Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

Kweli mtaji wa CCM ujinga. Hata halijui kuwa Ukerewe hakuna bahari. Yaani tunabishana hapa na majitu mengine ambayo hata vitu vidogo kama hivi haviko akilini.
Hapo mtumbwi ukitumbukia baharini atasema ni njama za CCM. O
 
Mimi sijaelewa mleta mada anaposema kivuko kimeharibika kwani hicho alichotumia kuvuka sio kivuko?

KIVUKO kwa tafsiri ya kiswahili ni chochote kinachokusaidia kuvuka hata gogo ukilikalia likakusaidia kuvuka ni kivuko hicho

Hicho alichotumia huyo mbelgiji kuvuka ni kivuko
 
14 October 2020
Ngoma Ukerewe,
Tanzania

VIDEO: TUNDU LISSU ANENA MAZITO NDANI YA MTUMBWI AKIELEKEA UKEREWE

Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Punguza chuki mkuu, utaharibu kizazi chako, watoto watarithi hiyo roho, mwisho utakuwa na kizazi cha ajabu kabisa, hakuna tawala inayopenda kuambiwa ukweli hasa tawala za kijamaa zinapenda propaganda na uongo waonekane wema ilihali hawataki mabaya yao yaonekane, yaelekea wewe hata mtoto wako akitaka kuchangia jambo au kutoa mawazo mbadala unaweza hata mzaba kibao au kumwambia kaa kimya shenzi...wewe bado mtoto!!
Bado tunaakili mgando tukiamini raisi huwa akosei sababu ya utukufu tunaompa hapa duniani, sivyo hivyo ndio maana sheria ikasema no one is above the law, ila sababu ya wajanja wachache wakasema raisi hawezi shtakiwa ilihali nae ana emotional zake ziwe za haki au za uonevu, ndugu ondoa hiyo roho chafu otherwise utakuwa umeirithi toka kwa wazazi wako sasa na wewe unaiendeleza, katika taifa lolote mawazo mbadala ndio uinua taifa na haiwezekani mawazo mbadala bila ukweli, haki ya kweli na amani bila ncha ya upanga.
 
Hili jamaa ni noma aisee.
Hapo niliwahi kufika nikaambiwa hiyo feri ndio ya mwisho ila kuna mtumbwi buku tu. Niligeuza kwa miguu hadi ukerewe town. Nilikuwa naenda kisorya.

Huyu mbwamba akiendelea hivi atakuwa role model wangu katika mambo flaniflani.
 
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Alisema Mwalimu Nyerere alizoea vya kunyonga na kuishi kwa uongo, kama alishindwa kumheshimu Nyerere atamheshimu nani mwingine?!
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Umesahau kuwa mbali ya kuwa kiongozi wa nchi lakini ni mgombea, na anayo ambiwa ni kutoka kwa mgombea, wenye kutakuwa kuchuja ni wananchi.
 
Mm hata barabara za Lami asitumie kabisa ama alipie 100,000/= as per kilometer kwani hataki Maendeleo ya vitu huyu mlopokaji
 
Alisema Mwalimu Nyerere alizoea vya kunyonga na kuishi kwa uongo, kama alishindwa kumheshimu Nyerere atamheshimu nani mwingine?!
Sasa Mtu asiambiwe Ukweli? kama Mtu anaiba hela za Umma kumjengea Mama yake Kiwanja cha Ndege aachwe tu asiambiwe? Akiachwa tu si Kuna siku atahamishia na Bank Kuu Kwao Chato?
 
Hivi kweli ndio upeo wetu umefikia hapo, maendeleo ya watu sio kwamba vitu havipo, bali watu wanamaendeleo / uwezo wa kutumia hivyo vitu sio kuwa watazamaji wa wachache wanaotumia...., haina tofauti ya kula ugali kwa picha ya samaki
Hebu toa ujinga wako huo.
 
It is not fair at all. Tanzania ni yetu sote kwani kulikuwa na ulazima gani wa kumnyima TL kivuko? Harafu baadae tunasema adui wetu ni Mabeberu wakati adui mkubwa ni sisi wenyewe Watanzania
Chombo cha moto chaweza haribika wakati wowote huwezi kukipangia kiharibike lini na saa ngapi.Kwa hiyo hutaki kivuko kiwe kinaharibika?
 
Attachments

  • FB_IMG_1602669741258.jpg
    FB_IMG_1602669741258.jpg
    39.9 KB · Views: 2
Mimi sijaelewa mleta mada anaposema kivuko kimeharibika kwani hicho alichotumia kuvuka sio kivuko?

KIVUKO kwa tafsiri ya kiswahili ni chochote kinachokusaidia kuvuka hata gogo ukilikalia likakusaidia kuvuka ni kivuko hicho

Hicho alichotumia huyo mbelgiji kuvuka ni kivuko
Hapo kuna kivuko official cha serikali Mkuu. Tens zamani kilikuwepo cha kichovu kimekaa kana sinia. Sijui kama kipo kipya.

Mitumbwi hiyo hapo jamaa watakuwa na mishe zao za uvuvi. Ukitaka wakuvushe privately being makubaliano ila sio kusudi Lao kuwa hapo nadhani
 
Back
Top Bottom