Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Hapo mtumbwi ukitumbukia baharini atasema ni njama za CCM. O
Umechanganyikiwa wewe Foolish cuntLissu kachanganyikiwa sana.
Punguza chuki mkuu, utaharibu kizazi chako, watoto watarithi hiyo roho, mwisho utakuwa na kizazi cha ajabu kabisa, hakuna tawala inayopenda kuambiwa ukweli hasa tawala za kijamaa zinapenda propaganda na uongo waonekane wema ilihali hawataki mabaya yao yaonekane, yaelekea wewe hata mtoto wako akitaka kuchangia jambo au kutoa mawazo mbadala unaweza hata mzaba kibao au kumwambia kaa kimya shenzi...wewe bado mtoto!!Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Alisema Mwalimu Nyerere alizoea vya kunyonga na kuishi kwa uongo, kama alishindwa kumheshimu Nyerere atamheshimu nani mwingine?!He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Ana akili ndogo sana, kama ni mjukuu wa Lowasa kiukweli atakua amechukua akili kwa mama ake, kwa Lowasa amechukua jina tu!Nasikia ni Mtoto wa Fatuma Lowassa kama unamkumbuka
Against all Odds...no stone will be left unturnedKwa mara ya pili katika kipindi hiki cha kampeni, bila sababu za msingi, hamna kivuko cha [URL='. Yote ni kwa ajili ya kuzuia tusifike huko. Sasa tutavuka kivingine na tutafanya mkutano kama ilivyo ratiba!
Haturudi nyuma!
Kwa mara ya pili katika kipindi hiki cha kampeni, bila sababu za msingi, hamna kivuko cha [URL='. Yote ni kwa ajili ya kuzuia tusifike huko. Sasa tutavuka kivingine na tutafanya mkutano kama ilivyo ratiba!
Haturudi nyuma!
Umesahau kuwa mbali ya kuwa kiongozi wa nchi lakini ni mgombea, na anayo ambiwa ni kutoka kwa mgombea, wenye kutakuwa kuchuja ni wananchi.Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Akizana mpenda haki,!hata makumbusho tutakuwa na cha kukumbuka,kuliko asiyependa haki.Mamba wa ukara hawakupewa signal wazame naye.
Angetafunwa vikabaki vidole viwili tu kwa ajili ya kuwekwa makumbusho
Mtumbwi umeshafika mwaloni Ukerewe salama wa saliminiMtumbwi toboka samaki na mamba wapate kitoweo.
Sasa Mtu asiambiwe Ukweli? kama Mtu anaiba hela za Umma kumjengea Mama yake Kiwanja cha Ndege aachwe tu asiambiwe? Akiachwa tu si Kuna siku atahamishia na Bank Kuu Kwao Chato?Alisema Mwalimu Nyerere alizoea vya kunyonga na kuishi kwa uongo, kama alishindwa kumheshimu Nyerere atamheshimu nani mwingine?!
NEC wamzuie kutumia mitumbwiHapo mtumbwi ukitumbukia baharini atasema ni njama za CCM. O
Hebu toa ujinga wako huo.Hivi kweli ndio upeo wetu umefikia hapo, maendeleo ya watu sio kwamba vitu havipo, bali watu wanamaendeleo / uwezo wa kutumia hivyo vitu sio kuwa watazamaji wa wachache wanaotumia...., haina tofauti ya kula ugali kwa picha ya samaki
Chombo cha moto chaweza haribika wakati wowote huwezi kukipangia kiharibike lini na saa ngapi.Kwa hiyo hutaki kivuko kiwe kinaharibika?It is not fair at all. Tanzania ni yetu sote kwani kulikuwa na ulazima gani wa kumnyima TL kivuko? Harafu baadae tunasema adui wetu ni Mabeberu wakati adui mkubwa ni sisi wenyewe Watanzania
Mtumbwi umeshafika mwaloni Ukerewe salama wa salimini
Hapo kuna kivuko official cha serikali Mkuu. Tens zamani kilikuwepo cha kichovu kimekaa kana sinia. Sijui kama kipo kipya.Mimi sijaelewa mleta mada anaposema kivuko kimeharibika kwani hicho alichotumia kuvuka sio kivuko?
KIVUKO kwa tafsiri ya kiswahili ni chochote kinachokusaidia kuvuka hata gogo ukilikalia likakusaidia kuvuka ni kivuko hicho
Hicho alichotumia huyo mbelgiji kuvuka ni kivuko