walikosea sana waliotaka kumuua.SASA kwani uongo??? Magu ni mshamba kweli! Pipo uzid to dai in ze reki![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi kweli ndio upeo wetu umefikia hapo, maendeleo ya watu sio kwamba vitu havipo, bali watu wanamaendeleo / uwezo wa kutumia hivyo vitu sio kuwa watazamaji wa wachache wanaotumia...., haina tofauti ya kula ugali kwa picha ya samakiAnataka nini na vitu, si aogelee. Kivuko ni maendeleo ya vitu. Mnakuwa wapumbavu hadi mnapitiliza!
Mshamba Sana we jamaaLissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Kwani Daraja la Busisi linakwenda UKEREWE AU? nyinyi CCM acheni hoja zisizo msingiNdo aelewe kwa vitendo umuhimu wa daraja la Kigongo-Busisi.
Angepiga mbizi kabisa kuonesha maendeleo ya vitu hayana maana.
Eti Kampeni tosha! Mwache aliwe na mamba!Hiyo ni kampeni tosha yakumjazia T
Wewe kibibi tulia mzigooo umekaribia kufika kunako
Amen kuubwaMkuu hiki kichwa nakivulia kofia na leo kwa mara ya kwanza nampa mkono, "neema ya Mungu iwe pamoja naye"
Hamuwezi kumuelewa.Hawajamuonea wanampa field umuhimu wa maendeleo ya vitu, ili kwenye mkutano wake akaseme vizuri.
Aisee, hizi ni kama harakati za wapigania Uhuru toka kwa wakoloni wazungu wa kiingereza wa kwanza kina Nyerere na wenzake...14 October 2020
Kisorya, Bunda
Tanzania
Live safari ya kuvuka ziwa
TUNDU LISSU APANDA MTUMBWI BAADA KUELEKEA UKEREWE BAADA YA KIVUKO 'KUHARIBIKA' KISORYA -BUNDA
Asante Nguvu ya Umma kwa kufanikisha safari hii:
Mbona kiongozi wa nchi anawavunjia heshima wanawake n'a kutamani mzee zungu awe mwanamkeLissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!