- Thread starter
- #21
Tulitamani kuwa rais wa JMT kupitia Chadema sasa chama kimepasuka, mada ni Tundu Lissu yuko wapi na ile mikutano yake binafsiNafikiri una matatizo mengi sana yanakusibu kuacha Tundu Lisu na Chadema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulitamani kuwa rais wa JMT kupitia Chadema sasa chama kimepasuka, mada ni Tundu Lissu yuko wapi na ile mikutano yake binafsiNafikiri una matatizo mengi sana yanakusibu kuacha Tundu Lisu na Chadema
A wasted manii [emoji23]Jipige kifuani mara 3 huku ukisema 'baba lile goli bora ungepiga nyeto kuliko kulitungisha mimba yangu'
RubbishBaada ya kamata kamata ya makosa ya uhaini na uchochezi tunaona Tundu Lissu amekuwa kimya na hasemi chochote., tunaulizana kama labda amerudi kwa daktari wake belgium kupata matibabu maana tumemzoea akichakarishiwa kidogo anapita mlango nyuma kisingizio ni daktari wake amempigia simu arudi belgium haraka.
On top of that, tunazo taarifa Tundu Antipus Lissu haziendi na Chadema na kwamba ile mikutano anayofanya na kumtusi Mama kwenye majukwaa haina baraka za Mbowe wala Chadema kwa ujumla, Nimemsikia Chadema mmoja kiongozi wa juu akisema "Tundu Lissu anatuharibia chama na ile mikutano anayofanya si ya kichama anaigaramia mwenye kukichafua Chama.
Lakini pia baada ya kuhojiana chadema huyo pia kakiri kwamba "Chadema haina tena mpango wa kumpitia Lissu kugombea tena urais sababu uchaguzi uliopita Tundu Lissu alikuwa na watu ambao aliwaeka karibu kwenye route zake za kampeni pasina kuwa na baraka za Chama badala ya viongozi wa Chadema jambo ambalo limeleta maudhi makubwa kwenye Chadema".
Kwa mujibu wa tetesi hizi huenda Chadema wanaandaa mipango ya kumtema Tundu Lissu kwenye Chama lakini katika hali ambayo haitaleta madhara kwenye chama.
Kwenu Wadau.
Bilal mashauzi ni ndugu yako ama.Lessu tangu amesikia Dr.slaa na mdude wamekamatwa kesho yake kapanda ndege huyoo ulaya. Familia yake bado inamuhitaji lema nae anajiandaa kurudi nchini kwake Canada
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Lissu alitegemea ndio aogoze mikutano ya hadhara ila mwenyekiti aligoma anataka mimitano ya hadhara Lissu na Lema wapewe uwanja sawa.Si mnajua kuwa mzee Mbowe kagoma kukabidhi uwenyekiti kwa mtu ambae sio wa kaskazini?Baada ya kamata kamata ya makosa ya uhaini na uchochezi tunaona Tundu Lissu amekuwa kimya na hasemi chochote., tunaulizana kama labda amerudi kwa daktari wake belgium kupata matibabu maana tumemzoea akichakarishiwa kidogo anapita mlango nyuma kisingizio ni daktari wake amempigia simu arudi belgium haraka.
On top of that, tunazo taarifa Tundu Antipus Lissu haziendi na Chadema na kwamba ile mikutano anayofanya na kumtusi Mama kwenye majukwaa haina baraka za Mbowe wala Chadema kwa ujumla, Nimemsikia Chadema mmoja kiongozi wa juu akisema "Tundu Lissu anatuharibia chama na ile mikutano anayofanya si ya kichama anaigaramia mwenye kukichafua Chama.
Lakini pia baada ya kuhojiana chadema huyo pia kakiri kwamba "Chadema haina tena mpango wa kumpitia Lissu kugombea tena urais sababu uchaguzi uliopita Tundu Lissu alikuwa na watu ambao aliwaeka karibu kwenye route zake za kampeni pasina kuwa na baraka za Chama badala ya viongozi wa Chadema jambo ambalo limeleta maudhi makubwa kwenye Chadema".
Kwa mujibu wa tetesi hizi huenda Chadema wanaandaa mipango ya kumtema Tundu Lissu kwenye Chama lakini katika hali ambayo haitaleta madhara kwenye chama.
Kwenu Wadau.
Lisu anaogopa kuhama chama kwa maana sio rahisi kuwavuta kwenye kundi wachagga waliojazana pale CDM.Mzee Lissu kaamua kuishi nao kwa mashaka tu hadi mwisho wa maisha yake kisiasaTwatamani tumuone Lissu tena kwenye mikutano yake binafsi maana Mbowe haziivi tena
mmeshikwa pabayaBaada ya kamata kamata ya makosa ya uhaini na uchochezi tunaona Tundu Lissu amekuwa kimya na hasemi chochote., tunaulizana kama labda amerudi kwa daktari wake belgium kupata matibabu maana tumemzoea akichakarishiwa kidogo anapita mlango nyuma kisingizio ni daktari wake amempigia simu arudi belgium haraka.
On top of that, tunazo taarifa Tundu Antipus Lissu haziendi na Chadema na kwamba ile mikutano anayofanya na kumtusi Mama kwenye majukwaa haina baraka za Mbowe wala Chadema kwa ujumla, Nimemsikia Chadema mmoja kiongozi wa juu akisema "Tundu Lissu anatuharibia chama na ile mikutano anayofanya si ya kichama anaigaramia mwenye kukichafua Chama.
Lakini pia baada ya kuhojiana chadema huyo pia kakiri kwamba "Chadema haina tena mpango wa kumpitia Lissu kugombea tena urais sababu uchaguzi uliopita Tundu Lissu alikuwa na watu ambao aliwaeka karibu kwenye route zake za kampeni pasina kuwa na baraka za Chama badala ya viongozi wa Chadema jambo ambalo limeleta maudhi makubwa kwenye Chadema".
Kwa mujibu wa tetesi hizi huenda Chadema wanaandaa mipango ya kumtema Tundu Lissu kwenye Chama lakini katika hali ambayo haitaleta madhara kwenye chama.
Kwenu Wadau.
Mhh afu utakuta ni mtoto wa kiume uyu...anawaza umbea tu, ila kama ww ni ashura aua Fatuma sio kosa lako coz labda una stress hujapata bwanaBaada ya kamata kamata ya makosa ya uhaini na uchochezi tunaona Tundu Lissu amekuwa kimya na hasemi chochote., tunaulizana kama labda amerudi kwa daktari wake belgium kupata matibabu maana tumemzoea akichakarishiwa kidogo anapita mlango nyuma kisingizio ni daktari wake amempigia simu arudi belgium haraka.
On top of that, tunazo taarifa Tundu Antipus Lissu haziendi na Chadema na kwamba ile mikutano anayofanya na kumtusi Mama kwenye majukwaa haina baraka za Mbowe wala Chadema kwa ujumla, Nimemsikia Chadema mmoja kiongozi wa juu akisema "Tundu Lissu anatuharibia chama na ile mikutano anayofanya si ya kichama anaigaramia mwenye kukichafua Chama.
Lakini pia baada ya kuhojiana chadema huyo pia kakiri kwamba "Chadema haina tena mpango wa kumpitia Lissu kugombea tena urais sababu uchaguzi uliopita Tundu Lissu alikuwa na watu ambao aliwaeka karibu kwenye route zake za kampeni pasina kuwa na baraka za Chama badala ya viongozi wa Chadema jambo ambalo limeleta maudhi makubwa kwenye Chadema".
Kwa mujibu wa tetesi hizi huenda Chadema wanaandaa mipango ya kumtema Tundu Lissu kwenye Chama lakini katika hali ambayo haitaleta madhara kwenye chama.
Kwenu Wadau.
Punguza porojoBaada ya kamata kamata ya makosa ya uhaini na uchochezi tunaona Tundu Lissu amekuwa kimya na hasemi chochote., tunaulizana kama labda amerudi kwa daktari wake belgium kupata matibabu maana tumemzoea akichakarishiwa kidogo anapita mlango nyuma kisingizio ni daktari wake amempigia simu arudi belgium haraka.