Tundu Lissu ameongea na Radio Citizen Kenya asubuhi ya leo, ameleezea hali ya usalama nchini pamoja na suala la Corona

Tundu Lissu ameongea na Radio Citizen Kenya asubuhi ya leo, ameleezea hali ya usalama nchini pamoja na suala la Corona

Ukisoma kanuni za uchaguzi, kuna sehemu inayozuia wagombea kushambuliana kwa matusi ya binafsi. Kama unakumbuka, ubunge wa Wassira ulienguliwa baada ya uchaguzi wa mwaka 1995 kwa sababu Wassira alikuwa anaendesha kampeni za kumtukana Waryoba binafsi.

Tatizo sheria hizo ni kwa wabunge tu.
Rais akishinda, hakuna wa kumzuia
 
View attachment 1532649

Hii ndio taarifa mpya inayozagaa mitandaoni kwa sasa .

wote mnakaribishwa

===

Mgombea wa Urais, kupitia Chama cha Upinzania CHADEMA Tundu Lissu, alivyohojiwa na Citizen Online Radio Station, kutoka Nairobi Kenyan Tundu Lissu aongea mengi kuhusu mustakabali wa Tanzania, ambae anagombania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020

Katika mahojiano hayo Waandishi wa habari Vicent Ateya na Meody Sinzore wa kipindi cha Jambo Kenya wamemuuliza masuala mbalimbali ya Kinchi na uchaguzi kwa ujumla.

Wakiuliza kuhusu suala la usalama kwa wagombea wa Upinzani Tundu Lissu amesema "Kama ambavyo nimesema mara nyingi hali ya nchi ya Tanzania sio suala lenye afya hata kidogo. Ukizungumzia sisi wa Chadema, viongozi wetu, wanachama wetu wameuawa katika mazingira ambayo hakuna uchunguzi wa Polisi hakuna chochote kilichofanyika."

"Kuna watu wetu wametekwa nyara miaka zaidi ya miwili mwandishi wa habari Azory Gwanda alichukuliwa nyumbani kwake na hajilikani alipo". Ben Saanane hajulikani alipo tangu Novemba 2016. Watu wameumizwa sana. Mimi nimeponea chupuchupu nimepigwa risasi 16. Mwenyekiti wangu amevunjwa mguu kama mwezi mmoja na ushehe uliopita, hali imekuwa mbaya kwelikweli.

Kwahiyo tunapozungumza kuwa Tanzania ina hali mbaya tuna maana hiyo. Hali ya haki z binadamu imeporomoka sana. Sio sisi tu tunaolalamika bali hata mashirika ya haki za binadamu ya nchini na kimataifa yanasema hivyo hivyo.

Sasa tunakwenda katika uchaguzi Mkuu ambao utakuwa ni wa kihistoria. Rais Magufuli na Chama chake wamesemahadharani bungeni kwamba wakishinda watabadilisha katiba kuondoa ukomo wa madaraka. Maana yake ni kwamba tutakuwa na Rais wa Maisha. Sasa sisi ambao Mwalim Nyerere alisema hatuwezi kuwa na Rais wa Maisha kama ilivyokuwa kwa kiongozi wa Malawi Kamuzu Banda, atuwezi tukakubali kurudi kwenye utawala wa aina hiyo.

Rais Magufuli mwenyewe alitangaza tarehe Febuali 6,2016 kwamba anataka kuangamiza vyama vya upinzani ifikiapo mwaka 2020. Sisi hatutokubali kurudi kwenye mfumo wa chama kimoja. Uchaguzi huu utaamua mambo mengi sana katika nchi yetu na tunaamini kwamba watanzania hawatamkubalia Magufuli na ajenda yake na Chama chake ya kuturudisha katika miaka ya giza ya utawala wa chama kimoja.

Aidha, wakimhoji jitihada za Tanzania katika kukabili Covid 19 Lissu ameeleza kuwa Majirani zetu wote wana Corona, Tanzania ukitangaza kuwa kuna Corona ni kosa la jinai. Katika hili Lissu amesema "Sasa serikali inayoamini kwamba hakuna Corona na inawatangazia watu hakuna Corona haijatoa taarifa yoyote ya maambukizi, ya waliofariki, ya waliopona tangu tarehe 29 mwezi wa nne mwaka huu, wanaamini kwamba tukinyamaza basi Corona itapotea. Tusiposema chochote kuhusu Corona maana yake Corona hamna. Huo ndio msimamo wa serikali yetu.

Mwisho, Tundu Lissu amewashukuru Redio hiyo ya Kenya kwa kumhoji na kuweka bayana kuwa tangu amefika nchini mpaka leo hakuna kituo chochote cha habari kilichomwita na kumhoji kwa sababu viombo hivyo vinaogopa kuzuiliwa.

Serikali imeamua kumpuuza ajimalize mwenyewe....
 
Magufuli (yeye binafsi) hajawahi kutangaza 'waziwazi' kuwa anataka kubaki madarakani. Labda chini chini.

Just sayin.
 
Hapa ndo Tundu lissu huwa ananivunja nguvu mpaka kuwa na wasi wasi na weledi wake.

Amezungumza kwamba raisi alisema wazi wazi kwamba watabadilisha katiba ili awe rais wa maisha. Sasa jamani lini magufuli alitamka hili.....wafuasi walilisema na nakumbuka jinsi bushiru alivyo licrush hili suala.

Pengine ni pale alipozungumzia kuhusu corona. Kama yeye anawasiwasi na jinsi serikali alisimamia hili jambo jwa nini havai mask, kwa nini anafanya na anakwenda kwenye mikutano ya hadhara yenyewe mikusanyiko mingi. ? , kwa nini alirudi nchini akijua fika kwamba hali ya korona ni mbaya na serikali inaficha. Na pia kwa nini yeye hachukui hatua binafsi za kukabiliana na hili jambo.

Tundu lissu jitathmini. Siasa za Tanzania si za kukapakana matope bila akili kama kenya. Soma alama za nyakati. Unajiharibia mwenyewe.
 
Kama Hali ya corona ni Nzuri Kwa nini serikali wamebadilisha masharti kwa wasafiri wanaotoka na kuingia nchini??

Hivi hujui kuwa Magufuli anataka kujiongezea mda hao kina bashiru wanatumwa kupima upepo tu????
 
Rc
Magufuli (yeye binafsi) hajawahi kutangaza 'waziwazi' kuwa anataka kubaki madarakani. Labda chini chini.

Just sayin.
Anavyosema hakuna zaidi yake anayeweza kufanya anayoyafanya alafu kina Kessy na speaker yake ndugai wanasema atake asitake bunge lijalo wanamuongezea muda wewe unaelewaje????

Au wewe ndo wale mtafuniwe kila kitu???? Kweli CCM walaaniwe kwa kuleta shule za kata zilizoharibu upeo wenu wa kufikiri
 
Hapa ndo Tundu lissu huwa ananivunja nguvu mpaka kuwa na wasi wasi na weledi wake.

Amezungumza kwamba raisi alisema wazi wazi kwamba watabadilisha katiba ili awe rais wa maisha. Sasa jamani lini magufuli alitamka hili.....wafuasi walilisema na nakumbuka jinsi bushiru alivyo licrush hili suala.

Pengine ni pale alipozungumzia kuhusu corona. Kama yeye anawasiwasi na jinsi serikali alisimamia hili jambo jwa nini havai mask, kwa nini anafanya na anakwenda kwenye mikutano ya hadhara yenyewe mikusanyiko mingi. ? , kwa nini alirudi nchini akijua fika kwamba hali ya korona ni mbaya na serikali inaficha. Na pia kwa nini yeye hachukui hatua binafsi za kukabiliana na hili jambo.

Tundu lissu jitathmini. Siasa za Tanzania si za kukapakana matope bila akili kama kenya. Soma alama za nyakati. Unajiharibia mwenyewe.

Ni kweli magu anamapungufu yake ila huyu jamaa anapotosha vingi sijui ni kwamba hajui au ni makusudi mfano tu

- lini serikali imetangaza tanzania hakuna corona.
- mikopo anasema magu kakopa trilion arobain na ushehe sio kweli kabisa
- lini magu kasema atabadili katiba atawale milele.
- magu kaua utalii sio kweli kabisa
-magu kajenga mbuga ya wanyama chato, wakati ni game reaerve imepewa hadhi ya kuwa national park kutanua utalii usibaki kaskazini tuu na sehemu nyingine za nchi
Huyu jamaa anajiamaliza mwenyewe polepole hajui tuu ... First impression its the last impression
 
Tangu nasoma wachangiaji wanasema Lisu anatukana matusi bila kutaja tusi lengewe,najihoji nakosa majibu
 
Sioni ubaya katika hili ila mataga wa Lumumba hapa lazima nyongo iwapasuke! Wanahoji kwanini asitumie vyombo vya ndani? Vyombo vipi? TBC1 ptuuuuuuuu!
Sababu ya TL kufanya hivyo iko wazi. Vyombo vya habari vyote vya ndani vimebanwa. Kuna attempt ya kuvizuia hata vyombo vya inje kufanya hivyo.
 
Yaani mie huyu simuelewi kabisa, hivi wapiga kula wake wako kenya?, Watanzania wangapi wana access na hizo radio za kenya!
Vyombo vya habari vya hapa hm,vyote vimeshikwa makende,vikitangaza mambo ya upinzani,kesho utasikia vinadsiwa Kodi,na madudu kibao.

Ccm, wanatumia polisi, TCRA, jeshi, mgambo, hazina, usalama wa Taifa, Tume ya uchaguzi,
Wapinzani Wana nini?

Unaingia kwenye mechi, Refa, na wasaidizi wake wamechaguliwa na mpinzani wako,wewe una mchezaji mmoja,mwenzio Ana kuminambili!!!

Harafu ukipiga kelele,watu wanakushangaa,
Tuwaonee huruma wapinzani,
Ukweli mchungu ni kwamba,uchaguzi huu ukisimamiwa na UN,ccm kwaheri,hata wao wanajua,Kama wanajiamini kwanini tumesio huru?!!
Vyombo vya habari vinabanwa mbavu,
 
Huyu anataka kuongoza hii nchi.. huku akikimbilia kutuonyesha hataki kutumia.. vyombo vya habari vya nchini.. huyu angeuza nchi yetu kama angebahatika kuchaguliwa kuwa Rais..

Anaonyesha yupo radhi.. media za nchi za nje ziendelee.. kuliko za nchini.. mpenda mabeberu.. hajali uchumi wa nchi yetu.. wala kusaidia kutengeneza ajira.. kwa sababu kawaona bora Kenyans waendelee.. poleni washabiki wake wafwu..

Magufuli [emoji817] Mzalendo
Alishatangaza ye ana damu ya kenya..na damu ndio inaendesha kila kitu mwilini..kwa hiyo jua tu tunadili na mkenya.
 
Back
Top Bottom