Where we dare to speak openlyUna ushahidi? Kauli yako itakuponza angalia
CCM mnamtukana sana huo uhuru kawapa mungu?Asijione mwamba sana. Uvumilivu wa ccm una mwisho
Vumilia mama huu ndio wakati wao Rais aliowaahidi wataruhusiwa kampeni.Anapowatukana marais kuwa ni wezi asidhani watu wataendelea kumuangalia tu
Mkuu either Lissu or JPM can be state president came October 28,nani unataka amtulize mwingine je ni sisi wananchi wenye serikali au magufuli aliyekabidhiwa kuiongoza serikali yetu hadi October 28,2020?Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.
Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.
Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Kwa hiyo wakati wa kurudisha fomu alitakiwa abughudhiwe?Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.
Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.
Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Serikali ni Mali ya watanzania,si magufuli ndo maana a ahangaika kutuomba Kibali ili aiongoze tenaAmepewa Uhuru wa kutosha. Adhibitiwe
kwakweli hata yeye anashangaa kwanini hajibiwi matusi yake asifikiri hatuyasikii yaani jpm ni mvumilivu jamani unajuwa anamtukana hazarani wala hatumii mafumbo mkuu wa nchi au anafikiri ni mgombea kama yeye? huyu bado ni kiongozi wa nchi siyo mbunge huyo asubiri 40 zake zikifika ataingia kwenye target tu mdomo wote ataushona huyoNimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.
Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.
Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
kwahiyo ndiyo atukane siyo? yaani mtoa mada hana tatizo lissu mwenyewe ndiyo haamini kama mpaka sasa yuko nje anatukana hovyoMleta mada alitaka Lissu akitua airport abughudhiwe!
Akienda kuchukua saini za wadhamini abughudhiwe!
Akifanya kampeni abaghudhiwe!
Mleta mada anashangaa imekuwaje kuwaje Lissu hajabughudhiwa?
Hivyo anaishauri serikali imbughudhi!
Hivi bughudha za risasi 16, kunyimwa matibabu na kunyimwa kiinua mgongo chake cha ubunge bughudha hizo hazikutoshi?
na wewe tayari umeshatukanaUnaweza kututajia tusi lililotamkwa na Tundu Lissu angalau tujiridhishe?
Vinginevyo, itakuwa unatapatapa kutokana na kibano kikali anachopewa Magufuli.
Hakuna alipotukana, anatumia kauli za moja kwa moja pasi na kubembelezana.Kutukana ni haki siku hizi?
Hujajua? Serikali na CCM wameambiwa mguseni muone!Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.
Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.
Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Wewe nawe Mungu kakupa uhuru wa kutosha udhibitiwe na Malaika au vipiAmepewa Uhuru wa kutosha. Adhibitiwe
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.
Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.
Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
unaongea kama nani? unajikuta nani yani? hapo ndipo akiri zako zilipo ishiaNimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.
Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.
Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Ni bahati mbaya sijapata nafasi ya kukutana na TAL uso kwa uso. Ningeipata, ningemshauri katika zile za uso anazompa huyu mkatili-in-chief angewaambia wananchi kuwa kazi kubwa aliyoifanya katika kipindi cha miaka mitano ni TEUA, TENGUA, TUMBUA, TEUA (hii ni kuthibitisha hulka yake ya ukatili hadi kwa watu anaowateua mwenyewe!!!). Sasa na yeye wakati wake wa KUTUMBULIWA umewadia. Tarehe 28 Oktoba sote tuoneshe nguvu moja ya kukataa ukatili twende KUMTUMBUA!!!Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.