Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

Gadhabu ya nini sasa??!! wakati Chadema wameshasema maendeleo ya vitu hayana maana!! Hayo ndiyo matokeo yake unafikiri wafanyakazi wa vyombo hivyo wanajisikiaje wakimsikia akisema hataki maendeleo ya vitu wakati wao wanapata mishahara kupitia vitu/vyombo hivyo!!?
Maendeleo yanayo maanishwa ni yale maendeleo hasa ya ufahamu wa kujielewea, mfano mzuri ni kama huo uliotokea kwenye hicho kivuko! kama watu kivuko kipo na nikizima wao wanaamua kukizuia nakusingizia ni kibovu unaweza kusema hayo ni maendeleo? maskini ana roho mbaya sana.
 
Mkono wa Mungu ukiwa juu yetu hakuna wakutushinda, Lisu jemedari wa uhakika.
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!

Kuliko huwa anayepewa jogoo na kusema atagawa sijui nani
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Mpe tigo basi huoni kama anafaa au hafai bwiga wewe
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Mbn kina kinana na nape walimwita mshamba?au we unamuona mjanja?mbn hata mm namuona boya tu
 
Huyu huyu amabaye anasema maendeleo ya vitu hayatakiwi, na kubeza ujenzi wa madaraja na ma fly over ndio leo kaona adha ya kutumia mtumbwi....juzi shemeji yangu kajifungulia kwenye feli tunamuwahisha Hospitali. Ningekuwa nahodha wa mtubwi ningeupindua kidogo ili Lissu aonje madhira wanayopata wakazi wa kanda ya ziwa kwa miaka yote (najua hawezi kuzama maana li kitambi lake linaelea kama puto)

Sasa hayo madaraja na flyover mbona jana hayakusaidia chochote mvua ya siku moja. Watu wakisema hakuna chochote ni upigaji wa pesa za kodi tu mnakataa
 
Aisee, hizi ni kama harakati za wapigania Uhuru toka kwa wakoloni wazungu wa kiingereza wa kwanza kina Nyerere na wenzake...

Sasa tunatafuta Uhuru wa pili toka kwa mkoloni mweusi mwenzetu. Harakati ni zilezile. Mbinu za kuzuia Uhuru ni zilezile kama za mkoloni mzungu..!!

Tendwa: CCM hii inaweza kuanguka​

Sunday April 3 2016​

Tangu mwaka 1995 vyama vya upinzani vimekuwa vikisimamisha wagombea urais katika Uchaguzi Mkuu bila ya mafanikio, lakini John Tendwa anawataka wasikate tamaa kwa kuwa CCM inaweza kuanguka.

ccm..jpg
Aliyekuwa Msajili wa vyama vya siasa nchini, John Tendwa akizungumza na waandishishi wa gazeti hili, jijini, Dar es Salaam hivi karibuni. Picha na Said Khamis
BY Fidelis Butahe, Mwananchi gazeti

IN SUMMARY​

Tangu mwaka 1995 vyama vya upinzani vimekuwa vikisimamisha wagombea urais katika Uchaguzi Mkuu bila ya mafanikio, lakini John Tendwa anawataka wasikate tamaa kwa kuwa CCM inaweza kuanguka.
Advertisement

Dar es Salaam. Tangu mwaka 1995 vyama vya upinzani vimekuwa vikisimamisha wagombea urais katika Uchaguzi Mkuu bila ya mafanikio, lakini John Tendwa anawataka wasikate tamaa kwa kuwa CCM inaweza kuanguka.

Tendwa, ambaye alikuwa Msajili wa Vyama vya Siasa, amesema demokrasia nchini inakuwa kwa kasi na hivyo kuna siku upinzani unaweza kushinda lakini itategemea na mahitaji ya wakati huo sambamba na kuibuka na hoja ambazo CCM watakuwa wameshindwa kuzitekeleza.

Mwanasheria huyo, ambaye alistaafu Agosti mwaka 2013, alitoa kauli hiyo katika mahojiano maalumu na waandishi wa gazeti hili ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

“Niwambieni ukweli kama CCM isingekuwa na mgombea mzuri anayeweza kujieleza na wasingekuwa na ilani nzuri ambayo wameweza kuiuza, huwezi kujua pengine Ukawa ingeweza kuchukua madaraka,” alisema Tendwa ambaye alishikilia nafasi ya Msajili wa Vyama kwa miaka 13.

Katika uchaguzi uliofanyika Oktoba 25 mwaka jana, CCM ilimsimamisha Dk John Magufuli kugombea urais akipambana vikali na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa wa Chadema ambaye aliungwa mkono na vyama vinavyounda Ukawa.

Katika uchaguzi huo uliokuwa na msisimko mkubwa, Dk Magufuli alishinda kwa kupata kura milioni 8.8 (asilimia 58.47), akifuatiwa na Lowassa aliyepata kura milioni 6.07 (asilimia 39.97), zikiwa ni zaidi ya mara mbili ya kura ambazo wapinzani wamewahi kupata tangu uchaguzi wa vyama vingi urejeshwe mwaka 1995.

“Kama unataka kuzingatia demokrasia hakuna nchi duniani ambayo unakuta chama kinaongoza milele. Mfano Marekani kuna vyama vya siasa zaidi ya 53 ila vikubwa ni Democratic na Republican ambavyo licha ya kuungwa mkono na vyama vidogo, pia vyama hivyo vinapokezana kuongoza nchi,” alisema Tendwa.

“Kwa nini Dar es Salaam wabunge wengi wa CCM wameshindwa? Kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa miaka 23 iliyopita, Jiji limekwenda upinzani na hivi karibuni Naibu Meya atachaguliwa na huenda akawa wa upinzani kwa sababu wana wapigakura wengi labda kuwe na ushirikiano.”

“Kama huo ndiyo mwanzo, nini kitafuata baadaye?” alihoji na kusisitiza kuwa ushindi huo wa upinzani katika jiji hilo ni somo tosha.

Tendwa alisema hayo wakati Rais Magufuli anaonekana kutekeleza mambo mengi ambayo wapinzani walikuwa wakipigia kelele kwenye serikali zilizopita, kama kuboresha bandari, kubana matumizi kwa punguza safari za nje za viongozi na kupambana na rushwa na uzembe kazini.

Hata hivyo, mbinu zake za kutekeleza hayo zimekuwa zikikosolewa, hasa utumbuaji majipu ambao wapinzani wamekuwa wakieleza kuwa haufuati taratibu, kubana matumizi kwa kufuta safari za nje na kupunguza mishahara ya vigogo wa taasisi kubwa za Serikali.

Pia, uamuzi wa hivi karibuni wa Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) kuinyima Tanzania mkataba wa miradi ya maendeleo kutokana na kuamini kuwa uchaguzi wa Zanzibar haukuwa shirikishi, umechukuliwa na wapinzani kama Serikali kushindwa kusimamia demokrasia.

Tendwa hakuacha kugusia sakata la uchaguzi wa meya wa Dar es Salaam ulioahirishwa mara tatu kabla ya Rais Magufuli kuingilia kati, akitaka CCM na Ukawa kutoendelea kuyumbisha na kushauri kila upande kuwa tayari kukubali matokeo.

“Ilikuwa vizuri rais kuingilia maana hii ni nchi yetu na hili ni jiji letu. Kama upinzani wamepita waache, wapite na tukubali kuwa hiyo ndiyo demokrasia. Kama CCM imeshindwa, mkubali,” alisema huku akibainisha kuwa CCM ndiyo chama chake.

Alisema baada ya Meya wa Jiji, Isaya Mwita kupatikana ni wazi kuwa Dar imepata meno na kuvitaka vyama vya siasa kuachana na dhana kuwa Serikali iliyopo madarakani ni ya CCM.

“Kila chama kina wajibu wa kushirikiana na wananchi katika kusukuma maendeleo na wasibweteke kwamba CCM wapo peke yao kwa kuwa upinzani kuna viongozi pia,” alisema Tendwa.

“Kwa sasa Jiji lipo upinzani hivyo wafanye kazi maana hii ndiyo serikali yao ya kwanza na waonyeshe umahili ili wakienda katika uchaguzi wawe na sera ya kusema.”

Alipoulizwa kuhusu viongozi kuhama vyama kama ilivyokuwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2015, Tendwa alisema: “Kuhama chama ni afya katika demokrasia. Nchi ya Marekani haina wanachama waanzilishi wa vyama na ndiyo nchi inayosifika kwa demokrasia duniani.”

Alisema watu wanabadilika kutokana na mambo wanayooona kuwa na manufaa kwao kwa wakati husika huku akitoa mfano wa vyama vikubwa viwili vya nchi hiyo.

Alikitoa mfano wa mbunge wa Bunda, Ester Bulaya aliyeihama CCM na kujiunga na Chadema, Tendwa alisema wanasiasa waliohama wameongeza ushindani wa kisiasa.

“Ni wakati wake (Bulaya) wa kufanya yale aliyokuwa akiyakosoa yaonekane kwamba ni sahihi na kweli wapigakura waseme kuwa ameyatekeleza,” alisema.

Fast forward 2020
13 October 2020
Maoni ya John Tendwa uchaguzi 2020

John Tendwa msajili wa vyama vya siasa Tanzania atoa maoni kuhusu kampeni za 2020

Source : wakili tv
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Kwani siyo mshamba ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Si Februari 2016 Magufuli alileta unabii feki kuwa mwaka 2020 hakuna upinzani sasa hawa nao ni ccm??

Next time, Magufuli ajue kuwa, kuwa rais hakumaanishi kwamba wewe ni Mungu ukisema jambo linatokea hata yeye hajui kesho anaweza hata uchaguzi wa 2025 asiuone. Ni muda sasa inafaa aonyeshe kuwa na busara.
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Hivi kuitwa jina lako au ulivyo ni matusi? Jee sio mshamba kweli?

Hivi kweli unawakusanya watu unawaambia Vitambulisho vya wajasiriamali ukienda CRDB au STANBIC Bank unapewa mkopo ni nini kama sio uongo wa kishamba kabisa?

Na ushamba sio tusi bwana! Kama ilivyo Kilaza, bwege nk
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Huna Akili kabisa
 
Kwa mara ya pili katika kipindi hiki cha kampeni, bila sababu za msingi, hamna kivuko cha [URL='. Yote ni kwa ajili ya kuzuia tusifike huko. Sasa tutavuka kivingine na tutafanya mkutano kama ilivyo ratiba!...
Mbinu ya kutafuta kiki hiyo. Amewahonga watumishi wa kivuko ili apate kiki na kuonekana kuwa anaonewa yote hayo tunayajua. Hata aliyepanga mpango huo anafahamika.

Baada ya ile mbinu ya kuchoma ofisi za chama chenu kubainika sasa mmeanza mbinu mpya. Mnatamani hata mhamishe barabara ili ionekane serikali imehamisha barabara huyo tobo wenu asipite
 
Unajifanya wewe ndugu sana wa Nyerere kuliko akina Madaraka na mama yao waliomkaribisha Lisssu na timu yake kulala Mwitongo hivi karibuni? Unaongea pumba tu. Nyerere mwenyewe hakutaka kuabudiwa. Alisema viongozi lazima wakubali kukosolewa na kujikosoa. Wewe ni nani mpaka uone dhambi Nyerere kukosolewa?
Alisema Mwalimu Nyerere alizoea vya kunyonga na kuishi kwa uongo, kama alishindwa kumheshimu Nyerere atamheshimu nani mwingine?!
 
Back
Top Bottom