Haya wewe mzigo wa kuni.Mshamba Sana we jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya wewe mzigo wa kuni.Mshamba Sana we jamaa
Mzee wa busara yaani mwanga, mshirikina?Mzee was busara hebu tupe neno mbadala la Kiongozi Mshamba Kama Ni mshamba
I'm responsible for what I write not what you understand!Kwani Daraja la Busisi linakwenda UKEREWE AU? nyinyi CCM acheni hoja zisizo msingi
Hataki maendeleo ya vitu sasa mnalalamika nini sasa!!It is not fair at all. Tanzania ni yetu sote kwani kulikuwa na ulazima gani wa kumnyima TL kivuko? Harafu baadae tunasema adui wetu ni Mabeberu wakati adui mkubwa ni sisi wenyewe Watanzania
Kwani kakifanya yeye?Acheni ujinga, mnaviponda mbona mnasemaga Magufuli kaleta maendeleo ya vitu. Kuku nyie
Vp yule anayesema mawaziri wake ni wapumbavuLissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Utukufu kwa MunguTayari keshavukaView attachment 1599737
Kumwambia mtu ukweli ni kumvunjia heshima?Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Hata wewe mzazi wako akiwa mtu wa matusi toka wadogo...hata wewe utakunaji na utaziea matusi ya dingi na kuna siku utamtukana kama sio kumjibu mwenyewe wewe...[emoji23][emoji23]Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Lodilofa alivoshambuliwa bila ndege kumuwahisha kupata huduma unajua leo tungekuwa tunaongelea nini? Vyote ni muhimu kwa kila mtu ni swala tu muda na scenarioKivuko kinamgusa raia moja kwa moja,ndege haimgusi hadi siku anaingia kaburini
Bahari ya ukerewee. Huu ushabiki mwingine ni Karahaa sana
Naona enzi zake Majaliwa na Prof. Mwandosya wakiliwa na Mamba hapo.Eti Kampeni tosha! Mwache aliwe na mamba!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kabisaaaaa??? [emoji23][emoji23][emoji23]huyo kiongozi wa nchi anastahili heshima gani kwa kitendo chake cha kumuoza mama yake mzazi kwa mwanaume mwingine kwa mahari ya kuku tena hadharani?
halafu nasikia mama mwenyewe ni mdhaifu masikini..
Tunazungumzia uchumi sio tukio moja kwa watu 60mLodilofa alivoshambuliwa bila ndege kumuwahisha kupata huduma unajua leo tungekuwa tunaongelea nini? Vyote ni muhimu kwa kila mtu ni swala tu muda na scenario
Ukiona comments kma hizi za hasira jua kitendo cha mtu kufika salama upande wa pili kimemkera MATAGA... hlf means mmezidiwa na roho yakuuma saaana.Mtumbwi toboka samaki na mamba wapate kitoweo.
Mpendwa njoo unisindike na mimi jmn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kabisaaaaa??? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ni bahari ipi unayosemea?Hapo mtumbwi ukitumbukia baharini atasema ni njama za CCM. O
Dont be a troll dude!Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!