4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Huu no zaidi ya ushujaa,mungu awatangulieAma kwa hakika kama Chadema kwenye uchaguzi huu wangemsimamisha mtu legelege basi cha moto wangekiona. Huyu jamaa anapambana kwelikweli!
View attachment 1599690
Na ziwani humo humo anasalimiana na wavuvi
View attachment 1599699
HAPA CHINI NI VIDEO AKIPOKELEWA UKEREWE BAADA YA KUFIKA SALAMA AKITUMIA MTUMBWI
View attachment 1599732