Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Eti big or small[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kirengesa sio cha watu wote.
Pili ushamba sio tusi ni SIFA
Ukiwa una ugeni wa msmbo ni mshsmba hili sio tusi ni sifa

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Haki ya Mungu kweli uchaguzi huu umepata mtu aah [emoji44]!, huu ni ujasiri wa namna ya pekee sana, kuna kitu/watu fulani wanajifunza na kuelewa maana ya kuponea kwenye tundu la sindano na baadaye kuwa na ujasiri kama tunauona.
Hakika, sijui kama Mungu naye atafumbia macho moyo huu wa imani na ujasiri mkuu namna hii

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Kiongozi wa nchi muovu ni LAZIMA akemewe tena kwa maneno makali na bado mashambulizi yanakuja kutoka pande zote za dunia mpaka muovu huyu atupwe kwenye ziwa la moto
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Yaani unaona mwanasiasa kuitwa mshamba ni tusi?! Ila yeye kuitwa mlemavu(chiba) ni sahihi tena ulemavu wenyewe hao hao ndio wamempa!!! Nasema hivi na wewe ni mshamba tu!! Nyie semeni amewashika pabaya hamkutegemea kuyaona haya yanaotokea!!
 
Haki ya Mungu kweli uchaguzi huu umepata mtu aah [emoji44]!, huu ni ujasiri wa namna ya pekee sana, kuna kitu/watu fulani wanajifunza na kuelewa maana ya kuponea kwenye tundu la sindano na baadaye kuwa na ujasiri kama tunauona.
Basi msiutupe ujasiri wenu, kwa maana una thawabu kuu.

Waebrania 10:35

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
SASA kwani uongo??? Magu ni mshamba kweli! Pipo uzid to dai in ze reki![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa jamaa wana kibarua kigumu sana. Ni kama kujaribu kufunika mwanga wa jua kwa viganja eti usiifikie dunia! Zitto alishaufafanua huo ushamba hakuchukuliwa hatua. Makada wao kina Kinana, Makamba et al wakateta kwenye simu wakikejeli huo ushamba na kudukuliwa kisha kupigishwa magoti kuomba msamaha kinafiki. Taabu ni kuwa Lissu anayo "waranti" ya kupigia kelele hadharani yale Watanzania wengi wanasemea pembeni. Yeye ukweli anautiririsha tu. Walikosea sana waliotaka kumuua.
 
Anataka nini na vitu, si aogelee. Kivuko ni maendeleo ya vitu. Mnakuwa wapumbavu hadi mnapitiliza!
Hivi kweli ndio upeo wetu umefikia hapo, maendeleo ya watu sio kwamba vitu havipo, bali watu wanamaendeleo / uwezo wa kutumia hivyo vitu sio kuwa watazamaji wa wachache wanaotumia...., haina tofauti ya kula ugali kwa picha ya samaki
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Mshamba Sana we jamaa
 
Ndo aelewe kwa vitendo umuhimu wa daraja la Kigongo-Busisi.

Angepiga mbizi kabisa kuonesha maendeleo ya vitu hayana maana.
Kwani Daraja la Busisi linakwenda UKEREWE AU? nyinyi CCM acheni hoja zisizo msingi
 
Hawajamuonea wanampa field umuhimu wa maendeleo ya vitu, ili kwenye mkutano wake akaseme vizuri.
Hamuwezi kumuelewa.

Wanaposema maendeleo sio ya vitu, maana yake msijifiche kwenye vitu wakati watu wanahoji mambo mengine.

Mfano watu wanapohoji mmetengeneza ajira ngapi? Mnaishia kusema mmejenga flyover, sijui reli, madaraja.

Kinachoongelewa ni maendeleo ya vitu na watu. Hiyo ndio hoja ya Lissu. Msijitoe ufahamu
 
14 October 2020
Kisorya, Bunda
Tanzania

Live safari ya kuvuka ziwa

TUNDU LISSU APANDA MTUMBWI BAADA KUELEKEA UKEREWE BAADA YA KIVUKO 'KUHARIBIKA' KISORYA -BUNDA

Asante Nguvu ya Umma kwa kufanikisha safari hii:

Aisee, hizi ni kama harakati za wapigania Uhuru toka kwa wakoloni wazungu wa kiingereza wa kwanza kina Nyerere na wenzake...

Sasa tunatafuta Uhuru wa pili toka kwa mkoloni mweusi mwenzetu. Harakati ni zilezile. Mbinu za kuzuia Uhuru ni zilezile kama za mkoloni mzungu..!!
 
It is not fair at all. Tanzania ni yetu sote kwani kulikuwa na ulazima gani wa kumnyima TL kivuko? Harafu baadae tunasema adui wetu ni Mabeberu wakati adui mkubwa ni sisi wenyewe Watanzania
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Mbona kiongozi wa nchi anawavunjia heshima wanawake n'a kutamani mzee zungu awe mwanamke
 
Back
Top Bottom