Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amepewa uhuru uliopitiliza

Yaani nchi hii, ukiwa tofauti tu na mawazo ya watawala basi wewe umetumwa.

Zamani tulikaririshwa na kuaminishwa kuwa matatizo yetu yanatokana na sijui mabeberu, mataifa makubwa nk.

Leo bado watu wanaturudisha kulekule kuhamishia matatizo kwa wengine.

Tujitathmini kwanza wenyewe kwa uhuru bila mizengwe na kubana raia kutotoa mawazo mbadala.
 
Anapowatukana marais kuwa ni wezi asidhani watu wataendelea kumuangalia tu
Vumilia mama huu ndio wakati wao Rais aliowaahidi wataruhusiwa kampeni.
Yesu mwenyewe alisemwa
Magufuli ni nani asisemwe, muache asemwe hiyo ndiyo dawa, itamtibu na taratibu ameanza pata tiba
 
Kila mtu huzaliwa huru.

Uhuru ni haki ya mtu aliyozaliwa nayo.

Hakuna mtu anaweza kumpa mtu mwingine uhuru.
Hakuna mwanadamu ana mamlaka ya kuzuia uhuru wa mwingine.

Yaani huwezi kumpa mtu kitu ambacho anacho.

Huwezi kuzuia uhuru wa mtu wakati anao tayari toka alipozaliwa.
 
Tatizo lenu mmezoea kufokewa na kutukanewa hovywo sasa Lissu anajua haki aliyonayo ndiyo maana anamgokea Magu ww kaa apo usubiri hayo unayo yategemea kama yatatokea
 
Wewe ni mmoja wanaccm ambao awamu hii ya tano imeshawapumbaza kiasi mnazania ninyi pekeenu mnaovaa kijani ndio raia wa Tanzania na wengine wote ni wahamiaji so mnaweza wabughudhi mnavyotaka! Shame on you!
 
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.

Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.

Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Mkuu either Lissu or JPM can be state president came October 28,nani unataka amtulize mwingine je ni sisi wananchi wenye serikali au magufuli aliyekabidhiwa kuiongoza serikali yetu hadi October 28,2020?
 
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.

Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.

Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Kwa hiyo wakati wa kurudisha fomu alitakiwa abughudhiwe?
 
kwakw

kwakweli hata yeye anashangaa kwanini hajibiwi matusi yake asifikiri hatuyasikii yaani jpm ni mvumilivu jamani unajuwa anamtukana hazarani wala hatumii mafumbo mkuu wa nchi au anafikiri ni mgombea kama yeye? huyu bado ni kiongozi wa nchi siyo mbunge huyo asubiri 40 zake zikifika ataingia kwenye target tu mdomo wote ataushona huyo
 
Mleta mada alitaka Lissu akitua airport abughudhiwe!
Akienda kuchukua saini za wadhamini abughudhiwe!
Akifanya kampeni abaghudhiwe!

Mleta mada anashangaa imekuwaje kuwaje Lissu hajabughudhiwa?
Hivyo anaishauri serikali imbughudhi!

Hivi bughudha za risasi 16, kunyimwa matibabu na kunyimwa kiinua mgongo chake cha ubunge bughudha hizo hazikutoshi?
kwahiyo ndiyo atukane siyo? yaani mtoa mada hana tatizo lissu mwenyewe ndiyo haamini kama mpaka sasa yuko nje anatukana hovyo
 
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.

Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.

Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Hujajua? Serikali na CCM wameambiwa mguseni muone!
 
Tunajua yote mnayopanga sirini...
Tambueni kuwa TL kama TL ni mbeba maono anayepambana dhidi ya "mnyenyekevu" na kiongozi wa kiroho...
 
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.

Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.

Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
unaongea kama nani? unajikuta nani yani? hapo ndipo akiri zako zilipo ishia
 
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.

Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.

Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Ni bahati mbaya sijapata nafasi ya kukutana na TAL uso kwa uso. Ningeipata, ningemshauri katika zile za uso anazompa huyu mkatili-in-chief angewaambia wananchi kuwa kazi kubwa aliyoifanya katika kipindi cha miaka mitano ni TEUA, TENGUA, TUMBUA, TEUA (hii ni kuthibitisha hulka yake ya ukatili hadi kwa watu anaowateua mwenyewe!!!). Sasa na yeye wakati wake wa KUTUMBULIWA umewadia. Tarehe 28 Oktoba sote tuoneshe nguvu moja ya kukataa ukatili twende KUMTUMBUA!!!
 
Back
Top Bottom