Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

It is not fair at all. Tanzania ni yetu sote kwani kulikuwa na ulazima gani wa kumnyima TL kivuko? Harafu baadae tunasema adui wetu ni Mabeberu wakati adui mkubwa ni sisi wenyewe Watanzania
Hataki maendeleo ya vitu sasa mnalalamika nini sasa!!
 
Vp yule anayesema mawaziri wake ni wapumbavu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kumwambia mtu ukweli ni kumvunjia heshima?
 
Hata wewe mzazi wako akiwa mtu wa matusi toka wadogo...hata wewe utakunaji na utaziea matusi ya dingi na kuna siku utamtukana kama sio kumjibu mwenyewe wewe...[emoji23][emoji23]
 
Kivuko kinamgusa raia moja kwa moja,ndege haimgusi hadi siku anaingia kaburini
Lodilofa alivoshambuliwa bila ndege kumuwahisha kupata huduma unajua leo tungekuwa tunaongelea nini? Vyote ni muhimu kwa kila mtu ni swala tu muda na scenario
 
huyo kiongozi wa nchi anastahili heshima gani kwa kitendo chake cha kumuoza mama yake mzazi kwa mwanaume mwingine kwa mahari ya kuku tena hadharani?
halafu nasikia mama mwenyewe ni mdhaifu masikini..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kabisaaaaa??? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dont be a troll dude!
When you can't argue the facts or the topic you seem good at taking potshots at the person.
Best to is to ignore you dimwits.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…