Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote

Pia ametuonesha kuwa wale wenye jukumu la kusimamia Sheria,hizo Sheria hawazijui na wanafanya vitu tu kwa mihemuko.Meaning kwamba huko magerezani tunaweza kuwa na watanzania wengi waliofungwa kimihemuko
Wengi sana mkuu, siyo kila anaye fungwa ni mkosefu.
Lissu kutufumbua macho
 


NI YEYE
 
Hahahahah nawakeraaaaaaaaaaa wacha niwakereeee ccm baba lao,mnapoteza muda tu ,nawashauri mumshauri lisu agombee udiwani
Gambo alisha sema kuwa uvccm wengi wenu ni wanafiki sana na mkizeeka lazima mtakuwa wachawi.
 
Ndio ni shujaa wa zama zetu. Hebu tutajie mtu yeyote mwingine aliyeweza kumchalenge Jiwe bila woga kama tundu Lissu
Hujasikia idadi ya wagombea wanaotoa challenge kwa Magufuli? Au wewe unataka wa CHADEMA tu! Mbona hata mchumi Lipumba yupo anatoa challenge, tena ya uchumi ambalo ndo tatizo kubwa la nchi! Siyo huyo mtu wenu anayejua mahakamani tu na kutafuta haki za binadamu. Hana ajenda ya elimu, hana ajenda ya uchumi, hana ajenda ya sayansi ni kelele tu!
 
Ww ni mfano wa watu wenye akili sana
 
Ujinga mtupu,ķbaraka wa mabeberu huyu hatuwezi kukubali atusaliti kijibga jinga wakati watu wanapambana kupaisha uchumi wa nchi

Nimekupa thanks kwa sababu ya ku exercise your right of freedom of speech. Unayemuabudu anataka JF kuifungia hata juzi kama angekuwa na uwezo huo. Ungeyaongelea wapi haya. Huyu unayempachika kila aina ya jina humu ndani ndiye anayetaka kukupa uhuru wewe wa kujieleza unavotaka bila ya kuwa na hofu.

Hakuna mtukufu na mkubwa zaidi ya Mungu karibu kila binadamu anajuwa hilo japo wapo wengi imani zao haziruhusu kuanini hilo kwa mfano Pargans wakiwemo Wachina ndani yao ambao ni almost 40% ya world population. Lakini Mungu huyo aliye mkubwa zaidi ya kila kitu living and non living, tunamtukana na kumkashifu (atleast kwa baadhi yetu) na anatutizama tu bila ya ku unleash hasira zake papo kwa papo. Seuze binadamu anayekwenda chooni anataka kuchukuwa nafasi zaidi ya Mungu kuhukumu wenzake kwa kuelezwa madhaifu yake! Hapo ndipo Lissu anapopata CREDIT. Love him or hate him! Sijui kuna adahabu zaidi ya 16 bullets he has already had.
 
Huyu ni kibaraka wa mabeberu, kaulize Angola , libya, Congo, etc jinsi vibaraka wenzake wa huko walivyoharibu nchi, Tundu lissu Kuna watu wa ulaya na marekani wapo nyuma yake kwa maslai yao na rasilimali zetu
Kama kagame na museven alivo nyuma yenu
 
Inauma sana mkuu
 
Natabiri hapa chini ya jua ipo siku isiyo na jina atapewa Tuzo ya NOBELI hifadhini kumbu kumbu tuombeane uzima na afya
 
Sema ni chizi tu
Hizi picha hajaiona? Au ni ukichaa!
 

Attachments

  • FB_IMG_1598509653712.jpg
    31.3 KB · Views: 2
Natabiri hapa chini ya jua ipo siku isiyo na jina atapewa Tuzo ya NOBELI hifadhini kumbu kumbu tuombeane uzima na afya
Nakuunga mkono maana hakuna asiyejua yaliyo mpata na anayo endelea kuyapata na kuyafanya kwa watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…